Hivi tundu kwenye donati ni la nini?

Cardinal06

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2015
Posts
963
Reaction score
326
Huu mi naona ni wizi kabisaaaa......leo wacha niseme bwana

Nimejiuliza sana bila kupata majibu.....kwann kuna tyndu katikati ya donati?? Huwa linanikera na naona kama ni kupunjana kabisa.

Hebu anayejua aniambie lina maana gani.
 
hilo tundu, tobo, kitobo, kipenyeo ndio inafanya iitwe donati, kama unaona unaibiwa kale pizza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…