Hivi Tundu Lissu akiwa Rais anaweza kuanza na kusaini Executive orders?

Wakuu Pascal Mayalla wa Tanzania na Nyani Ngabu wa USA naombeni uzoefu wenu kidogo Ili nielimike katika haya majambo ya executive orders

Ahsanteni sana

Nimekaa pale
Kwa bahati mbaya sana Katiba yetu imekaa vibaya sana kuhusiana na suala hili.

Executive Orders zimekuwa zikitolewa mara kwa mara na Watawala wengi wa nchi za bara la Afrika, lakini kwa bahati mbaya sana hizo Amri Tendaji wanazotoa huwa siyo nzuri kabisa, ni mbaya sana kupita kiasi.
Itoshe tu kusema kwamba Mungu aepushie mbali hilo balaa.

Executive orders nyingi za Watawala wengi zaidi wa Afrika kwanza huwa hazijadili hadharani, ni kiyama!
 
Ahsante
 
Swala la lisu kuwa Rais Hilo ni ndoto ya mchana Tena yenye jinamizi............!!!!
 
Kwa bahati mbaya sana Katiba yetu imekaa vibaya sana kuhusiana na suala hili.

Executive Orders zimekuwa zikitolewa mara kwa mara na Watawala wengi wa nchi za bara la Afrika, lakini kwa bahati mbaya sana hizo Amri Tendaji wanazotoa huwa siyo nzuri kabisa, ni mbaya sana kupita kiasi.
Itoshe tu kusema kwamba Mungu aepushie mbali hilo balaa.

Executive orders nyingi za Watawala wengi zaidi wa Afrika kwanza huwa hazijadili hadharani, ni kiyama!
umeulizwa juu ya LISu hao wengine wanatokea wapi(uvccm nyie tabusana)
 
Wakuu Pascal Mayalla wa Tanzania na Nyani Ngabu wa USA naombeni uzoefu wenu kidogo Ili nielimike katika haya majambo ya executive orders

Na wengine Wote karibuni ukiwemo Kijana wa Mbowe Mh Retired 😄

Ahsanteni sana

Nimekaa pale 🐼

Kwa kuwa atakuwa na wingi bungeni na dola anayoinapitishwa miswaada kwa hati za dharura kufumua uozo na kuiweka excutive orders vile ataona inafaa.Moja wapo ikiwa ni kuongoshwa ile kinga ya kushitakiwa.
 
Back
Top Bottom