Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kwa Tanzania zinaitwa presidential decrees, JPM alipoingia tulimshauri Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria, ongoza kwa 'presidential decrees'!Wakuu Pascal Mayalla wa Tanzania na Nyani Ngabu wa USA naombeni uzoefu wenu kidogo Ili nielimike katika haya majambo ya executive orders
Na wengine Wote karibuni ukiwemo Kijana wa Mbowe Mh Retired 😄
Ahsanteni sana
Nimekaa pale 🐼
Alipofanya kinyume cha katiba,tukamkumbusha AG, Mshauri Mh.Rais Atoe Maagizo kwa Presidential Decrees Kuyapa Nguvu ya Kisheria
TAL ni kama JPM, ila yeye ni zaidi ya JPM!Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!
Uchaguzi wetu wa 2025 kama CCM Itasimamisha mgombea mwanamke nimeshauri Iwapo Watanzania wataamua 2025 twende na Mwanamke, mnaonaje tukiwashauri CHADEMA wasimamishe Mwanamke? Maana Mwanaume kushindwa na Mwanamke ni aibu!
Nikashauri kama Chadema haina mgombea mwanamke wa kusimama hivyo lazima wasimamishe mgombea mwanaume, nimewashauri Pre GE2025 - Kama CCM Itamsimamisha Rais Samia 2025, Mnaonaje Freeman Mbowe Awe Mgombea wa Upinzani? Atapiga Ndege 3 kwa Jiwe Moja, Atavuna Wabunge Wengi ila...
Iwapo 2025 TAL ndie atasimama na Mama,then Kilichotokea Uchaguzi wa Marekani, kinaweza kutokea Uchaguzi 2025?. Tuyatumie matokeo yao kama shamba darasa la 2025 au wao ni wao, na sisi ni sisii?
Kuna wengi hawaijui Chadema Elections 2015 - CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu! anayeufanya huo udikiteta wote wa Chadema ni mtu mmoja, TAL!。
Tumeisha mshauri Lissu siku nyingi JPM, CCM wakishinda, Freeman Aikaeli Mbowe ni lazima ajiuzulu, amwachie Tundu Lissu. Lissu aache Uanaharakati, aonyeshe Statesmanship huu ndio wakati wa TAL kubadilika kuonyesha statemaship,ili akishinda apewe!
Hivyo akiingia tuu,ataanza na katiba kukifumua kile kipengele cha kinga ya kutokushitakiwa!magereza ya Keko,Ukonga na Segerea, kutafurika!。
Salama yao ni moja tuu, Wazee wa Kurasini!,ndio maana rais wa Tanzania akiwa Mkristu,ni lazima awe Mkatoliki!,mtu pekee atakayeweza kumdhibiti TAL ni home boy wake Father Kitima!, vinginevyo tutalimia meno!。
P