johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa bahati mbaya sana Katiba yetu imekaa vibaya sana kuhusiana na suala hili.Wakuu Pascal Mayalla wa Tanzania na Nyani Ngabu wa USA naombeni uzoefu wenu kidogo Ili nielimike katika haya majambo ya executive orders
Ahsanteni sana
Nimekaa pale
AhsanteKwa bahati mbaya sana Katiba yetu imekaa vibaya sana kuhusiana na suala hili.
Executive Orders zimekuwa zikitolewa mara kwa mara na Watawala wengi wa nchi za bara la Afrika, lakini kwa bahati mbaya sana hizo Amri Tendaji wanazotoa huwa siyo nzuri kabisa, ni mbaya sana kupita kiasi.
Itoshe tu kusema kwamba Mungu aepushie mbali hilo balaa.
Executive orders nyingi za Watawala wengi zaidi wa Afrika kwanza huwa hazijadili hadharani, ni kiyama!
Ahsante sanaNyerere alisign nyingi sana tu including ya muungano, kwa jina lingine zinaitwa decrees lililozoeleka bongo
Tafiti nyingi zinaonyesha kwamba Executive orders nyingi zitolewazo na Watawala wengi wa Afrika huwa ni Assassination orders dhidi ya Wapinzani wao wa kisiasa, na/au wakosoaji wa tawala zao.Ahsante
umeulizwa juu ya LISu hao wengine wanatokea wapi(uvccm nyie tabusana)Kwa bahati mbaya sana Katiba yetu imekaa vibaya sana kuhusiana na suala hili.
Executive Orders zimekuwa zikitolewa mara kwa mara na Watawala wengi wa nchi za bara la Afrika, lakini kwa bahati mbaya sana hizo Amri Tendaji wanazotoa huwa siyo nzuri kabisa, ni mbaya sana kupita kiasi.
Itoshe tu kusema kwamba Mungu aepushie mbali hilo balaa.
Executive orders nyingi za Watawala wengi zaidi wa Afrika kwanza huwa hazijadili hadharani, ni kiyama!
Thread fupi haina maneno mengi lakini inalenga kuibua kujifunza mambo makubwa.Wakuu Pascal Mayalla wa Tanzania na Nyani Ngabu wa USA naombeni uzoefu wenu kidogo Ili nielimike katika haya majambo ya executive orders
Na wengine Wote karibuni ukiwemo Kijana wa Mbowe Mh Retired π
Ahsanteni sana
Nimekaa pale πΌ
Wakuu Pascal Mayalla wa Tanzania na Nyani Ngabu wa USA naombeni uzoefu wenu kidogo Ili nielimike katika haya majambo ya executive orders
Na wengine Wote karibuni ukiwemo Kijana wa Mbowe Mh Retired π
Ahsanteni sana
Nimekaa pale πΌ
Kwa kuwa atakuwa na wingi bungeni na dola anayoinapitishwa miswaada kwa hati za dharura kufumua uozo na kuiweka excutive orders vile ataona inafaa.Moja wapo ikiwa ni kuongoshwa ile kinga ya kushitakiwa.Wakuu Pascal Mayalla wa Tanzania na Nyani Ngabu wa USA naombeni uzoefu wenu kidogo Ili nielimike katika haya majambo ya executive orders
Na wengine Wote karibuni ukiwemo Kijana wa Mbowe Mh Retired π
Ahsanteni sana
Nimekaa pale πΌ
Huo umeletwa pengine special kwa chawa.Kumbe wengine hatutakiwi kuchangia? haya
Toa ujinga wako, nimekuwa Lucas MwashambwaWewe na akina Retired mmekaribishwa kuchangia ila Sidhani kama utaelewa chochote π