Hivi Tundu Lissu kwa sasa anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato inayoweza kumfanya akisaidie hata Chama Kama ilivyo kwa Mwamba?

Kwani Lissu anagombea umiliki wa chama au uenyekiti? Kama utakuwa na muda utajua vyanzo vya mapato vya vyama vya siasa nchini.

Ova
 
Wewe chama hiki kinakuhusu nini au Mbowe akiwa mwenyekiti wa maisha CCM mtanufaikaje? Ni kwanini mnamuogopa Tundu Lissu kwa kiasi hicho? Acheni ujinga, kila mmoja ashinde mechi zake.
 
anadai serikali..si tukiambiwa nyumbani kwake ana mfuko mkubwa umejaa risiti za matibabu anadai serikali..labda akipata hizo ndio zitasaidia kuendesha chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…