Hivi Tundu Lissu kwa sasa anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato inayoweza kumfanya akisaidie hata Chama Kama ilivyo kwa Mwamba?

Anauza Vitabu UN

Hata Boss wako Yericko Nyerere ugomvi wake na Lisu ni Wivu wa kibiashara Maana Yeriko anawauzia Makaratasi yake Watindiga wa Makongorosi akina nyie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
UN ya chumbani kwa mumeo labda 😁😁
 
Tundu Lissu anataka akitoe chama kwenye ulimwengu wa kumtegemea mtu mmoja kukiendesha na kukifanya kuwa taasisi inayoweza kujitegemea na kuwa vyanzo vyake vya mapato.
Yeye Lisu anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato? Napowaambiaga huyo ni kibaraka ametumwa na mabasha weke kina Amsterdam mna la kunibishia?
 
Swali la aina hii alitakiwa kuuliza mjukuu wangu ephen_!! Labda ningemuona ana sababu. Sasa wewe mtoto wa kiume, unataka vipi kufahamu shughuli za mwanaume mwenzako!! Huoni una shida mahali?

Itakusaidia nini! Aliwahi kuja kukulilia shida?
Kwa maslahi mapana ya Nchi,tunatakiwa.kujua shughuli yake , haiwezekani mtu awe anafungua safari kwenda Ubelgiji Kila wiki,anaendaga kufanywa nini?
 
Kwani mama yeye anashughuli gani ya kumuingizia kipato zaidi ya uraisi. Bandari, zinauzwa, misitu, miradi hewa, Lisu yeye wakili wa mahakama kuu
 
Kwani mama yeye anashughuli gani ya kumuingizia kipato zaidi ya uraisi. Bandari, zinauzwa, misitu, miradi hewa, Lisu yeye wakili wa mahakama kuu
Ana vyombo vya habari,mahoteli,NGOs na ni Rais analipwa salary.

Lisu anafanya kazi gani halali?
 
Kwani katiba ya CHADEMA inasema ili mtu awe na sifa za kuwa mwenyekiti ni lazima awe anaweka hela zake za mfukoni kwa ajili ya Chama ?
Ina maana CHADEMA yote tajiri ni Mbowe tu ?
Vipi MO akisema anagombea uenyekiti CHADEMA na akaahidi Bilioni ishirini,,CHADEMA watampa kura ?
 
Wewe bwabwa Lissu ni Wakili msomi utasemaje ni mzururaji? Una upuuzi mwingi sana. Kutwa kucha kuanzisha nyuzi kumsakama Lissu inaonyesha huna kazi ya kufanya. Sasa umehamia kwa Mbowe uliyekuwa unamuanzishia nyuzi za kumkashifu. Huo ni umalaya.
Anafanyia kampuni gani ya uwakili ?
 
Hii swali imekaa nzuri. Yeye anashinda mitandaoni, halafu anauliza wenzake wanafanya kazi gani. Kama sio kuchanganyikiwa itakuwa nini?

Halafu pilipili usiyoila inakuwashia nini?
Kishinda mitandaoni nayo ni kazi ndio maana kuna content creators na yeye ametengeneza content ya mada hapa unatakiwa hujibu.

Kibaraka Lisu anafanya shughuli gani
 
 
Anauza Vitabu UN

Hata Boss wako Yericko Nyerere ugomvi wake na Lisu ni Wivu wa kibiashara Maana Yeriko anawauzia Makaratasi yake Watindiga wa Makongorosi akina nyie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


..hata Mwalimu Nyerere wakati wa harakati za uhuru alikuwa mbangaizaji.

..Nelson Mandela alipotoka jela hakuwa na kazi, alikuwa mbangaizaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…