Hivi tuzo za Samia kalamu siyo hongo kwa Vyombo vya Habari?

Hivi tuzo za Samia kalamu siyo hongo kwa Vyombo vya Habari?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709

​

1746635253133.png

Japo sikumbuki mheshimiwa daktari, profesa, mbeba maono kuandika lolote la kustahili kuhusishwa na kalamu, nina shaka na 'tuzo' za Samia Kalamu.

Kama tuzo zingekuwa dili, basi zingeanza kwa wakulima. Je ni kwanini ameanza au kupendelea wana habari?

Soma Pia: Washindi wa tuzo za Samia Kalamu Awards zilizofanyika Superdome, Dar Es Salaam 2025

Bila wao, hawezi kuwafikia wananchi. Japo wana habari na vyombo vya habari ni wachache, wana nguvu sana kumjenga au kumbomoa mhusika.

Je kwa kufanya alichofanya, siyo kufanya vyombo vya habari sehemu ya machawa wake? Je wewe unasemaje?
 
Back
Top Bottom