The Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 11,099 Reaction score 13,709 May 7, 2025 #1 Japo sikumbuki mheshimiwa daktari, profesa, mbeba maono kuandika lolote la kustahili kuhusishwa na kalamu, nina shaka na 'tuzo' za Samia Kalamu. Kama tuzo zingekuwa dili, basi zingeanza kwa wakulima. Je ni kwanini ameanza au kupendelea wana habari? Soma Pia: Washindi wa tuzo za Samia Kalamu Awards zilizofanyika Superdome, Dar Es Salaam 2025 Bila wao, hawezi kuwafikia wananchi. Japo wana habari na vyombo vya habari ni wachache, wana nguvu sana kumjenga au kumbomoa mhusika. Je kwa kufanya alichofanya, siyo kufanya vyombo vya habari sehemu ya machawa wake? Je wewe unasemaje?
Japo sikumbuki mheshimiwa daktari, profesa, mbeba maono kuandika lolote la kustahili kuhusishwa na kalamu, nina shaka na 'tuzo' za Samia Kalamu. Kama tuzo zingekuwa dili, basi zingeanza kwa wakulima. Je ni kwanini ameanza au kupendelea wana habari? Soma Pia: Washindi wa tuzo za Samia Kalamu Awards zilizofanyika Superdome, Dar Es Salaam 2025 Bila wao, hawezi kuwafikia wananchi. Japo wana habari na vyombo vya habari ni wachache, wana nguvu sana kumjenga au kumbomoa mhusika. Je kwa kufanya alichofanya, siyo kufanya vyombo vya habari sehemu ya machawa wake? Je wewe unasemaje?