Hivi TV nchi 32 kushuka chini nayo ni ya kununulia Tv guard

Wakuu hii imekaaje unafikiri Tv nchi 32 kushuka chini inafaa kununuliwa Tv guard au nayo ni kama simu tu,
Wakati unakimbiakimbia na inch 70 uliyonunua milioni moja na laki mbili kwa free delivery, kuna mwenzako anatumia hisense 116' ambayo bei yake ni sawa na harrier new model 0km.

Nataka kusema jitahidi kuheshimu uhuru na maamuzi ya mtu kwa kile anachoona kinamfaa. Waswahi wanasema "kimfaacho mtu chake." Sioni kama ni sahihi kumdhihaki mtu kwa kile uwezo wake unamruhusu na hajaiba. Hata wewe nyumbani kwako unacho kitu ambacho umeki-term kama #most valuable thing in my house# lakini ukienda nyumba ya jirani hapo mtaani unakikuta kiko eneo la vitu vilivyopitwa na wakati.
 
Umesema vizuri na ujumbe ni mzuri sana
Ila sasaa, Hisense 116' kua na bei sawa na harrier 0km, hii ngumu kumeza.
 
Simu inazidi bei ya TV.. haina protector ndio Ka Tv kapate gurd? Aargh michezo hiyo 😀
Simu haipokei umeme wa AC moja kwa moja bali unapitia kwenye charger na kushushwa toka 240V AC hadi 5V DC.
TV inapokea 240V AC moja kwa moja toka supply lines. Huu ndiyo inasumbua power surge (kupungua au kupanda ghfla) inayo unguza vitu. Ile 5V DC ya charger umeme stable Sana hauunguzi device(simu) kirahisi. No surge, no fluctuation. Hivyo kwenye simu itaanza kufa charger inabaki simu salama.
Tusilete ujuzi kwenye taaluma za watu tutapotosha na kulisha hasara watu.
Sasa kalinganishe bei ya charger na TV 32" zote Samsung.
 
Wakuu hii imekaaje unafikiri Tv nchi 32 kushuka chini inafaa kununuliwa Tv guard au nayo ni kama simu tu,

Baadhi ya vifaa vya umeme kwa baadhi ya watengenezqji wa TV, Friji, Washing Machine nk vimewekewa ulinzi wa umeme, lakini mimi hutumia TV/Fridge Guard pamoja na Voltage Stabilizer kwa ajili ya kuongeza usalama na kuzuia madhara kwa vifaa vyangu vya umeme.

Music System, SoundBar nazo nimeziunga kwenye TV Guard na Voltage Stabilizer, simu na laptop zangu napitishia kwenye TV Guard.

Charger si chini ya shilingi 80,000 na Adapter si chini ya shilingi 100,000 wakati fridge/TV guard bei yake inacheza kuanzia elfu 15 hadi elfu 25.
 
Simu haipokei umeme wa AC moja kwa moja bali unapitia kwenye charger na kushushwa toka 240V AC hadi 5V DC.
TV inapokea 240V AC moja kwa moja toka supply lines. Huu ndiyo inasumbua power surge (kupungua au kupanda ghfla) inayo unguza vitu. Ile 5V DC ya charger umeme stable Sana hauunguzi device(simu) kirahisi. No surge, no fluctuation. Hivyo kwenye simu itaanza kufa charger inabaki simu salama.
Tusilete ujuzi kwenye taaluma za watu tutapotosha na kulisha hasara watu.
Sasa kalinganishe bei ya charger na TV 32" zote Samsung.
Depal nothing personal here.
Nakukubali kinyama.
Hapa tulikuwa tuna elimishana tu.
 
Back
Top Bottom