The dumb Professor
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 852
- 1,978
Mewe? Piga chini broh, lasivyo utakuja kujilaumu mbeleni.Nilikuwa ninacheki Tv ya kununua, nikashangaa Mewe ni Tv cheap sana...
Kwanini? Wauzaji kkoo wanamsifia sanaMewe? Piga chini broh, lasivyo utakuja kujilaumu mbeleni.
Kwanini?TV inch 55 ni kubwa sana kwa matumizi ya nyumbani
Ulitaka kusema kama una hela au kama huna hela?Kama huna hela Bora ununue Hisense pia kuna evoli
Sio china?Wake vizuri mwaka jana nilipita kwenye kiwanda Chao, kipo Ngozi Burundi
Tv nzuri ni Samsung ila LG mwanzo inakua poa Ila badae itaanza kuonyesha vibaya, Hisense nayo nzuri Ila ni hadi uipatie, alafu hiyo mewe sijui hataNilikuwa ninacheki Tv ya kununua, nikashangaa Mewe ni Tv cheap sana.
Yani Hisense,LG, TCL inch 55' kariakoo wanauza around 1.2M halafu Mewe yenye sifa hizo hizo wanauza laki 8.
Sasa nikajaribu kuwauliza wauzaji ila wakasema kuwa hazitofautiani hata ubora ni jina tu.
Wanasema Mewe wako vizuri na Wana guarantee ya miaka 2. Quality ya picha ni sawa tu na hizo Hisense na uzuri wanatumia Android ambayo ni Bora kuliko Vidaa ya Hisense. Pia Mewe wanayo mpaka option ya Double glass.
Sasa nmeona Kabla ya kufanya maamuzi ya kuchukua hii Tv nije kwa wajuzi humu maana humu ndo ndo chimbo kuu la maarifa unbiased.
Hizi Tv za Mewe zikoje?