binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Duh kuna TV inaitwa Mewe? I’m very new in town.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bongo ukikaza sana fuvu kusema unanunua vitu brand kubwa kwa bei kubwa na umeme wenyewe huu wa tanesco zima washa zima washa utajikuta unapata hasara tu.Mewe? Piga chini broh, lasivyo utakuja kujilaumu mbeleni.
Kuna workmate anayo 75" kwenye sebule ya 4 kwa 5 we unasemaje 55 ni kubwa sana mzeeTV inch 55 ni kubwa sana kwa matumizi ya nyumbani
Cheap is costly!Nilikuwa ninacheki Tv ya kununua, nikashangaa Mewe ni Tv cheap sana.
Yani Hisense,LG, TCL inch 55' kariakoo wanauza around 1.2M halafu Mewe yenye sifa hizo hizo wanauza laki 8.
Sasa nikajaribu kuwauliza wauzaji ila wakasema kuwa hazitofautiani hata ubora ni jina tu.
Wanasema Mewe wako vizuri na Wana guarantee ya miaka 2. Quality ya picha ni sawa tu na hizo Hisense na uzuri wanatumia Android ambayo ni Bora kuliko Vidaa ya Hisense. Pia Mewe wanayo mpaka option ya Double glass.
Sasa nmeona Kabla ya kufanya maamuzi ya kuchukua hii Tv nije kwa wajuzi humu maana humu ndo ndo chimbo kuu la maarifa unbiased.
Hizi Tv za Mewe zikoje?
Wabongo kinagomba hatuna pa kuziweka hizo tv kwa sababu kwanza tunajenga vijumba vyetu tumevibana bana kiasi nafasi inabaki ndogo mtu anaona bora aweke tv 32" akijifariji bora anaona picha basi inatosha.TV inch 55 ni kubwa sana kwa matumizi ya nyumbani
Chief mkwawa nilimuelewa alishauri sehemu kwamba tv nyingi designed kwa africa ubora wake hawatofautiani , so fanya maamuzi kwa usahihi wa kipato chakoBongo ukikaza sana fuvu kusema unanunua vitu brand kubwa kwa bei kubwa na umeme wenyewe huu wa tanesco zima washa zima washa utajikuta unapata hasara tu.
Kama TV ina warranty miaka miwili na unainunua 800K kwa sifa zile zile ungezipata kwenye brand kubwa ya 1.2mill mimi bado siioni sababu ya ku-hesitate na hizo siyo kwamba ni mbovu kiasi hiko unaweza ukawa na LG ukaipeleka kwa fundi lakini hiyo MEWE ikabaki inadunda,juzi nimebeba Haier wamenipa warranty miaka mitatu nilichofanya nimenunua TV guard isipate shot maana kwenye warranty kesi ya umeme haihusiki.
Naskia wameshika soko la West Africa ..east Africa ndo wameingia hvi karbun ndomaana wamekuja na strategy ya bei cheap.Ni TV za wanafunzi wa VETA huko China
FixNaskia wameshika soko la West Africa ..east Africa ndo wameingia hvi karbun ndomaana wamekuja na strategy ya bei cheap.
ila ukienda Nigeria Ghana Hisense wanaiona kama Mewe halafu Mewe ndo Hisense ya kule
-Maneno ya muuza Tv kariakoo
Hapo kwenye sifa zile zile ndio uongo ulipo mkuu. Ukitaka kuamini, jaribu kudisplay image at the same time.Bongo ukikaza sana fuvu kusema unanunua vitu brand kubwa kwa bei kubwa na umeme wenyewe huu wa tanesco zima washa zima washa utajikuta unapata hasara tu.
Kama TV ina warranty miaka miwili na unainunua 800K kwa sifa zile zile ungezipata kwenye brand kubwa ya 1.2mill mimi bado siioni sababu ya ku-hesitate na hizo siyo kwamba ni mbovu kiasi hiko unaweza ukawa na LG ukaipeleka kwa fundi lakini hiyo MEWE ikabaki inadunda,juzi nimebeba Haier wamenipa warranty miaka mitatu nilichofanya nimenunua TV guard isipate shot maana kwenye warranty kesi ya umeme haihusiki.
Mi waliwasha Hisense na Mewe at the same time wanaonesha azam 2, skuona tofautHapo kwenye sifa zile zile ndio uongo ulipo mkuu. Ukitaka kuamini, jaribu kudisplay image at the same time.
No, meweHee mwewe tena
Unayo mda gani Sasa?Chukua Mwewe huyo mkuu hazina tofauti na wachina wengine ukiondoa lg, sumsang na sony mimi ndio ninayotumia nchi 43
nilichukua mwez wa 10Unayo mda gani Sasa?
Ulinunua shngap?nilichukua mwez wa 10
Nadhani ni swala la utunzaji piaNimeishi na LG miaka 7 haijawahi haribika kabisaaaa