inatakiwa ieleweke hapa kwanza dhana ya maria kuitwa bikira ni ya wakatoliki pekee, wakristo wa madhehebu mengine hawana dhana hiyo na ndio maana makanisa ya kiprotestanti hayana ile sala ya hail marry(salaam maria),nina uhakika kabisa walutheri hawana dhana hiyo
jesuits ni chama cha wakristo wakatoliki, labda huyu jamaa ni mmoja wao
lakini swali aliloliuliza si baya, kwani miongoni mwa wakristo wenyewe kwa wenyewe wanapingana na dhana hiyo, mfano wasabato hawakubali dhana hiyo wala pentecoste wengine hawakubali maria kuitwa mama wa mungu
kwa hiyo, muuliuza swali aweza kuwa mkristo mkatoliki aliyetatizwa kama vile martin luther alivyotatizwa au mkristo wa madhehebu mengine asiyeelewa dhana ya maria kuitwa bikira na wakatoliki hivyo ni jukumu lenu kumuelewesha
hata hivyo zile injili zilizokataliwa (apocrypha) zinamuelezea mariam kama ambaye baada ya kuzaliwa alibakia na ubikira wake, na katika hilo ndipo salome aliingiza mkono kuthibitisha na kuingiza kwake mkono kwa mariam kukamfanya awe mkoma, kisha mtoto yesu akamponya ukoma,
the
Protevangelion of James (ch. XIV):
14 And the midwife went out from the cave, and Salome met her. 15 And the midwife said to her, "Salome, Salome, I will tell you a most surprising thing, which I saw. 16 A virgin has brought forth, which is a thing contrary to nature." 17 To which Salome replied, "As the Lord my God lives, unless I receive particular proof of this matter, I will not believe that a virgin has brought forth." 18 Then Salome went in, and the midwife said, "Mary, show yourself, for a great controversy has arisen about you." 19 And Salome tested her with her finger. 20 But her hand was withered, and she groaned bitterly, 21 and said, "Woe to me, because of my iniquity! For I have tempted the living God, and my hand is ready to drop off."