Hivi ubora wa Yanga unaoimbwa kila wakati uko wapi?

ubora wa yanga upo ndan ya league ya ndani... ndo maana kila team ilyop ndan ya league inaismbua.

lakin yanga inakuwa sio bora inapokutana na team bora za nje zaidi maan inakuw haijui mbnu za bora wenzao
 
Utoporooo zaidi ya miaka 25 hawajafanikiwa kuingia group stage ya CAF Champions League...mara ya mwisho kushiriki kombe la shirikisho (wao wanaliita kombe la loosers) ilikua mwaka 2016 ambapo walishika mkia kwenye kundilao😀😀
Na zahera alikua makundi shirikisho na yanga lini!?
 
Ila miaka 25 ni mingi bwana, kuwa na aibu hata kidogo utopolo wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Timu yoyote ile ya mpira wa miguu, hupimwa kwa wingi wa makombe iliyo jikusanyia tangu ilipoanzishwa, pamoja na miundombinu yake kwa ujumla!

Haya tukae mezani tupime, kati ya timu yako na yangu; ipi ina mafanaikio zaidi kupitia hivyo vigezo viwili nilivyo kuwekea.
 
Kichaa usiwe wewe ambaye una dalili zote! badala yake niwe mimi!! Aisee pole sana.

Wenye akili tunajenga hoja! Vichaa siku zote wanawaza kutukana tu.
Ankali mbona umejistukia kwani nimekutaja au na wewe una changamoto ya akili? Isijekuwa wameshakurusha na kitu cha 'zaiko'. Kunywa maji bardiiii !!!
 
Unamaanisha pamba ni bora kuliko azam?
 
Nikujibu: Wanajiona bora kwa sababu wamefungwa goli moja tu na Al hilal huko Sudan!! Lakini pia wanajiona bora kwa sababu hawakufungwa na Al Hilal hapa Dar!! Hilo mkwao ni kipimo cha ubora kabisa!! Hicho ndicho kigezo cha timu ya wananchi!!
 
Ubora usiovuka mipaka ya Tanzania ni uthibitisho wa kutumia bahasha ndani ya mipaka ya Tanzania!! As simple as that!! Proved!!
 
Timu haijafungwa msimu mzima
Mechi 42+ unbeaten....
Bado ubora unaosemwa hauuoni?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Bora ni .ma jeans na Ma Dola....nadhani sasa umefurahi
 
Huku kwenye ligi si ndio mlikuwa mnahonga na kulazimisha ushindi na sare kwa hisani ya waamuzi?
 
Ubora wa Yanga uko wapi? Wamekutana team zinazojua mpira kiasi zote wameangukia pua, ubora unaotajwa ni upi?
Timu ya simba ipo kwenye kundi gani ya hizo timu zilizokutana na Yanga? Maana iliishia tu kutoa sare na kufungwa katika michezo kadhaa waliyo kutana msimu uliopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…