hIVI UBUNGE WA MAHAKAMA UNA RAHA GANI KAMA UMEKATALIWA NA CHAMA?

Maana ya ubunge ni kuwawakilisha wananchi wa jimbo(constituency) husika kwa maendeleo ya taifa na Siyo chama au nimekosea?



Kulingana na Katiba tuliyonayo Chama bado kina mamlaka na Mbunge sio kama Kenya Mtu akihama anaenda chama akitakacho na Ubunge wake.

Kinyume wenzetu Kenya sisi Mahakama inawafanya wabunge kubakia na ubunge wao mara wanapokimbilio mahakamani.


Mara nyingine maamuzi ya Mahakama kama chombo cha muhimili tofauti wa Dola huamua kwa utashi wa kufuata matakwa na maslahi ya Wanasiasa.

Ila wazi kuwa Mbunge akikosea ama akionewa wananchi wa Jimboni mwake Hawana mchango wowote wa kufanya abakie madarakani.
 
anawakilisha wananchi bila kujali vyama vyao
 
Lakini kumbuka kuwa mbunge anatokana na chama kilichompitisha ili agombee. Sasa mbunge anapoasi chama kilichompa ticket ya kugombea inakuwaje mkuu?
Mm sipo CHADEMA lakini kura yangu nilimpa ZITTO kwa hiyo katika Jimbo langu la Kigoma kaskazini ndio Mbunge wangu.
Ninyi km ni kugombana malizaneni wenyewe Mbunge wetu muacheni
Na hii itakomesha husda na Ukabila ulipwajaa mkimalizia na Udini
 
Mahakama ndipo haki inapotolewa, maana hata katiba ya chadema inaruhusu mwanachama ambaye anaona hajatendewa haki ndani ya chama aende mahakamani!
 
Mm sipo CHADEMA lakini kura yangu nilimpa ZITTO kwa hiyo katika Jimbo langu la Kigoma kaskazini ndio Mbunge wangu.
Ninyi km ni kugombana malizaneni wenyewe Mbunge wetu muacheni
Na hii itakomesha husda na Ukabila ulipwajaa mkimalizia na Udini
Hawezi kuachwa hivi hivi akijifanyia mambo kiholela kinyume na kanuni na utaratibu wa chama, akitaka asubiri katiba mpya awe mgombea binafsi au ajisalimishe rasmi CCM kuliko kujifichaficha.
 

Hii ndiyo shida ya kusoma shule za kata from primary to secondary...
zzk hayupo bungeni kuwakilisha wapuuzi wenzio wa chadema..yupo pale kuwakilisha watu wa kigoma.Kwahiyo awe mbunge wa mahakaha au mbunge wa wapi sisi kwetu haina shida.La msingi ni kutuwakilisha bungeni.
 
Yaani wewe ndo div. 5 kabisa maana hata hujui kwa katiba ya sasa mbunge anatokana na chama cha siasa ndo anaenda kuomba kura jimboni. Katiba mpya itakayoruhusu mgombea binafsi bado. Umejionyesha upuuzi wako hadharani.
 
Nani alisema huyu alikuwa mbunge wa CHADEMA? Huyu ni mbunge aliyechaguliwa na wananchi, kusema ni mbunge wa mahakama ni kutukana wananchi waliomchagua na ni kuvipa hivi vyama vya kimafia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…