12STONE
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 1,189
- 407
Maana ya ubunge ni kuwawakilisha wananchi wa jimbo(constituency) husika kwa maendeleo ya taifa na Siyo chama au nimekosea?
Kulingana na Katiba tuliyonayo Chama bado kina mamlaka na Mbunge sio kama Kenya Mtu akihama anaenda chama akitakacho na Ubunge wake.
Kinyume wenzetu Kenya sisi Mahakama inawafanya wabunge kubakia na ubunge wao mara wanapokimbilio mahakamani.
Mara nyingine maamuzi ya Mahakama kama chombo cha muhimili tofauti wa Dola huamua kwa utashi wa kufuata matakwa na maslahi ya Wanasiasa.
Ila wazi kuwa Mbunge akikosea ama akionewa wananchi wa Jimboni mwake Hawana mchango wowote wa kufanya abakie madarakani.