MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Hahahaha dadake Mbitiyaza siyo hivyo, bali nilikuwa niko chuo hapa hapa Dar na mjomba yuko hapa hapa Dar, sasa ikifika muda wa kufunga chuo wakati mwingine nilikuwa naona tabu sana kutoka Dar hadi mkoani, hivyo naamua kubaki hapa hapa mjini kuokoa gharama ya nauli ya safari na mahitaji mengineyo yahusuyo safari, uzuri ni kwamba siyo muda wote nilikuwa namaliza muda wangu kwake wa mapumziko
hahahaa nayaelewa sana hayo maisha na mimi nimeish hayo maisha... yanahitaj ujasiri sana sana ! unaingia rum unakuta godoor limemwagiwa maji.. hakuna msos! shubaaaaamit! nilisema toka msichan sitakaa kuwa na roho mby aiseee!
mie naish na ndg (mume & wangu) ukituona utaishia kucheka!.. yaan dah!.. sibagui mtu.. mkiamua kujilipua ni wote hakuna kubagua! sipend na bado huwa naumiaga sana moyon kwann nilitendewa namna ile! ,,pole sana