Hivi uchoyo/ubinafsi unafaida gani katika maisha yako ya duniani hapa



hahahaa nayaelewa sana hayo maisha na mimi nimeish hayo maisha... yanahitaj ujasiri sana sana ! unaingia rum unakuta godoor limemwagiwa maji.. hakuna msos! shubaaaaamit! nilisema toka msichan sitakaa kuwa na roho mby aiseee!
mie naish na ndg (mume & wangu) ukituona utaishia kucheka!.. yaan dah!.. sibagui mtu.. mkiamua kujilipua ni wote hakuna kubagua! sipend na bado huwa naumiaga sana moyon kwann nilitendewa namna ile! ,,pole sana
 
Hahahaha hatari sana aisee!
 
Hahahahahaha, unajikuta unaosha tu na kupigia picha. Ila kuna watu wachungu mno, mtu ndugu yako anaumwa kazidiwa unaona shida kumpa ride eti akatafutiwe usafiri mwengine. Gari yako inabebea malaya tu
Kuna watu wa ajabu sana.

Hapo kwenye Malaya umepiga mle mle.

Yaani ni ukweli usiomezeka.

Huu ni ukweli wa mambo ambayo yamo kwenye Maisha tunayoishi kila siku
 
mhhh sidhan aisee !nadhan ntu na ntu!....shida ya lile kabila hatunaga ustaarab sasa km unaishi na mtu wa kisasa unaweza feel unanyanyasika
Kabila gani hilo, maana humu ndimo mwa kuelezana ukweli tu hata kama mtu atachukia
 
Nashukuru kama umeweza kuikataa hio aina ya maisha, wengine huwa wanabebelea visasi na kuja kulipizia kwa watoto wa waliowaumiza!
 
MI nadhani watu wengi wa hivyo ni wale waliopata Mali kwa shida sana hvyo wanapenda na ww usote, hivi huoni hata mashuleni ukikuta teacher mnoko sana ukifuatilia utangundua alisoma kwa shida na tabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahah, discpline master huwaga miyeyusho sana wale!!!
 
NA WATU WANYE ROHO MBAYA/UCHOYO/UBINAFSI, AFYA ZAO HUWA MGOGORO.. HAWANAWIRI, WANAKONDA MPAKA UNASHANGAA

NAMSHUKURU MUNGU KWA KIASI KIKUBWA SINA HZO MAMBO NA NINAOMBA MKE NTAKAYEMWOA AWE NA ROHO NZURI
 
am very positive!walionitendeaga hayo ni watoto wa dingi mdogo kbs! wamekuwa wakaka na nikienda nawapa out za haja

sipend kweli mtu hata sukari linaficha chumban !hahaha had nyama linakimbizia chumban !chumba inageuka stoo!

Nashukuru kama umeweza kuikataa hio aina ya maisha, wengine huwa wanabebelea visasi na kuja kulipizia kwa watoto wa waliowaumiza!
 
Mkuu nafsi tu na roho ya mtu ndio hupelekea hivo

Pengine mioyoni mwao wanajisikia nafuu kuona unavyohaha kutokana na tabu wanazokupatia wao huona sahihi tu

Madame S
Umenena.

Na wapo Watu wa namna hii ambao kwa kuwa yeye alitafuta kwa Tabu, au alipata Tabu au misukosuko.

Basi anataka hata Mtu mwingine nae apate misukosuko kama yeye.

Na kuna wenye Tabia kama hii kwa Watoto zao wa kuwazaa, yaani unakuta Mzee Kipesa uwezo wake mkubwa sana lakini Maisha wanayoishi Watoto zake huwezi amini.

Watoto wanaishi kama machokoraa, hawapati matunzo yoyote.

Mzee anashindwa kufikiri kuna Leo na Kesho, Maisha hayawezi kuwa sawa siku zote.

Maisha muda wowote unaweza kuyumba, sasa kama hujawatengenezea Watoto zako Misingi imara unafikiri hapo baadae wewe Mzee nguvu zitakapokuishia si ndio utatafuta Mchawi.

Ukiwa kama Baba kumbuka kile unachokitafuta ni kwa ajili ya kuwaandalia Wanao Misingi bora ya kimaisha.

Hata kama wewe Baba ulichuma kwa Tabu, haina maana na Wanao wafuate nyayo zako.

Wakina Baba wenye Tabia kama hizi badilikeni
 
Confession: Kuna kimoja apo nimeshawahi kukifanya Mungu anisamehe
Sirudii tenaaa


thts a very big step!.hongera! lakini muombe na msahama uliemkosea! nataman ajitokeze mmoja humu mwenye hyo tabia aeleze kwann wanakuwa na roho mbya ! ingawa tusimpopoe tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…