Nmekuwa nikishuhudia baadhi ya watu wenye visa kama hivi:
Unakuta mtu ana maindisha misosi, anafunga friji na funguo ili tu watu wasile matunda au maziwa ambayo ni ya familia ambayo hata hajui bei yake.
Anafungia t.v chumbani ili watu wasiangalie akiwa hayupo, anawakalisha watu chini eti wanachafua makochi na sebule.
Ana maindi kuona mtu anainjoy life ile umepumzika tu ataanza visa mradi akukurupue tu ukafanye kazi ambazo sio hata za lazima.
Anamaindisha vitu vidogo sana, mfano anaweza kulizua zogo tu kisa kikombe,sahani au sufuria. Eti hapendi tu litumike na mtu flani.
Hela ipo na inatosha kununua vitu in bulk ila ananunua vitu kwa reja reja tu bila sababu ya msingi na vinapoisha fasta anabwata kwamba kuna misuses.
Gari zipo ila hataki mtu aendeshe makusudi tu, hata kama kuna emergency atakutembeza kwa mguu juani akupandishe daladala au taxi ila gari zipo uani zinanyewa na ndege tu.
Ana hela ila hawezi msaidia hata baba au ndugu zake wa damu, sijui tuite ubahili yani mtu ndugu zake waweza kuwa wana ukata uliopitiliza ila kuwainua hali zao tu asiweze.
Haya ni machache miongoni mwa mengi, najua humu mpo pia watendaji na wahanga...Kuna faida gani mtu ukiwa na tabia ya aina hzo maishani mwako!?
Ukweli lazima usemwe, asante sana kwa mchango wako watakuwa wamekusikia hao madingi. Mi mwenyewe inanikera mno hio tabia ya kumbania mtoto maisha kisa we uli hustle. Hakika wanangu ntawapa life la ukweli ajabu ili hata siku nikianguka walie kwa uchungu kuwa yess baba alitupa maisha enzi za uhai wake. Ntaacha legacy kwa familia yangu.Umenena.
Na wapo Watu wa namna hii ambao kwa kuwa yeye alitafuta kwa Tabu, au alipata Tabu au misukosuko.
Basi anataka hata Mtu mwingine nae apate misukosuko kama yeye.
Na kuna wenye Tabia kama hii kwa Watoto zao wa kuwazaa, yaani unakuta Mzee Kipesa uwezo wake mkubwa sana lakini Maisha wanayoishi Watoto zake huwezi amini.
Watoto wanaishi kama machokoraa, hawapati matunzo yoyote.
Mzee anashindwa kufikiri kuna Leo na Kesho, Maisha hayawezi kuwa sawa siku zote.
Maisha muda wowote unaweza kuyumba, sasa kama hujawatengenezea Watoto zako Misingi imara unafikiri hapo baadae wewe Mzee nguvu zitakapokuishia si ndio utatafuta Mchawi.
Ukiwa kama Baba kumbuka kile unachokitafuta ni kwa ajili ya kuwaandalia Wanao Misingi bora ya kimaisha.
Hata kama wewe Baba ulichuma kwa Tabu, haina maana na Wanao wafuate nyayo zako.
Wakina Baba wenye Tabia kama hizi badilikeni
Ndio wanawake wenzenu hao wanavyofanya hivyo, af bora ukute wale ambao hawajasoma kabisa...wengine wamesoma mpaka elimu za juu ila ubinafsi tu uko damuni. Ha ha ha ha mnafata michele room tena!!!am very positive!walionitendeaga hayo ni watoto wa dingi mdogo kbs! wamekuwa wakaka na nikienda nawapa out za haja
sipend kweli mtu hata sukari linaficha chumban !hahaha had nyama linakimbizia chumban !chumba inageuka stoo!
Dah mi pia naogopa sana kupata mke bomu aisee, najua baadhi ya ndugu zangu walipatikana hapo ila mi naepuka sana hata nikijua gf mchoyo tu namuacha fasta!!!NA WATU WANYE ROHO MBAYA/UCHOYO/UBINAFSI, AFYA ZAO HUWA MGOGORO.. HAWANAWIRI, WANAKONDA MPAKA UNASHANGAA
NAMSHUKURU MUNGU KWA KIASI KIKUBWA SINA HZO MAMBO NA NINAOMBA MKE NTAKAYEMWOA AWE NA ROHO NZURI
Wewee lazima atapopolewa tena watakao mpopoa ni hao hao wachoyo wenzie wenye tabia hiyothts a very big step!.hongera! lakini muombe na msahama uliemkosea! nataman ajitokeze mmoja humu mwenye hyo tabia aeleze kwann wanakuwa na roho mbya ! ingawa tusimpopoe tu!
Ndio wanawake wenzenu hao wanavyofanya hivyo, af bora ukute wale ambao hawajasoma kabisa...wengine wamesoma mpaka elimu za juu ila ubinafsi tu uko damuni. Ha ha ha ha mnafata michele room tena!!!
Dah mi pia naogopa sana kupata mke bomu aisee, najua baadhi ya ndugu zangu walipatikana hapo ila mi naepuka sana hata nikijua gf mchoyo tu namuacha fasta!!!
Wanajifichaga na kupretend wala hautajua utajua Sikh wazazi wako na ndugu zako wamekuja watakapolishwa maarage na kutakua na likizo ya kula nyamaDah mi pia naogopa sana kupata mke bomu aisee, najua baadhi ya ndugu zangu walipatikana hapo ila mi naepuka sana hata nikijua gf mchoyo tu namuacha fasta!!!
Dah yani huwa naamini mwanamke mchoyo lazma atakuwa mbinafsi tu, style vile chake chake tu chako chake...Nawaza ndio wale umepata tatizo kazini anakuacha udhalilike tu bila kukupa support yoyote anakusimanga tu. Mbaya zaidi anaanza kutembea na watu nje huko bila kujali!nakuambia muaache fasta atakuumizia sana hisia aisee! mie nahis mtu mchoyo/mbinafsi wanapishana kias kidg sana na MUUAJI TU
Dah dah...Sijui ntafanyaje aki ya mungu! Aniepushie tu jamani dah!
Ni ngumu sanaaa sio rahisi MTU kujionyesha makucha yake especially kama anataka ndoa..... Ila cha msingi muombe sana mungu ili akupe Wa kufanana naeIna maana siwezi kugundua mapema mkuu?
Dah inabidi nianze kuwa makini na vitu vya namna hio aisee maana ni mambo ya aibu sana kuwa na mke mchoyo.mie ningekuwa men nahakika ningewajua tu! unajua ukiwa active upstairs mwanamke unamjua tu! mfano mkikaa bar wakapita omba omba muangalie tu atakavyoreact uktioa 500 kumpa omba omba! angalia wakipita machinga anavyokaba had penalty,angalia hizo chenji chenji ukiiweka mezan anazisomba fastaaaa hilo liogope fasta! hata keep chenj hatak uache! mydear kimbia tu.. huy hapo atakusumbua ndoani!
kuna vitu ni easy sana mfano kumwachia machinga buku sio kesi lakin utamuona anaitolea machooo! eish
hata kwenye kula tu.. anataka nyama Za adabu ale yeye zote tena anazikusanyia kwake FUKUZA KAMA PAKA SHUME!
Dah inabidi nianze kuwa makini na vitu vya namna hio aisee maana ni mambo ya aibu sana kuwa na mke mchoyo.