Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Nimekuambia EAMWS ilikumbwa na tofauti za kidhehebu na kirangi wewe una kazania kuwa hazikuwepo. Kama hazikuwepo, EAMWS ingeendelea kushamiri Kenya na Uganda ambako Nyerere hakuwepo. Kilichotokea ni kwamba mshia alipoona alivyofanywa na waislamu wenzake alirudi nyuma na kuwekeza kwenye taasisi zake ambazo hazikuwahusisha waislamu wa madhehebu mengine. Ndio maana mpaka sasa hivi taasisi za Aga Khan ziko vizuri na zinazidi kupanua huduma zake.Kuku hata umpige na kimfukuza asidokoe mchele,atarudi tu kuendelea kudokoa Ili umpige tena
Nimekwambia eamws haikujalisha madhehebu ya kiislam,unaleta story za Iraq na Iran shia na sunni kuuana,kama siyo *** u nani!?
Unajisikiaje Mtu mwenye low IQ anaongoza nchi yenye watu takribani Milioni 70, ukiwemo wewe mwenye high IQ. Maisha siyo moja jumlisha moja.Ni kutokana na low IQ yake akijikuta anashika kiuno na kulopokalopoka kwa hisia ukweli ukajulikana.
Weka ushahidi hapa acha porojo, samuya ni kilaza juzi tu hapa baada ya kufunuliwa uhovyo wake ndio akajaribu kujifichia kichaka cha dini yake!Awamu ya kwanza ya Samia, tatizo siyo wafuatiliaji,kuna askofu akadhihaki ushungi kuwa rais anakua kama muuza vitumbua,akapewa na jina bi ushungi
Tukivunja muungano Zanzibar inatakiwa kuwa na vitu vifuatavyo;-Udini
-Nepotism
-Uzanzibari
Just cut the hypocrisy hilo liko katika kila nyanja na humu JF lilishajadiliwa kwa kina na mifano halisi, muhimu hapa kwanza ni kuuvunja huu muungano unaofaidisha upande mmoja yanayobaki tutayamaliza wenyewe kama Watanganyika. Mizanzibari imejazana kila sekta na katika mambo hata yasiyohusu muungano, inamiliki ardhi everywhere ukijaribu kwao hawawezi kukukubalia hivyo tuunvunje huu muungano wa kikanjanja Samia akatawale kwao huko tuone kama watamkubali.
Hivi netanyahu ni dini gani yule jamaa maana anavyofukia watoto kwenye vifusi utadhani hana diniMtu mwenye hofu ya Mungu na mshika dini asingeruhusu watu wauliwe kinyama na baadhi miili yao kuzikwa kwenye makaburi ya halaiki…
Hivi nyie Waislamu mnaomtetea kwa vigezo vya dini, ndio dini inavyosema hivi?
Uislamu unasemaje kuhusu kusitiri miili ya watu waliotangulia mbele ya haki?
Wanatakiwa kulundikwa kwenye stretchers kama digidigi?
You are making this silly and a low IQ argument.Hivi netanyahu ni dini gani yule jamaa maana anavyofukia watoto kwenye vifusi utadhani hana dini
Uchumi ungekua rahisi hvyo nchi kama South Africa ingekua inatoa msaada pia kwa TanganyikaTukivunja muungano Zanzibar inatakiwa kuwa na vitu vifuatavyo;
1. Kiti cha UN
2. Jeshi
3. Benki kuu
4. Mahakama kuu
Hivi vitu Zanzibar ikiwa navyo Tanganyika wasubiri kupewa misaada kutoka Zanzibar baada ya miaka 20 tu
Tatizo mmezowea uwongo, taasisi iliyoanzishwa kama multiracial,kwa ajili ya madhehebu yote,ife kisa ubaguzi wa rangi na madhehebu?..ukikusanya waislam wa kenya na Uganda hawafiki hata robo ya waislam tz, ndiyo maana ikahamia tzNimekuambia EAMWS ilikumbwa na tofauti za kidhehebu na kirangi wewe una kazania kuwa hazikuwepo. Kama hazikuwepo, EAMWS ingeendelea kushamiri Kenya na Uganda ambako Nyerere hakuwepo. Kilichotokea ni kwamba mshia alipoona alivyofanywa na waislamu wenzake alirudi nyuma na kuwekeza kwenye taasisi zake ambazo hazikuwahusisha waislamu wa madhehebu mengine. Ndio maana mpaka sasa hivi taasisi za Aga Khan ziko vizuri na zinazidi kupanua huduma zake.
Matusi hayapendezi kwa mtu anaejifanya kuwa ni mtetezi wa dini yake.
Amandla...
Mkuu unafikiri yeye anasema anachofanya Netanyahu ni sahihi?Hivi netanyahu ni dini gani yule jamaa maana anavyofukia watoto kwenye vifusi utadhani hana dini
Natamani ungeendelea kuandika mkuu hakika umeandika factsKwanza hongera kwa swali hili, pili jf ya sasa imebadilika sana, mtu unatoa hoja, badala ya watu kujibu hoja kwa hoja au kwa hoja mbadala, watu wanajibu hoja kwa viroja!.
Kwenye hizi hoja za Udini, Tanzania tuna tatizo la mazoea ya kitu kinachoitwa Mfumo Kristu, unaoshikiliwa na Kanisa Katoliki Tanzania kupitia TEC, ambapo it's is systematic rais wa Tanzania akiwa Mkristo, ni lazima awe Mkatoliki!. Hii haijaandikwa popote ila ndio hivyo!. Juliasi ni Mkatoliki, Benyamin ni Mkatoliki, Yohana ni Mkatoliki, anayefuata ni Emanueli!.
Hii imewafanya Wakatoliki kujisikia kuwa na an upper hand kwenye utawala wa nchi hii!.
Kwa sababu pia ni ukweli usiofichika, idadi ya wasomi Wakristo ni kubwa zaidi ya wasomi Waislamu, automatically kwenye teuzi nyingi lazima kutajaa Wakristo, hii ikapelekea Wakristo kujiona wao ni deserving kutawala idadi ya teuzi zote.
Tuhuma za Udini zikaanzia kwa Mwalimu Nyerere kuwa amejaza Wakatoliki kwenye serikali yake, Waislamu wakaanza kuita ni Mfumo Kristo, Father Sivalon ameandika kitabu kuhusu Kanisa Katoliki na Siasa za Tanzania.
Wakati wa Nyerere, kuwapata Waislamu wenye sifa za kuteuliwa ilikuwa ni wa kutafuta kwa tochi.
Mfano Benki Kuu ya Tanzania, ilihitaji kuwa na Naibu kutoka Zanzibar, sifa ni awe na Ph.D ya uchumi +10 years experience post Ph.D, mtu huyo hakuwapo, hivyo wa kwanza kupatikana ni enzi za JK.
Tanzania tuna ma CDF 8, kati ya hao mwenye jina la Kiislamu ni mmoja tuu, Abdullah Twalipo tena usikute ni jina tuu kama Jaji Mkuu Saidi au Jaji Ramadhani, majina ya Kiislamu, wenyewe Wakristo.
Samia akiteua CDF Muislamu sasa hivi utasikia kelele jeshini!, hii ndio mara ya kwanza Mnadhimu Mkuu ni kutoka Zanzibar!, kelele!.
Hakuna rais alukuwa na mkabila, mdini na nepotism kama JPM, kwa vile alikuwa Mkatoliki, hakuna kelele, sio tuu aliteua kabila lake tuu, ndugu zake, rafiki zake hadi something zake!, watu kimya.
Samia kateua tuu mtoto na mkwe, kelele!. Kiukweli Samia hana udini wowote, tatizo ni
1. Ni Mwanamke
2. Muislamu
3. Mzazibari mwenye nywele za singa
Enzi za Mwinyi hakukuwa na kelele hivi, hivyo huyu Mama wanamuonea tuu kwa uanamke wake!, dini yake na asili yake.
Tusiruhusu
P
Anakuongoza wewe na familia yako na wanachama wake ndiyo maana alijiapisha shimoni.Unajisikiaje Mtu mwenye low IQ anaongoza nchi yenye watu takribani Milioni 70, ukiwemo wewe mwenye high IQ. Maisha siyo moja jumlisha moja.
Gaza watu wanapambania nchi Yao, huku maharamia wanaharibu miundombinu na kupora mali za watu wakiwa na nia ya kuangusha serikaliMkuu unafikiri yeye anasema anachofanya Netanyahu ni sahihi?
Hili tatizo mnalo nyie zaidi, mnafurahia waliouliwa huku alafu mnasikitika wanaouliwa gaza
Warioba hawezi kusema kitu kama hicho. Weka hata ushahidi wowote uleWarioba alisema teuzi za Samia Zina harufu ya udini
Nimeuliza tu dini ya Netanyahu au hana dini?You are making this silly and a low IQ argument.
So, you are trying to justify what Samuya did by saying that Netanyahu is also doing the same.?
Hata huku pia wanapambia nchi yako dhidi ya watekaji na wauaji.Gaza watu wanapambania nchi Yao, huku maharamia wanaharibu miundombinu na kupora mali za watu wakiwa na nia ya kuangusha serikali
Kwahiyo unaifananisha South Africa na Bongo yenu? Tena ndio wamepata Uhuru 1994 miaka 33 baada ya Uhuru wa TanganyikaUchumi ungekua rahisi hvyo nchi kama South Africa ingekua inatoa msaada pia kwa Tanganyika
Kama hoja ni kisiwa basi Madagascar, comoro zingekua nchi tajiri Africa.
Muovu huwa ana mbinu nyingi za kuongoza na kuendelea kuua. Unafikiri kwa nini mnachukia Netanyahu lakini bado anaendelea kuua? Kwa maelezo yako haya tafsiri yake ni kuwa Netanyahu ana akili kuliko nyie?Unajisikiaje Mtu mwenye low IQ anaongoza nchi yenye watu takribani Milioni 70, ukiwemo wewe mwenye high IQ. Maisha siyo moja jumlisha moja.
Nimezungumzia kulingana na ulichoandika, ndio maana mfano wa south Africa ukaja. South pamoja na kuendelea kote lakini bado hawana msuli wa kutoa msaada kwa Tanzania au kwingine, hayo maajabu ya Zanzibar ndani ya miaka 10 ni sawa na story ya dhahabu kwenye pua ya nguruweKwahiyo unaifananisha South Africa na Bongo yenu? Tena ndio wamepata Uhuru 1994 miaka 33 baada ya Uhuru wa Tanganyika
(19) Jaji Warioba, ingekuwa vyema ukaiacha Serikali ifanye kazi, wewe ni miongoni mwa watu wa heshima kwenye taifa hili | Page 2 | JamiiForums Jaji Warioba, ingekuwa vyema ukaiacha Serikali ifanye kazi, wewe ni miongoni mwa watu wa heshima kwenye taifa hiliWarioba hawezi kusema kitu kama hicho. Weka hata ushahidi wowote ule
Sidhani kama Bakwata wametoa tamko la masikitiko ya October 29 mimi nimeona Tec hadi mavazi ya zambarau wamevaa ila kwa Bakwata sina uhakikaMkuu unafikiri yeye anasema anachofanya Netanyahu ni sahihi?
Hili tatizo mnalo nyie zaidi, mnafurahia waliouliwa huku alafu mnasikitika wanaouliwa gaza