Hii hoja umeiotoa wapi au unasoma kwa kurudi nyuma?Unasema Zanzibar ikiwa na mammlaka kamili itapata misaada ya miundombinu Kama anbavyo kwa Sasa Tanzania inapata?
Sijafananisha mtu mm ila nimeuliza dini ya NetanyahuMimi Netanyahu ananihusu nini? Mjadala wa hapa ilikua huyu bibi ambae anatuhusu. wewe ndio ukaleta mfanano wa Netanyahu
Kuna mashehe walikaa ndani miaka nane 8Hili swali ulilo uliza ni la kweli au unatania tu ? Kwa sababu Samia si mdini tu bali ni zaidi ya mdini ...
Tundu lissu yupo ndani hadi leo anatuhumiwa kwa uhaini pasipo siraha wala bomu wala kuchinja mtu ....ila ana shitakiwa kuwa ni Haini kwa sababu alisema kitawaka .....mashekh wamesikika wazi hadi mmoja katamka mbele ya Rais na mbele ya wakristo tena ndani ya kanisa kwa watu wachinjwe akiwalenga wakristo, hakuna shekhe aliye kamatwa wala kuhojiwa...Samia kafungia makanisa kisa ngwajima kauliza watekaji ni kina nani? na kupinga watekaji? Samia ana ajenda zaidi ya udini ...nayo ni kuamini kuwa tanganyika ni koloni halali la WAARABU.
Unasema ustaarabu uliopo zanziba sababu hakuna ufisadi.Ustaarabu mmoja wapo wa Zenji ni kutoendekeza ufisadi na ubadhilifu wa Mali za umma hata kwa kidogo wanachogaiwa kutoka kwenye Muungano wanakitumia vizuri la si hivyo Zenji ingekuwa kama mkoa wa Tanga kimaendeleo hadi sasa
Pitia wakurugenzi wa halmashauri na wakuu wa wilaya ndio utajua na makatibu wa ccmHumu jukwaa kuna tuhuma ambazo Samia Suluhu anatupiwa ya kwamba ni mdini na amejaza waislamu katika wateule wake sasa najiuliza udini wa Samia uko wapi? Au udini wa Samia anaufanyia wapi?
Mbona nikiangalia kati wateule wake kati ya wakristo na Waislamu naona wakristo ni wengi sana kwa maana kuna idadi kubwa ya wakristo Kati wateule wake kuliko waislamu?
Je, udini wa Samia uko wapi? Na mbona kiongozi akiwa muislamu hizi kelele za udini ni nyingi sana kuliko akiwa wa dini nyingine?
Mimi nauliza tu wala sina maana mbaya uzi uachwe.
Hizo ni miongoni mwa athali za muungano hasa kutoka chama cha mapinduziUnasema ustaarabu uliopo zanziba sababu hakuna ufisadi.
Wasikilie hawa, huyu ni raisi mwinyi anassma ndani ya mwezi mmoja aligundua ufisadi mkubwa sana Zanzibar
View attachment 3519098
Huyu ni jussa akizungumzia ufisadi Zanzibar
- YouTube
Enjoy the videos and music you love, upload original content, and share it all with friends, family, and the world on YouTube.share.google
Huyu ni othman masoud akizungumzia ufisadi Zanzibar
View: https://www.youtube.com/watch?v=wQfzovW6D5Q
Ufisadi banadrini Zanzibar
- YouTube
Enjoy the videos and music you love, upload original content, and share it all with friends, family, and the world on YouTube.share.google
Mwinyi akiahidi kupambana na mafisadi Zanzibar
HABARILEO on Instagram: "RAIS MWINYI AAHIDI KUPAMBANA NA MAFISADI - Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi ameahidi kushuhurika na mafisadi kwa kuwachukulia hatua za kisheria . - Akizungumza wilayani Chakechake, Mkoa
142 likes, 1 comments - habarileo_tz on December 17, 2020: "RAIS MWINYI AAHIDI KUPAMBANA NA MAFISADI - Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi ameahidi kushuhurika na mafisadi kwa kuwachukulia hatua za kisheria . - Akizungumza wilayani Chakechake, Mkoa wa Kusini...share.google
Hizo ni rejea chache kati ya nyingi. Au una Zanzibar yako ambayo sio hii?
Umesema moja ya ustaarabu wao ni Hakuna ufisadi, sasa hivi unakiri ufisadi upo Ila sababu ya muungano. Huo ustaarabu uliona lini ikiwa tayari walishathiriwa na muungano tokea 1964?? Au wakati wa ukoloni?Hizo ni miongoni mwa athali za muungano hasa kutoka chama cha mapinduzi
Wanavyofanya huku hata Zenji wanafanya hivyo hivyo ukiwapa mamlaka kamili hizo sarakasi za ccm hazitakuwepo
Shida unasoma kwa jazba comments zangu nenda kasome tena comment ya mwanzo utaona nilisemajeUmesema moja ya ustaarabu wao ni Hakuna ufisadi
City Thunder OKC soma hapa vizuri nilichokisemaZenji hakuna ufisadi wa kiwango cha Tanganyika kama upo basi unaletwa na kuwepo kwa muungano
Tukivunja muungano Zanzibar inatakiwa kuwa na vitu vifuatavyo; look
Dreams sometimes become realities, keep dreaming. La muhimu kwa sasa kila upande ukae kivyake, ujitegeme(mbeleleko hazitakiwi tena), Abdul na mama yake wakatawale kwao huko na Bakhresa and the likes wakitaka kuendelea na biashara kama wawekezaji wa nje it’s well and good vinginevyo warudi kwao.1. Kiti cha UN
2. Jeshi
3. Benki kuu
4. Mahakama kuu
Hivi vitu Zanzibar ikiwa navyo Tanganyika wasubiri kupewa misaada kutoka Zanzibar baada ya miaka 20 tu
Humu jukwaa kuna tuhuma ambazo Samia Suluhu anatupiwa ya kwamba ni mdini na amejaza waislamu katika wateule wake sasa najiuliza udini wa Samia uko wapi? Au udini wa Samia anaufanyia wapi?
Mbona nikiangalia kati wateule wake kati ya wakristo na Waislamu naona wakristo ni wengi sana kwa maana kuna idadi kubwa ya wakristo Kati wateule wake kuliko waislamu?
Je, udini wa Samia uko wapi? Na mbona kiongozi akiwa muislamu hizi kelele za udini ni nyingi sana kuliko akiwa wa dini nyingine?
Mimi nauliza tu wala sina maana mbaya uzi uachwe.
Hivi unajua maana ya udini keeli au unaropoka tu ...shekh au padri kukas ndani diyo hoja kuna maladri hadi sasa wapo jela kwa ubakaji nk .....tatizo la waislamu kuwaelimisha ni kazi sawa na kumwelimisha nguruwe....Kuna mashehe walikaa ndani miaka nane 8
Kiswahili kinakupiga chenga? Wapi nimesoma kwa jazba?Shida unasoma kwa jazba comments zangu nenda kasome tena comment ya mwanzo utaona nilisemaje
Mamlaka kamili inapewa na Tanganyika iliyoitawala Zenji miaka na miaka kwa jina la Tanzania huku ikinyimwa Uhuru wa kuwa na kiti Umoja wa mataifa, Bank kuu ya Zanzibar na jeshi la nchi ya Zanzibar na hayo ameyafanya nyerere baada ya kuinjinia mapinduzi huku akimueka kibaraka wake Abeid karume ambae baadaa ya akili kuja kumkaa sawa akamgeuka Nyerere na kumuambia muungano ni kama koti
Kwa sasa mnaitawala Zanzibar halafu nyie ndio mnajifanya kulia lia wakati hata rais wa Zanzibar mumemuweka mtanganyika
Nimekuuliza huo ustaarabu Zanzibar uliuona lini ikiwa tayari unasema Zanzibar imeshaathiriwa na muungano toka 1964?City Thunder OKC soma hapa vizuri nilichokisema
udini hana. ila yawezekana ni rahisi kupotoshwa na wajanja, na hiyo ndio imemgarimu hadi kufikia hapa. kwa vipimo vya udini, kwa kweli ukisema ni mdini utakua unatenda dhambi. mimi ni mkristo na sijaona kama nimebaguliwa au harufu ya udini sijaiona. hata aliyemshauri issue ya gwajima alimpotosha, though it is obvious hata ile ya gwajima unaona iliingia kisiasa, gwajiboy alikuwa tishio ila haikupigwa kwa minajili ya dini moja kwa moja. huu ndio ukweli.Humu jukwaa kuna tuhuma ambazo Samia Suluhu anatupiwa ya kwamba ni mdini na amejaza waislamu katika wateule wake sasa najiuliza udini wa Samia uko wapi? Au udini wa Samia anaufanyia wapi?
Mbona nikiangalia kati wateule wake kati ya wakristo na Waislamu naona wakristo ni wengi sana kwa maana kuna idadi kubwa ya wakristo Kati wateule wake kuliko waislamu?
Je, udini wa Samia uko wapi? Na mbona kiongozi akiwa muislamu hizi kelele za udini ni nyingi sana kuliko akiwa wa dini nyingine?
Mimi nauliza tu wala sina maana mbaya uzi uachwe.
Ulimsikia akikemea wale mashehe ubwabwa waliotangaza hadharani kuwa watakata watu vichwa?Swali langu lipo kwenye udini najua anafanya mambo ya kutisha sana ila kusema ni udini ni uongo mkubwa
Waulize BAKWATA na wahadhiri na wahadhiri wa kiislamu wanaolalamika kila siku kuwa Samia anachukiwa kwa dini yake.Humu jukwaa kuna tuhuma ambazo Samia Suluhu anatupiwa ya kwamba ni mdini na amejaza waislamu katika wateule wake sasa najiuliza udini wa Samia uko wapi? Au udini wa Samia anaufanyia wapi?
Mbona nikiangalia kati wateule wake kati ya wakristo na Waislamu naona wakristo ni wengi sana kwa maana kuna idadi kubwa ya wakristo Kati wateule wake kuliko waislamu?
Je, udini wa Samia uko wapi? Na mbona kiongozi akiwa muislamu hizi kelele za udini ni nyingi sana kuliko akiwa wa dini nyingine?
Mimi nauliza tu wala sina maana mbaya uzi uachwe.
Mnauweza sana unafiki! Samuya ameshutumiwa kwa kukosekana haki na usawa. Watetezi wake mkazusha kuwa anapingwa kwa sababu ya dini yake! Samuya ana dini?! Dini gani inayoruhusu wizi wa haki za raia? Na siyo samuya tu, hata hao wakina nchimbi, mkunda, wambura wote hao ni genge la wezi wa mali za nchi na wauaji. Mauaji waliyofanya hawakuuliza dini za wahanga. Msitake kupenyeza udini kwenye mambo yaliyo wazi kabisa.Kuna watu humu jukwaani wanasema ni mdini udini wake uko wapi?
Samia kaonyesha udini kwa kuwaachia masheikh kutoa kauli za uchochezi wa vurugu za kidini, kutoa kauli za vitisho zenye kuhatarisha amani na mbaya zaidi anawaachia masheikh wanamshambulia hadi Makamu wa rais kwa tuhuma za kutumika na viongozi wake wa kidini wa katoliki. Hayo yasingewezekana kufanyika na rais akanyamazia tu ila yeye nae akaenda kulaumu TEC tu kama vilevile wafanyavyo masheikh.Swali je udini wake uko wapi?