Hivi UDOM ni chuo ch umma au CCM?

Hivi UDOM ni chuo ch umma au CCM?

Edson Zephania

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
517
Reaction score
112
Naomba wana jf mnisaidie.
Nilipokwenda UDOM (University of Dodoma) kwa mara ya kwanza kuona chuo kikubwa ambacho kinavuma kwa kasi. Ukiwa unaingia getini utakutana na nembo kubwa ya CCM wakat vyuo vingne unakutana na nembo ya chuo husika, nikapata maswali bila majibu kua hivi Udom ni chuo cha Umma au CCM?
 
Kile ni chuo cha umma lakini kuhusu hiyo nembo labda ni sababu ya jengo kuwa mali ya ccm kabla ya kukabidhiwa serikali. Sijui kama nimejibu vema
 
Huko nyuma CCM ilikuwa ndio umma - sasa kasumba inaendelezwa na watu wengine
 
Hiyo nembo ni ya vyuma na imejengewa zege zito. Nilijaribu kuongea na mmoja wa wanafunzi akanambia wao walishajaribu kulifikisha hilo kwenye utawala tangu 2008, jibu walilopewa ni kua anaeweza akodi buldoza akaitoe ati wao hawawezi kuharibu mamilioni ya pesa.
 
UDOM ilianzia kwenye jengo la chimwaga ambalo ni la ccm,ndio maana hiyo nembo kuwepo hapo,ila ni vizuri ikaondolewa,by the way,siasa haziruhusiwh vyuoni
 
Back
Top Bottom