Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ilikuchukua muda gani mkuu mpaka kupona. ulitumia dawa gani?MIMI WIKI MBILI ZILIZOPITA NILIKUMBWA NA HUU UGONJWA MKUU, MACHO YALIKUWA MEKUNDU BALAA NA YENYE KUWASHA NIKO DAR
Wakuu, hivi ugonjwa wa macho mekundu (red eyes) umeingia Dar. Leo nimeenda nyumba moja nimekuta watu mawili wanaumwa macho.
Kwakuwa nimekaa sana hapo nina wasiwasi nami naweza kupata. Nifanyeje ili usinipate?
Dawa ni maji ya motoilikuchukua muda gani mkuu mpaka kupona. ulitumia dawa gani?
MKUU SIJATUMIA DAWA YOYOTE ILA ILICHUKUA KAMA WIKI NA KITU KUPONA KABISA, YANAWASHA BALAA MKUU USIOMBEilikuchukua muda gani mkuu mpaka kupona. ulitumia dawa gani?
Ni uchafu tuu...kama mtu uko smart basi Red Eyes utaiskia BombaniWakuu, hivi ugonjwa wa macho mekundu (red eyes) umeingia Dar. Leo nimeenda nyumba moja nimekuta watu mawili wanaumwa macho.
Kwakuwa nimekaa sana hapo nina wasiwasi nami naweza kupata. Nifanyeje ili usinipate?
Hiyo ni viral infection. Nawa uso na sabuni mara kwa mara. Epuka kufikicha macho.Wakuu, hivi ugonjwa wa macho mekundu (red eyes) umeingia Dar. Leo nimeenda nyumba moja nimekuta watu mawili wanaumwa macho.
Kwakuwa nimekaa sana hapo nina wasiwasi nami naweza kupata. Nifanyeje ili usinipate?
Wakuu, hivi ugonjwa wa macho mekundu (red eyes) umeingia Dar. Leo nimeenda nyumba moja nimekuta watu mawili wanaumwa macho.
Kwakuwa nimekaa sana hapo nina wasiwasi nami naweza kupata. Nifanyeje ili usinipate?
Kwani kufanya maombi ya kidini kwa siku tatu ni COVID-19 tu?Soma Vizuri Mzee
Hatuzungumzii Corona hapa