Ina maana hujui hata kusoma au ndio veta imeshawaharibu, acha kukariri soma kuhusu history of medical science, algebra and alogarithm ujue nani aliyegundua hivi vitu siyo unakariri tuPumbavu Yani wagunduzi wa kizungu waumize kichwa sifa uzipeleke Kwa waarabu.
Kwahiyo wale wote waliupokea walijikubali ni washenziMshenzi ni mtu yoyote ambaye hajastaharabika, kwahiyo mshenzi kimsingi sio tusi!!!
Ukisema Afrika utawachanganya watu,maana Misri ilikuwa emendelea hata kabla Ibrahimu hajazaliwa,yaani hawa Waisraeli walikuwa bado hawajaumbwa,ebu tujikite na Tanzania kwanzaKwani kabla ya ujio wa Islam Africa ilikuwa haifanyi business ?
Tafuta kitabu cha Walter Rodney "Africa development before 7 century
Kanisa ndio likiongoza kufanya biashara ya utumwa. Ukitaka uthibitisho nenda zanzibar kanisa la mkunazini utaonaWalikuja kupiga marufuku biashara ya Utumwa katika Mwambao wa Afrika ya masharilki
Wakiristo chuki zenu dhidi ya uislam ndio kunawafanya watoto wenu waingie ktk uislam kwa kuwafata waume na wake wa kiislam.Wamegundua Internet unayotumia kuwasiliana na magaidi wanzako na kuagiza tende,kanzu,baraghashia na tasbihi online..
Kanisa lilijengwa sehemu iliyokuwa ni soko la Binadamu wa Kiafrika, acha upotoshaji.Kanisa ndio likiongoza kufanya biashara ya utumwa. Ukitaka uthibitisho nenda zanzibar kanisa la mkunazini utaona
Pumbavu Yani wagunduzi wa kizungu waumize kichwa sifa uzipeleke Kwa waarabu.
Pilao/Pilau, kobazi nkuislamu upo karibia miaka 1000 pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii? hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu ?
Ulipomuingiza Nyerere kwenye kufanya vibaya kwa shule za Zanzibar ndo nimetaka kujua, ni kivipi Nyerere umuhusishe wakati kinachowafelisha wanafunzi wa zenji kipo wazi? Maelezo yako bado hujaweka wazi, mapinduzi na Nyerere, ni kwa vipi iwe kikwazo kwa elimu ya zenji?Unajua ukitaka kukielewa kitu weka chuki pembeni,mfano ni mdogo tu,Dubai ilikuwa na maisha duni sana,na kalibu asilimia 100 ni Waisilamu,walipogundua mafuta ndipo inchi ikapiga hatua kubwa kiuchumi,na siyo kwamba waliacha kuwafundisha watoto zao madrasa kama unavyosema, mpaka leo wanafundishwa elimu ya Dini.
Baada ya kuona mafuta yamebakisha miaka michache kuisha wameanzisha biashara ya utalii kupitia faida ya mafuta, hao ni Waisilamu pure
Nakuja kwako sasa,sisi tuna madini chungu nzima gramu moja ya dhahabu bei yake ni kubwa kuliko pipa la mafuta na tuna madini mengi mchanganyiko lakini mpaka leo sisi maskini,hiyo elimu yako ya mzungu unayoisema imetusaidia nini?
πππππ Hamna kaka naongea kitu kutoka moyoni mkuu πππhahaha, mzee wangu,huu unafiki umevuka viwango vya kichawa
Unajua nyie vijana wa sasa hivi histori hamzijui vizuri sababu mnazisoma,tofauti na aliyeziona au akasimuliwa na walioziona,mara nyingi za kuandika hasa za inchi za kiafrica huwa wanaandika ili kuwapendezesha watawala walioko madarakani,kwa wakati huoUlipomuingiza Nyerere kwenye kufanya vibaya kwa shule za Zanzibar ndo nimetaka kujua, ni kivipi Nyerere umuhusishe wakati kinachowafelisha wanafunzi wa zenji kipo wazi? Maelezo yako bado hujaweka wazi, mapinduzi na Nyerere, ni kwa vipi iwe kikwazo kwa elimu ya zenji?
Mzee mbona huweki wazi unaogopa nini! Mi nipo zenji hapa nikiongeaga na wenyewe huwa wanasema eti Baraza la mitihani huwa linawafelisha kimakusudi watoto wao, vipi unaungana nao kwenye dhana hiyo? Mi naona vitoto vidogo vinashinda madrasa we unafikiri vitaweza kubattle na vitoto vya huko vinavyoshinda shuleni!?Unajua nyie vijana wa sasa hivi histori hamzijui vizuri sababu mnazisoma,tofauti na aliyeziona au akasimuliwa na walioziona,mara nyingi za kuandika hasa za inchi za kiafrica huwa wanaandika ili kuwapendezesha watawala walioko madarakani,kwa wakati huo
Karume alidanganywa na Nyerere akaingia kingi kufanya mapinduzi,basi hapo ndiyo ikawa mwisho wa ukuaji wa Zanzibar na ikasimama na kuanza kurudi nyuma,baada ya miaka kazaa, alipotaka kujitoa kwenye muungano akauwawa ,mpaka leo Zanzibar inaamuliwa mambo yake kutoka bara
Point yangu wakati inajiamulia mambo yake ilikuwa mbali sana kielimu,unawakuta wasomi kama Muhamedi babu,na wengi tu,
Hawa walikuwepo Afrika mashariki kabla ya ujio wa Wageni.Waganga wa Kienyeji.