Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,694
- 7,912
Umeelezea vizuri.Hata hii jf,tunaochat na vingine vyote,vilivuotengenezwa,bila Mohammed Musa Al Khawarithim,aliyegundua algebra,inayotumika kwenye IT,dunia ingekuwa gizani.Ikulu yako ya magogoni ilikuwa madrasa!
Ustaarabu wa usafi wa mwili umeletwa na Uislam, huko kwenu ushenzini mpaka leo wanachambia majani!
Haki, ndoa, mahusiano uvaaji wa nguo umeletwa na Uislam.
Mapishi yote yote yameletwa na Uislam..
Hata kuzika watu ni matokeo ya Uislamu! Kabla ya hapo mlikuwa mnaacha mizoga ijiozee yenyewe..
Wahitaji zaidi?
Nyie wazee wa siku hizi mbona mna akili ndogo sana! Yaani unaamini asingegundua huyo jamaa tungekuwa gizani hadi leo, inamaana Giza lilikuwa lazima liondolewe na yeye tu kwamba asingekuwepo mwingine wa kugundua?Umeelezea vizuri.Hata hii jf,tunaochat na vingine vyote,vilivuotengenezwa,bila Mohammed Musa Al Khawarithim,aliyegundua algebra,inayotumika kwenye IT,dunia ingekuwa gizani.
Mbali ya kugusia Algorithim,alioleta mwamba huyu.
Hayo ni mavazi Yesu,amevaa hivyo,na anavaa Papa,anavaa Padri,anavaa askofu.Nyinyi waumini hamruhusiwi kuvaa huko makanisani,wakati viongozi wenu wanavyaa,kuna ubaguzi mkubwa kati ya viongozi wenu na waumini wa kawaida.Na kuvaa Dera bila nguo za ndani ili kuchombeza Ashki.
Hata hiyo ndege bila algebra na aligorithm,isingekuwepo.KuanziaNyie wazee wa siku hizi mbona mna akili ndogo sana! Yaani unaamini asingegundua huyo jamaa tungekuwa gizani hadi leo, inamaana Giza lilikuwa lazima liondolewe na yeye tu kwamba asingekuwepo mwingine wa kugundua?
Ni sawa na kusema aliyegundua ndege asingegundua ni kwamba ndege zisingekuwepo leo, ni akili za wapi hizi. Asingegundua yeye ni wazi kwamba mwingine angegundua tuu. Achana na mawazo ya kitoto kuona kwamba mtu Fulani asingefanya jambo Fulani basi hilo jambo lisingefanywa na wengine.
Mazao=TendeUislamu Upo Karibia Miaka 1000 Pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii?
Hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu?
Viomgozi gani wa Din wanavaa Dera?!Hayo ni mavazi Yesu,amevaa hivyo,na anavaa Papa,anavaa Padri,anavaa askofu.Nyinyi waumini hamruhusiwi kuvaa huko makanisani,wakati viongozi wenu wanavyaa,kuna ubaguzi mkubwa kati ya viongozi wenu na waumini wa kawaida.
Mbin
Mbona Prophet Mohammed alikuwa hajui kusoma Wala kuandika.
Ndio ujuwe bila hao waarabu waislamu,tusingekuwa na lugha ya kiswahili duniani.Muingiliano wa wenyeji na waarabu ambao walikuwa ni waislam ndio kulizaa lugha ya kiswahili.
Papa,askofu,padre.Yesu pia kavaa dera.Soma kutoka 28:40Viomgozi gani wa Din wanavaa Dera?!
Inernet ni muislamu Mohammed Musa alkhawarithim,ndio aligundua,algebra na algorithim,bila huyu kusingekuwepo internet.IT yote inategemea algebra na algorithm.Wamegundua Internet unayotumia kuwasiliana na magaidi wanzako na kuagiza tende,kanzu,baraghashia na tasbihi online..
Dera ni nguo za kike usizichanganye na Kanzu na Majoho ya Waebrania wa Kale Waarami na Waarabu.Papa,askofu,padre.Yesu pia kavaa dera.
Neno swahili,ni neno la kiarabu,maana yake ni Pwani.Ushahidi tosha wa kuwa Kswahili(Sahili),ni lugha iliyoanzishwa na waarabu.Lugha ya kiswahili ilikuwepo,nsoma historia ya lugha kiswahili.
Kulikuwa na Lahaja za Kiunguja,Kipemba, kimombasa, kitumbatu, kipate, ni Lahaja za kiswahili yaan Dialects, Lahaja hizo zilichukua maneno toka kiarabu, lakini pia kihindi, kireno,kiajemi!!
Kiarabu kama kilivyo kireno kilichangia maneno kwenye kiswahili.
Mvinyo-toka Kireno
Leso-toka kireno
Bima-toka Kiajemi
Salaam-toka kiarabu
Shukran -toka kiarabu.
Kwahiyo Kiswahili haikuletwa na waarabu/uislamu, kiswahili ni lugha Moja , na kiarabu ni lugha nyingine,
Havifanani na kiswahili katika mfumo wa sarufi muundo, wala maandishi yaani, silabi, irabu na konsonanti.
Kama una nia ya kuelewa nadhani utaelewa!!!
Kiswahili kina maneno mengi ya Kibantu kuliko Kiarabu vipi credit yote uwape Waarabu?!Neno swahili,ni neno la kiarabu,maana yake ni Pwani.Ushahidi tosha wa kuwa Kswahili(Sahili),ni lugha iliyoanzishwa na waarabu.
Kwa hiyo ana hati miliki ya ugunduzi wa Internet..?Papa,askofu,padre.Yesu pia kavaa dera.Soma kutoka 28:40
Soma mwanzo 37:31
Soma Lawi 16:4
Soma ufunuo 22:14
Kwa nini hamsomi Biblia,mnatafuta ya waislamu.
Inernet ni muislamu Mohammed Musa alkhawarithim,ndio aligundua,algebra na algorithim,bila huyu kusingekuwepo internet.IT yote inategemea algebra na algorithm.
Kasome biblia,tatizo la,wakristo hamsomi biblia.Dera ni nguo za kike usizichanganye na Kanzu na Majoho ya Waebrania wa Kale Waarami na Waarabu.
Angalia nilichoandika ukakinukuu na ulivyojibu.😁Kasome biblia,tatizo la,wakristo hamsomi biblia.
Kutoka 28:40
Kisha utafanya kanzu kwa wana wa Haruni.......na uwafanyie kwa utukufu na uzuri.
Lawi 16:4
Atavaa ile kanzu ya kitani.....naye atavaa kofia ya kitani....hayo ndio mavazi MATAKATIFU.
Hilo neno swahilli ni neno la kiarabu,maana yake Pwani.Kama lugha hawakuanzisha wao,kwa nini lugha na watumiaji wa lugha waitwe kwa jina la kiarabu.Lete lugha moja,ambayo ina tofauti ya jina lake na kabila lililoanzisha lugha hiyo.Kiswahili kina maneno mengi ya Kibantu kuliko Kiarabu vipi credit yote uwape Waarabu?!
Hakuna mkoa usiokuwa na origin kabila lake. Ila mnajitoa tu ufahamuDar kwa hovyo? We una akili kweli? Dar ni jiji la kabila au dini gani?
Huna hoja.Nimekubana.Someni biblia.Utaona mtu anakashifu kanzu kisa kavaa muislamu,wakati Papa,Askofu,Padre,Yesu,Joseph(Yusuf)wote wanavaa,tena wakati wa ibada,na katika biblia imesema ni vazi takatifu.Pia viatu alivyovaa Yesu,Kobaz,mwavkashifu.Someni,acheni kukaa kwenye vijiwe vya pombe za kienyeji na kudanganywa na kudanganyikaAngalia nilichoandika ukakinukuu na ulivyojibu.😁
Kwa logic yako ni kwamba hata jina "Africa" imeanzishwa na WagirikiRoman kwahiyo Africa ni ya Wagiriki na Waroma?Hilo neno swahilli ni neno la kiarabu,maana yake Pwani.Kama lugha hawakuanzisha wao,kwa nini lugha na watumiaji wa lugha waitwe kwa jina la kiarabu.
Ni wapi mimi Imhotep nimekashifu Kanzu acha victim mentality.Huna hoja.Nimekubana.Someni biblia.Utaona mtu anakashifu kanzu kisa kavaa muislamu,wakati Papa,Askofu,Padre,Yesu,Joseph(Yusuf)wote wanavaa,tena wakati wa ibada,na katika biblia imesema ni vazi takatifu.Pia viatu alivyovaa Yesu,Kobaz,mwavkashifu.Someni,acheni kukaa kwenye vijiwe vya pombe za kienyeji na kudanganywa na kudanganyika
Wagunduzi wote sio wasomi,aliyegundua umeme kasoma wapi,aligundua,atom,kasoma wapi,Yesu kasoma wapi?NkMbin
Mbona Prophet Mohammed alikuwa hajui kusoma Wala kuandika