Hivi, uislamu uliwahi kuleta nini?

Huu ndio ukweli,hata katika utalii Bagqmoyo,Pwani,Tanga,Kilwa,wameacha majumba na sehemu za kihistoria za kitalii,tunaingiza mapato.
 
Huu ndio ukweli,hata katika utalii Bagqmoyo,Pwani,Tanga,Kilwa,wameacha majumba na sehemu za kihistoria za kitalii,tunaingiza mapato.
Walileta ustaarabu na pia walileta unyama wa biashara ya utumwa.
 
Kwa hiyo itaniuma roho kisa mgunduzi ni muislam? Naona hauko serious. Hujui kwamba vitu vingi hapa Duniani wagunduzi ni wakristo wazungu hadi kukatokea msemo, "Dunia ya Mungu vitu vya mzungu"

Halafu hizo gunduzi sio dini ni watu binafsi wala dini zao hazihusiki kwenye kugundua mambo. Unalijua hilo?
 
Eti wakristo,nimekupa andiko la kitabu kitakatifu cha ukristo kikitukuza utumwa,kuna maandiko maovu kuliko hayo kuhusu utumwa kwenye biblia,waliopiga marufuku utumwa ni walewale walioanzisha na kuukuza utumwa afrika,waingereza,baada ya mapinduzi ya viwanda,nguvukazi haikuhitajika,mashine zilichukua nafasi,bila hivyo watumwa/biashara ya pembe tatu ingeebdelea,hakuna ukristo hapo
 
Dr.David Livingston alikuwa ni Mmisionari wa Kikristo na ndiye aliyeloby serikali ya Uingereza ipige Stop biashara ya utumwa katika Bahari ya Hindi na Afrika ya Mashariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…