Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,694
- 7,912
Huna hoja.Kanzu unaita dera,ni sawa na suruali kuiita skin tightNi wapi mimi Imhotep nimekashifu Kanzu acha victim mentality.
Utumwa walioanzisha ni wazungu wa magharib waliwachukuwa utumwani mpaka wazungu wenzao wa mashariki ya ulaya,wengine waliwapeleka nchi za arabuni,asili ya muarabu ni mtu mweusi,hao unaowaona weupe,ni baada ya mababu zao,kuoa wanawake wa kitumwa wa ulaya ya mashariki.Mababu ambao hawakuwaoa hao wazungu,zipo familia zao za watu weusi(waarabu wa asili) mpaka leo,lakini ni wachache,kiko kisiwa kinaitwa Schotra(kiko Yemen,hapo ni waarabu weusi watupu,hawakuoana na watumwa wa kizungu.Na ipo sehemu pia Oman,inaitwa Salalah,hapo waarabu weusi ni wengi tu.Dr.David Livingston alikuwa ni Mmisionari wa Kikristo na ndiye aliyeloby serikali ya Uingereza ipige Stop biashara ya utumwa katika Bahari ya Hindi na Afrika ya Mashariki.
Huwezi kupindisha historia, Trans Saharan Slave Trade na East African Slave trade zilianzishwa na Waarabu Waisilamu.Utumwa walioanzisha ni wazungu wa wa magharib
Afrika ni.mfalme wa kiarabu,muarabu asili yake ni mweusi,hao weupe ni mababu weusi(waarzbu wa asili),kuoana na watumwa wa kizukgu wa mashariki,walioletwa na wazungu wa magharibi,kwenye za kiarabu,ndio kukapatikana waarabu weupe.Waarabu wa asili,weusi bado wapo nchi za kiarabu.Kiko kisiwa kinaitwa na Skotrah(Yemen) na mji unaitwa Salalah(Oman),wapo wengi.Neno "Africa" lilikuwepo kabla ya kuasisiwa kwa Dini ya Kiislamu.
Weka ushahidi wa hili?Afrika ni.mfalme wa kiarabu
Siyo kila chenye value kiwe economic oriented!
Even kikiwa na social na economic value bado kitabaki kuwa potential.
Kwani wewe kutambua kwamba kufanya ngono zembe kuna athari kwenye afya yako kunakusaidia nini kiuchumi
Huna akiliSiyo kila chenye value kiwe economic oriented!
Even kikiwa na social na economic value bado kitabaki kuwa potential.
Kwani wewe kutambua kwamba kufanya ngono zembe kuna athari kwenye afya yako kunakusaidia nini kiuchumi.
Kitu chochote unacjokiona kimetengenezwa,duniani,kumetumika mahesabu ya algebra na algorithim,ndio maana dunia neima,mashuleni lazima kusoma algebra na algorithm.Hebu nifafanulie uhusiano wa Algebra na spika?
Sema dola ya waarabu na utamaduni wao wa kiarabu(uislamu)Kabla ya uvamizi wa wareno na husda zao kuanzia Somalia mpaka sofala ilikuwa chini ya dola ya kiislamu na uchumi ulikuwa vizuri sana, tuseme hata magofu ya kilwa hauyaoni? yale maghorofa yalijengwa na wamasai?.
Hebu nielekeze kwenye spika algebra inaingia wapi baada smaku na wire na box.Kitu chochote unacjokiona kimetengenezwa,duniani,kumetumika mahesabu ya algebra na algorithim,ndio maana dunia neima,mashuleni lazima kusoma algebra na algorithm.
Kiswahili ni kibantu japo kina maneno ya kiarabuUisilamu ulileta Biashara na Trade katika pwani yetu ya Afrika ya Mashariki na ndio sababu ya kuzaliwa kwa lugha ya Kiswahili.
Mnawadharau wazee wetu kiislam hasa hasa wa ukanda wa pwani walionzisha vugu vugu la kutaka uhuru Nyerere alikaribishwa chama cha TAA kikiwa na viongozi wa kiislam watupu...haya makosa waliyofanya wazee kiislam wakina Mzee Suleiman Takadiri msoma dua kabla ya Nyerere hajanza hutuba wakina Mohamed Ramiya mzee Abdul Sykes...wengi tuu ya wazee wa kiislam walikua chachu ya uhuru sasa mnaleta dharauUislamu Upo Karibia Miaka 1000 Pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii?
Hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu?
Uzi wa chuki dhidi ya awamu ya Samia japo umefichwa kwa kuuhoji uislam.Uislamu Upo Karibia Miaka 1000 Pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii?
Hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu?
Neno hili asili yaken Tunisia,Afrka ya magharibi,ndio kulikuwa na mfalme mweusi,Muarabu Afri guWeka ushahidi wa hili?
Ali Sykes , Abdul Wahab Sykes walianzisha TAA wakamkaribisha Mwalimu Nyerere na kumpa kadi namba moja wao wakichukua namba mbili na tatu, hao ni waislam.Mnawadharau wazee wetu kiislam hasa hasa wa ukanda wa pwani walionzisha vugu vugu la kutaka uhuru Nyerere alikaribishwa chama cha TAA kikiwa na viongozi wa kiislam watupu...haya makosa waliyofanya wazee kiislam wakina Mzee Suleiman Takadiri msoma dua kabla ya Nyerere hajanza hutuba wakina Mohamed Ramiya mzee Abdul Sykes...wengi tuu ya wazee wa kiislam walikua chachu ya uhuru sasa mnaleta dharau
Wewe mwenye elimu ya masjid ndio unayejua huo ujinga kwamba kila mwarabu au utamaduni wa kiarabu ni WA kiislamu kenge weweKwa hiyo ile misikiti ya kale kule kilwa ilijengwa na waarabu lakini siyo waisilamu? Hiki kizazi 2000 kazi sana,sijui hata huko shule mlienda kusomea nini
Islamophobia unaofanywa na waislamu ndio real. Jambo likiwa zuri mnasema uislamu huo likiwa baya mnasema huyo ni mwarabu tu sio muislamu.Ndio maana tunasema ISLAMOPHOBIA is real
Yaani jambo likiwa zuri ni la Waarabu
Ila likiwa baya ni la Uislam
Tunisia ilikuwa inaitwa Carthage na Waroma mkoa wao wa Roman Empire uliokuwa ukiitwa Aphrica ni Modern day Lybia.Neno hili asili yaken Tunisia,Afrka ya magharibi,ndio kulikuwa na mfalme mweusi,Muarabu Afri gu
Jitahidi kusoma vitabu ili uepukane na hii aibu. Inaonekana hujui kabisa historiaUislamu Upo Karibia Miaka 1000 Pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii?
Hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu?
Pamoja comradeKabisa mzee sikupingi💯
👌 kweli kabisa, huwezi kuitaja historia ya Tanganyika bila kuwataja Waisilamu na Wakristo wote waliplay big role katika kulitafutia Uhuru taifa hili.Ali Sykes , Abdul Wahab Sykes walianzisha TAA wakamkaribisha Mwalimu Nyerere na kumpa kadi namba moja wao wakichukua namba mbili na tatu, hao ni waislam.