Hivi, uislamu uliwahi kuleta nini?

Uislam ndio ulianza kudai uhuru tanzania,

Nyerere ktk hotuba,zake anakwambia yeye ndio mkristu wa kwanza kukaribishwa tanu, kwa maana kabla ya nyelele waislam walikuwa ktk harakati za,kudai uhuru,

Baadae wakamkaribisha nyerere ,

Wakamuamini na kumpa nguvu na kupambana nae,

Ukienda kuangalia majina ya wapigania uhuru utakuta mijana ya waislam ni meeeengi sana.

Baada ya uhuru uislam ulikandamizwa sana tanzania na ndio maana mpka leo unaona uislam wa tz kama hauko na umoja fualani,


Kuna kasumba kuubwa sana ipo ndani yake,

Fikili ukristo kuna madhehebu zaid ya 4 na yooote yamesajiliwa lkn uislam hawakubali wasijili dhehebu lingine wanasema bakwata inatosha,
 
Uislamu Upo Karibia Miaka 1000 Pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii?

Hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu?
Zao la haluwa, mdalasini na tende. Bila kusahau urojo.
 
Wewe umeuliza uislamu umeleta Nini hapa pwani au nchini kwetu.
Ukristo hapa hauna zaidi ya miaka 150 wakati uislamu uko Afrika mashariki na magharibi zaidi ya miaka elfu.
Wakati wamisionary wanafika hapa watu walikua wanawasiluana kwa maandishi kwa kutumia herufi za kiarabu kuandika kiswahili.
Lugha unayotumia ni Moja ya matokeo ya kufika uislamu hapa.
Hebu google "golden age of Islam" uone nondo hapo.
Hii Dunia uvumbuzi na maendeleo yaliletwa na mataifa mbali mbali katika nyakati tofauti na kuendezwa pia na mataifa mbali mbali.
Muhimu jiulize koo yako Nini imechangia hapa duniani ?
 
Sasa kipindi cha Ibrahim kulikuwa na Uislam?
 
Uislamu Upo Karibia Miaka 1000 Pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii?

Hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu?
Umeleta chuki za watu kuita wenzao makafiri kana kwamba wao siyo.
Umeleta ujinga wa kupwakia mila za kiarabu chini ya kisingizio cha dini.
Umeleta ugaidi wa watu kuwa tayari kuua au kuawa kwa kutetea mila za watu.
Umleta uongo kuwa Makka na Madina ni miji mitukufu.
Umeleta uzinzi wa kuahidi watu pepo iliyojaa wanawake bila kusema wanawake nao watapewa wanaume wangapi. Umeleta uchawi wa majini na nyota. Sawa na dini zote za kigeni, umeleta uzembe na uvivu na kupoteza fedha za watu wetu kwenda kuhiji.
 
Jifunze kwanza kutofautisha herufi "L" na "R" ndio ulete upupu wako hapa we kenge.
 
Nasikitika ndugu zangu waislamu.

Hakuna hata mmoja aliyeweza kujielezea kuhusu uislamu Umefanya nini.

Ina maana hii Dini haijafanya jambo lolote la Maana????
Mbona wanadai uislamu ni sayansi

Nisije nikaidharau hii dini bila sababu jielezeni uislamu umefanya nini cha maana.

Mtu walau aje na hoja 10
 
Minazi, miembe, lugha, maandishi, utamaduni wa kiarabu, majina, mavazi
Mkuu watakujibu hivyo vimeletwa na WAARABU na sio uislam😂

Ila vilivyoletwa na wazungu vimeletwa na ukristo..... what a double standard!!!
 
Mkuu ni vyema mgeanza kwanza kusema Ukristo au uhindu or whatever umeleta nini ili ipatikane aspect ya kujadili

Maana Vikitajwa vitu wanasema hivyo vimeletwa na waarabu sio uislam
 
Jifunze kwanza kutofautisha herufi "L" na "R" ndio ulete upupu wako hapa we kenge.
Nashukhuru bwana kwa kunitukana,usizani wote tumesomea Lugha ya Kiswahili,ningesema niandike kwa Lugha niliyosomea sizani hata huo upupu ungeuona, filho da puta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…