Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,442
- 10,464
Uislam ulianza na Nabii Adamhapo sasa na hapo ndipo wengi wanapochanganya, uislamu ulianzishwa karne ya 7 na Muhamad yaani miaka zaidi ya 600 baada ya Christo, kabla ya Muhamad hakukuwa na uislamu na waarabu hawakuwa waislamu, kwanza sehemu kubwa ya uislamuni ya leo kama uturuki, siria, mpaka irak na north afrika yote ilikuwa ni Christian …
Yaani wana vichwa vigumu kama mawe yakusagia sijui kwanini wanapenda kujipendekeza wakati bible imeandika Ibrahim - YESU KRISTO vizazi 42, huo Uislam ulikuwa wapi! Nikuwaacha nakuwasamehe, tuwaombee tu siku moja mafunuliwehapo sasa na hapo ndipo wengi wanapochanganya, uislamu ulianzishwa karne ya 7 na Muhamad yaani miaka zaidi ya 600 baada ya Christo, kabla ya Muhamad hakukuwa na uislamu na waarabu hawakuwa waislamu, kwanza sehemu kubwa ya uislamuni ya leo kama uturuki, siria, mpaka irak na north afrika yote ilikuwa ni Christian …
Makubwa haya 😭😭😭😭😭Uislam ulianza na Nabii Adam
Huwezi kuamini hizi mambo kwa kuwa wewe hata biblia yako tu unaipinga.Makubwa haya 😭😭😭😭😭
Ujue bible haijawahi andika Uislam Wala habari za Mudi zaidi ya wafiristi 🤣🤣🤣🤣🤣Huwezi kuamini hizi mambo kwa kuwa wewe hata biblia yako tu unaipinga.
Zipi habari za Daudi nazo hazijaandikwa au?Ujue bible haijawahi andika Uislam Wala habari za Mudi zaidi ya wafiristi 🤣🤣🤣🤣🤣
Kama wewe biblia inakwambia Daudi alikuwa nabii na bado huamini utaamini nini sasa🤣🤣🤣🤣Ujue bible haijawahi andika Uislam Wala habari za Mudi zaidi ya wafiristi 🤣🤣🤣🤣🤣
Hujielewi yaani unakariri kipande cha neno unaruka nacho kama si uchiziKama wewe biblia inakwambia Daudi alikuwa nabii na bado huamini utaamini nini sasa🤣🤣🤣🤣
Sasa kwa nini unapinga mstari wa kwenye kitabu chako unachosema unakiamini 🤣🤣🤣Hujielewi yaani unakariri kipande cha neno unaruka nacho kama si uchizi
Jina ndio halikuwepo lakini waislam walikuwepokabla ya Muhamad karne ya 7 (baada ya Kristo) kulikuwa hakuna muislamu hata mmoja, labda kama waliitwa jina lingine lkn siyo waislamu, uislamu ulianzishwa na Muhamad miaka 600 baada ya Yesu …
Nafkir wakristu hususan wa kitanganyika huwa hamfundishwi adabu makanisani mwenu. Mnachoelekezwa ni kuwa mazwazwa na kusamehewa zambi.Mimi nimesema hivo sio kwa kudhani, ni kweli kabisa. We nenda kwenye websites za matokeo uone shule za zenji zinavyozalisha vilaza. Kila mwaka zinakuwaga za mwisho. Hiyo inatokana na kutokuzingatia mambo ya shule wao kila kukicha ni madrasa tu kufundishana upuuzi.
Jina ndio halikuwepo lakini waislam walikuwepo
Hiyo unalazimisha weweuislamu ulianzishwa na Muhamad kipi kigumu hapo?
Umeleta ustaarabu wa kiarabu na tamaduni za kiarabu tu. Hakuna la maana.Uislamu Upo Karibia Miaka 1000 Pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii?
Hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu?
Kwani ni lazima liwepokwenye Biblia takatifu Agano jipya hakuna neno uislamu popote
Sasa we mzee mi kusema zenji wanazalisha vilaza unaona sina adabu, then hapa ulichokiandika ndo adabu hii? Au mtume wenu yule kilaza asiyejua kusoma na kuandika ndo anawafundisha adabu hii?Nafkir wakristu hususan wa kitanganyika huwa hamfundishwi adabu makanisani mwenu. Mnachoelekezwa ni kuwa mazwazwa na kusamehewa zambi.
Hata kuongea hamjui, wehu kupita kiasi na mnajiona mnaakili na maarifa. Ati zanzibar inatoa vilaza. Umeshawahi kusoma na wazanzibari ukagundua kuwa wao ni vilaza? Mwehu mmoja. Manatia hasira. Uwe na adabu kinyesi we
Uislamu umeleta daku na futali na kaswida.zaidi ya hapo tutawasingizia .Uislamu Upo Karibia Miaka 1000 Pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii?
Hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu?
Ukristu uliwahi kuleta nini?Uislamu Upo Karibia Miaka 1000 Pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii?
Hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu?