Hivi, uislamu uliwahi kuleta nini?

Moderators waangalie hizi topic za aina hii wangekuwa wanazitupa kapuni tu.
Tujifunze kuheshimu Imani za watu wengine
 
Furani maana yake nini ? mshamba tu.Kama hujui kuandika unakuja humu kufanya nini? Si ukae nyumbani ulee watoto ? Hata uliyoandika hayana kichwa wala miguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…