Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 12,096
- 22,468
Mbona Prophet Mohammed alikuwa hajui kusoma Wala kuandikaMimi ni atheist mtu nisiyeamini katika dini wala Mungu.
Na kwa sababu hii, labda ninaweza kuwa mtu mzuri sana wa kujibu swali hili bila kasumba ya kutetea dini.
Uislamu umeleta mengi mazuri na mabaya, lakini moja kubwa zuri Uislamu umeleta utamaduni wa kusoma na kuandika.
Kuna watu wengi wa Afrika Mashariki walijua kusoma na kuandika kwa kupitia Uislamu. Watu walifikia muda mpaka kuandika Kiswahili kwa maandishi ya Kiarabu.
Hivyo, kujibu swali lako, Uislamu ulileta utamaduni wa kusoma na kuandika huku kwetu ambako hatukuwa na utamaduni wa maandishi.
Wamegundua Internet unayotumia kuwasiliana na magaidi wanzako na kuagiza tende,kanzu,baraghashia na tasbihi online..Wakiristo wameleta nini?
unataka kusema uislam umemeza uafrika?Uislam ni tamaduni na njia ya identification kama ulivyo Uafrika. Uafrika mpaka dakika hii umefanya nn afrika?
nyundo moja na msumari wa nchi saba umepigiliaWamegundua Internet unayotumia kuwasiliana na magaidi wanzako na kuagiza tende,kanzu,baraghashia na tasbihi online..
Kwa hiyo ile misikiti ya kale kule kilwa ilijengwa na waarabu lakini siyo waisilamu? Hiki kizazi 2000 kazi sana,sijui hata huko shule mlienda kusomea niniWalikuwa waarabu sio waislamu. Mbona mnajibu mambo ya warabu badala ya kusema uislamu ulileta nini!!
Wapi?Uislam umeleta AMANI
Uislam umemleta mama+AZAM+WACHEZAJI MASHUHURI+WASANII=uislam.Miaka 1000uislamu upo karibia miaka 1000 pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii? hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu ?
Sema wewe ni next level mkuu wasikuchukulie powa ujueWatu wote washakili kuwa mimi ni genius kabaki mmoja tu Moisemusajiografii huyu ndo bado analeta utata
Kama nchi ina was0mi kama hawa ajira zitat0ka wap¿Kama haujui uislam umekuletea nini tanzania hadi africa hauna sababu ya kusema umesoma ila utakuwa ni msomi usie na faida.
Ugaidi vp?Uislam umeleta AMANI
Hili ni bandiko moja zuri sana.Hizi mada za dini mpaka zinachosha sasa,kikubwa tuangalie kama kuna mazuri yalikuja na hizi dini tuyabebe kama kuna mabaya tuyaache kwa sababu vyovyote iwavyo umeshakuwa kama utamaduni wetu hatuwezi kujivua muhimu ni kuchagua wisely!!!
Sio kuzaliwa acha kupotosha.Uisilamu ulileta Biashara na Trade katika pwani yetu ya Afrika ya Mashariki na ndio sababu ya kuzaliwa kwa lugha ya Kiswahili.
Ndio maana azam wanaajiri waislam weng kwa sababu wanajua akili za kikrist0Wamegundua Internet unayotumia kuwasiliana na magaidi wanzako na kuagiza tende,kanzu,baraghashia na tasbihi online..
Muingiliano wa wenyeji na waarabu ambao walikuwa ni waislam ndio kulizaa lugha ya kiswahili.Ni kukua, ilichukua baadhi ya maneno toka kwa waarabu walioleta usilamu!!
Na ndio maana maandishi ya kiarabu na kiswahili ni tofauti kabisa, sarufi yake ni