Hivi ujanja wa sinza ni upi hasa

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
768
huwa najiulizaga mara nyingi kwa nini wanapaita kwa wajanja...sipati jibu

vijana magraduate wanakimbilia sinza kwa sababu zao amabapo wengi ukiwauliza kwa nn wanaishi pale na si tofaut hana jibu...ataishia kukuambia ni rahisi kutoka na kuingia....

hakuna lolote pale....maisha ya pale yapo juu hasa kodi za nyumba kila kukicha zinapaa,hakuna mazingira mazuri ya kumuwezesha kijana/familia kuishi standard life hapa (kwa mtazamo wangu)

najua wapo wengi mtabisha au kukubali maana tumetofautiana mitazamo ila tujaribu kuangalia na maeneo mengine,,,,sinza siku izi imechafuliwa in such hata ukimweleza mtu unaishi kule anabaki na daut moyoni....mbaya zaidi starehe zake zilivyozagaa,guest,fujo na zaidi wakaaz wa mbali ndo wanakuja pale kufanya uchafu wao na baadh ya wenyeji...aahgrrrrrrrr

ANGALIZO:maisha ni popote na u live the choices u make today!!
 

Nakubaliana na wewe, ujanja wa Sinza ni kitimoto kwa wingi, baa ni nyingi kuliko seheu yoyote Dar na uzinzi wa hali ya juu, wanawake na wanaume wanajiuza barabarani, mabaa na night club.
 
Nakubaliana na wewe, ujanja wa Sinza ni kitimoto kwa wingi, baa ni nyingi kuliko seheu yoyote Dar na uzinzi wa hali ya juu, wanawake na wanaume wanajiuza barabarani, mabaa na night club.

😛lane:😛lane:😛lane:
 
ujanja wa sinza ulianza miaka 80's na kuendelea, wazee wa sinza walijenga nyumba zao kwa mikopo kutoka kwa bank ya nyumba, ila pamoja na kukopa hawakurudisha au kurejesha iyo fedha, ki ufupi hawa wazee walijipoteza au waliingia mitini na kuiacha bank ya nyumba inafilisika. mpaka sasa hawajarejesha iyo fedha. kutokana na ujanja wa wazee hao wa sinza ndo pakaitwa sinza kwa wajanja. nilipata story hii kutoka kwa wazee maarufu wa kijitonyama, yaani mzee athumani na mzee chilinga, wanapatikana kijitonyama karibu na polisi mabatini, ila mzee chilinga alishafariki kama miaka 15 iliyopita, amebakia mzee athumani a.k.a mzee uda ana miaka 93. naomba kuwasilisha.
 
hakuna ujanja wowote sinza zaidi ya wizi,uhuni, mabaa na MADIMBWI YA MAJI BARARANI. Actually sinza ni kati ya sehemu mbaya za kuishi hapa bongo hasa kwa wenye familia. kwa vijana wa kutoka chuo ok maana hata maisha hawayajui
 

Kunywa bia mpaka asubuhi, huwezi kunywa popote zaidi ya Sinza
 
Mimi nimekaa sinza miaka Mitano kama mpangaji. Na kilichofanya nidumu sana hilo eneo ni hapo penye nyekundu. Kweli nakubali binadamu tunatofautiana sana
 
Post za kipuuzi hizi, unaposema vijana wengi magraduet wanakwenda kupanga sinza, kwahiyo unamaanisha wale ambao hawajapata elimu ya juu sio vijana. wewe ni mvivu wa kufikiri. edit upya thread yako ili uilete jamvini. pesa ndio mpango mzima na sio kugraduet.
 
hakuna ujanja wowote sinza zaidi ya wizi,uhuni, mabaa na MADIMBWI YA MAJI BARARANI. Actually sinza ni kati ya sehemu mbaya za kuishi hapa bongo hasa kwa wenye familia. kwa vijana wa kutoka chuo ok maana hata maisha hawayajui
Kwa hiyo mlitaka waseme masaki/mbezi beach au mikocheni kwa wajanja? wenyewe wanashinda sinza
 
kwa miaka 15 niliyo kaa sinza sijaona ujanja wowote wa sinza labda kwa kuunganisha MANZESE na SINZA na kutoa mtaa unaoitwa uzurisinza
ambao haupo kwenye ramani ya jiji
 
Nani huyo anapadis sinza?!!! ukitaka kujua ujanja w sinza tembea ucku saa8 ........ mi ntakua B.BAR nshtue nitakutembeza!!
 

he!! kumbe kugraduate ni elimu ya juu tu...pole yako maana ww ndo mvivu wa mwisho na unajistukia...apo wa la saba,form 4 akaenda ufund stadi,useremala,ushonaji,unesi whatever wote wanaingia kundi hilo..ata driver aliyeenda training ni graduate kwa maana ya mhitimu in kiswahili..huo ni mtazamo wako!
 
ndugu,ina maana ww huoni kama ni ujanja,unakuta vijana na mabinti wanaonekana watanashati lakini mazingira walikotokea unajiuliza wamerukaje hayo maji taka hadi wakafika mjini?! (samahani kama nitakwaza mtu).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…