mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
huwa najiulizaga mara nyingi kwa nini wanapaita kwa wajanja...sipati jibu
vijana magraduate wanakimbilia sinza kwa sababu zao amabapo wengi ukiwauliza kwa nn wanaishi pale na si tofaut hana jibu...ataishia kukuambia ni rahisi kutoka na kuingia....
hakuna lolote pale....maisha ya pale yapo juu hasa kodi za nyumba kila kukicha zinapaa,hakuna mazingira mazuri ya kumuwezesha kijana/familia kuishi standard life hapa (kwa mtazamo wangu)
najua wapo wengi mtabisha au kukubali maana tumetofautiana mitazamo ila tujaribu kuangalia na maeneo mengine,,,,sinza siku izi imechafuliwa in such hata ukimweleza mtu unaishi kule anabaki na daut moyoni....mbaya zaidi starehe zake zilivyozagaa,guest,fujo na zaidi wakaaz wa mbali ndo wanakuja pale kufanya uchafu wao na baadh ya wenyeji...aahgrrrrrrrr
ANGALIZO:maisha ni popote na u live the choices u make today!!