Hivi ujanja wa sinza ni upi hasa

Hivi ujanja wa sinza ni upi hasa

ach kulalamika kama huna pesa nenda kaishi majimatitu huko cnza ina wenyewe bana acha wivu
huwa najiulizaga mara nyingi kwa nini wanapaita kwa wajanja...sipati jibu

vijana magraduate wanakimbilia sinza kwa sababu zao amabapo wengi ukiwauliza kwa nn wanaishi pale na si tofaut hana jibu...ataishia kukuambia ni rahisi kutoka na kuingia....

hakuna lolote pale....maisha ya pale yapo juu hasa kodi za nyumba kila kukicha zinapaa,hakuna mazingira mazuri ya kumuwezesha kijana/familia kuishi standard life hapa (kwa mtazamo wangu)

najua wapo wengi mtabisha au kukubali maana tumetofautiana mitazamo ila tujaribu kuangalia na maeneo mengine,,,,sinza siku izi imechafuliwa in such hata ukimweleza mtu unaishi kule anabaki na daut moyoni....mbaya zaidi starehe zake zilivyozagaa,guest,fujo na zaidi wakaaz wa mbali ndo wanakuja pale kufanya uchafu wao na baadh ya wenyeji...aahgrrrrrrrr

ANGALIZO:maisha ni popote na u live the choices u make today!!
 
Ujanja starehe katiza mida ya saa nane uciku utakuta watu wamejaa kama mchana,bar kibao unapiga maji mpaka panakucha ukiopoa kifaa huna haja ya kuenda mbali gesti zimejaa tele
 
kwanza lazima tujue ili neno 'sinza kwa wajanja' limeanza vipi.
Neno hili lilianza mwaka 1994,kulikuwa na mashindano ya RAP yaliyoandaliwa na KIM&THE BOYZ,yalikuwa yanafanyika pale EMPIRE CINEMA.
kuna kikundi kimoja kilikuwa kinaundwa na vijana wa k'nyama na kiongozi wao alikuwa jamaa mmoja anaitwa petter mwendapole,huyu ndio aliolianzisha hili neno,alikuwa kila akipanda kwenye stage basi anasema ''kijitonyama kwa wajanja'',wakati mashindano yanaendelea kuna jamaa mmoja anaitwa seif,huyu alikuwa na kundi lake wanatoka sinza nae akawa akipanda anasema ''sinza kwa wajanja''
ndipo hili neno lilipomfikia banza stone ambae nae alikuwa na kundi lake la rap pale sinza akawa analitumia,banza ndio aliolikuza hili neno,kwani alipokuwa twanga na baadae TOT aliendelea kulitumia sana mpaka likazoeleka.
nawakilisha
 
Kunywa bia mpaka asubuhi, huwezi kunywa popote zaidi ya Sinza
Sio kweli, sehemu kibao kuna bia usiku kucha.

Sinza kwa Wajanja ni jina lililo stuck toka zamani na sababu ni mfumuko wa ujenzi. Hata hivyo, Sinza sio sehemu iliyoanza kuendelea kwa ujenzi zaidi ya sehemu nyingine. Nyumba za Sinza na vi gest na matope na vichochoro ni vi-ghetto shantytown ukilinganisha na ma site ya Kunduchi, Mbezi, Tegeta, Bahari Beach, Bunju, etc etc. Kama ujenzi ujanja wale wa baharini kule ndio wajanja.
 
Aliyeuza chini ya bandia kapewa hela feki ngoma droo hayo ndo mambo ya sinza
 
Acha kupadis cnza mkuu utaumia! huko bilz malaya bei gali mana ht malaya w kw mfuga mbwa akishafika posta anajidai matawi!! sinza buku tano yako 2 unang'oa tena ile mida mida y saa11 asubuhi unajibebea goma lako buure bila kutoa ht mia ....... jamani sinza! mkoa crudi tena.

Duh sikutaka kuchangia hapa lakini hii AVATAR yako funga kazi!
 
Sinza kwa wajanja ukinywa bia ukienda haja unanyanyuka nayo ukiiacha tu umeumia
 
hhahhahahahaaahhhaa! Mestod bwana, Jet unafananisha na sinza sasa?

Maji hayajai mvua ikinyesha. Amani kwa kwenda mbele. Ukiangusha walet mjumbe anatangaza mwenye nayo anaichukua. Ukiangusha hela inapelekwa kwenye mfuko wa amendeleo ya mtaa.
 
Maji hayajai mvua ikinyesha. Amani kwa kwenda mbele. Ukiangusha walet mjumbe anatangaza mwenye nayo anaichukua. Ukiangusha hela inapelekwa kwenye mfuko wa amendeleo ya mtaa.

Ila ndege ikifeli breki 2 inakula kwenu.
 
Maji hayajai mvua ikinyesha. Amani kwa kwenda mbele. Ukiangusha walet mjumbe anatangaza mwenye nayo anaichukua. Ukiangusha hela inapelekwa kwenye mfuko wa amendeleo ya mtaa.
Wallet ikiangukainaokotwa? hii bado kwetu
 
Aaah wapi. Toka nchi hii imepata kuumbwa haijawahi tokea. We hushangai hadi kipawa wakahama hakuna kitu?

Ni hiyo zamani ila sahv kuna ndege z mchina ......
 
Back
Top Bottom