Na mimi huwa najiuliza, hii terminal inaonekana haiwezi kukidhi mahitaji ya wingi wa abiria ikiwa treni itakuwa inaondoka au kuingia kila baada ya nusu saa mfano... treni inayoingia Dar toka Moro saa 12 jioni huwa abiria wanafurika sana kwa kuwa kuna treni ya kutoka Dar kwenda Dom saa 1855 ambapo abiria wake wanakuwa hawajaingia kwenye treni. kumbuka treni hizi zinapishana karibu saa zima lakini kituo hakitoshi. Kuna operational design imezingua au implementation haijakamilika kama mtoa mada anavyosema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.