Chachasteven
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 1,941
- 2,044
Bora angekuwa wa kutoka Zambia au Nigeria kidogo wangejikongoja.Hao Bongo Muvi wako wataongea kwa Kindengereko na Willy Smith Mkuu? Wewe unadhani wamependa kumkwepa?
Kile ni kiswanglish mkuu unakariri maneno machache ya kimombo cha bia basi unapiga mkorogomkuu na mbona wengi kiswahil kina washinda wanapenda kuongea kingereza we huwasikiii wakiwa wanahojiwa
Steve Nyerere wee unavyofikiri atalielewa kweli yai la Willy SmithWatu wa bongo movie walivyo wazembe hata taarifa ya kuja kwa huyo jamaa hawana
Ipo; sana tu sema changamoto zimewazidi kimo!!!Kwani bado kuna bongo muvi