Chachasteven
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 1,941
- 2,044
BongoMuvi hawawazi kuwekeza sekta yao kimataifa.!Wanataka wawekeze kisiasa zaidi ili wale ela za mapato ya taifa...ahahah.!Natania tu.Back to the point,Hawa BongoMuvi hawajui kutumia fursa kiufupi.!Will anakuja mwenyewe na mnamuangalia hadi anasepa tena kwa mara ya pilg!!Bongo tuna abundace ya ujinga.Tsk!