Hivi uki disco chuo ukaomba sehemu nyingine unaweza kupata na mkopo pia?

Hivi uki disco chuo ukaomba sehemu nyingine unaweza kupata na mkopo pia?

Habari za mda huu wakuu

Hivi ukidisco chuo ukaenda chuo kingine kuna uwezekano wowote wa kuomba mkopo na ukapata???
Masharti yake magumu sana. Kwanza ulikuwa unasoma nini mpaka ukadisco, yawezekana chuo sio njia yako ya mafanikio. Wakati unajiuliza kuhusu kuomba chuo kingine, jiulize kuhusu kufanya mambo mengine. Kila kitu kinawezekana ni wewe umejipanga vipi.
 
Ilikuwa inawezekana. Unaomba chuo ukipata hapo unakuwa umeomba na mkopo ikiwa una sifa ya kupata mkopo basi jina lako Litatoka sehemu ambapo sharti lake ili upate mkopo inakupasa kulipa 25% ya gharama ulizotumia huko kwingine kabla huja disco. Nadhani nilikuwa hivyo
 
Back
Top Bottom