Nicksoni Audax
Member
- Dec 27, 2020
- 6
- 10
Huko chuoni 'kudisco' ni kufanyeje?Habari za mda huu wakuu
Hivi ukidisco chuo ukaenda chuo kingine kuna uwezekano wowote wa kuomba mkopo na ukapata???
Kudisco ni kwenda disco na kucheza mzikiHuko chuoni 'kudisco' ni kufanyeje?
Masharti yake magumu sana. Kwanza ulikuwa unasoma nini mpaka ukadisco, yawezekana chuo sio njia yako ya mafanikio. Wakati unajiuliza kuhusu kuomba chuo kingine, jiulize kuhusu kufanya mambo mengine. Kila kitu kinawezekana ni wewe umejipanga vipi.Habari za mda huu wakuu
Hivi ukidisco chuo ukaenda chuo kingine kuna uwezekano wowote wa kuomba mkopo na ukapata???
Kucheza disco wenzio wakiwa wanapiga msuli😂😂😂Huko chuoni 'kudisco' ni kufanyeje?
Ni kweli afanye mambo mengine kusoma hakumfai huyo mtuMasharti yake magumu sana. Kwanza ulikuwa unasoma nini mpaka ukadisco, yawezekana chuo sio njia yako ya mafanikio. Wakati unajiuliza kuhusu kuomba chuo kingine, jiulize kuhusu kufanya mambo mengine. Kila kitu kinawezekana ni wewe umejipanga vipi.