Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
if at ol unampenda kweli, na unataka muendelee kuwa zamani. my dear inawezekana sana tena. take your tym to heal, usimtukane wala kumlipizia atarun mad zaidi na aliyenaye atapata nafasi zaidi ya kumkamata. na siku zote kuongea kwa hekima NDIO HASWA SILAHA YAMBO YOTE KWENYE MAHUSIANO! amua Gaelle inawezekana!lakini sio rahisi kama unavyosema unajua?
if at ol unampenda kweli, na unataka muendelee kuwa zamani. my dear inawezekana sana tena. take your tym to heal, usimtukane wala kumlipizia atarun mad zaidi na aliyenaye atapata nafasi zaidi ya kumkamata. na siku zote kuongea kwa hekima NDIO HASWA SILAHA YAMBO YOTE KWENYE MAHUSIANO! amua Gaelle inawezekana!
Pombekali my ribs kha! Young_Master kafika bei na mengine tu, kuhusu hayo sijui...... hajawahi nitamkia.Ndo maana Young Master kafika bei ile mbaya,kumbe busara ipo!
Na mimi nitamcheat tena na besti yake...
cacico na Pombekali mnanisema nini? mbona sielewi?Pombekali my ribs kha! Young_Master kafika bei na mengine tu, kuhusu hayo sijui...... hajawahi nitamkia.
Au nitakunywa sumu
Au nitamkata kikojoleo awe anatumia ulimi kecheat!
Au nitakunywa sumu
Au nitamkata kikojoleo awe anatumia ulimi kecheat!
Aisee nikigundua mume wangu ananicheat, nitamyima haki yake.
umeona eeehhh! maana ni kweli vinauma sanaaaaa, kwanza kama hucheat ndio kabisa, ila kuhama au kurevange daima matokeo yake ni hasi! na yatakucost sana wewe kama mwanamke!Hapa umenena shost
Hekima na busara ni muhimu sana kwa sekta hii
muulize Pombekali atakuelezea, mbona kwa jazba hubby? kha!
viatu hubby?? mmmhhh umeniacha chalinze, hebu nifafanulie pulizzzzzz!nimechukia wameniibia viatu vyangu.