Hivi ukigundua mumeo anaku-cheat na inajulikana public, utafanyaje?

Hah hah . Reaction nyingine zinaonyesha jinsi wengi wa wamama wasivyokuwa na subira. Lakini nafahamu asilimia kubwa wanacheat. Tena hutongoza wenyewe. Mkifumaniwa itakuwaje enyi kizazi cha ny888k666?
 
lakini sio rahisi kama unavyosema unajua?
if at ol unampenda kweli, na unataka muendelee kuwa zamani. my dear inawezekana sana tena. take your tym to heal, usimtukane wala kumlipizia atarun mad zaidi na aliyenaye atapata nafasi zaidi ya kumkamata. na siku zote kuongea kwa hekima NDIO HASWA SILAHA YAMBO YOTE KWENYE MAHUSIANO! amua Gaelle inawezekana!
 
Last edited by a moderator:
mm nitamsamehe kwakua ni mume wangu na nitatafuta uvumbuzi wa why anicheat then nitajirekebisha nilikokosea,kama ni hulka yake nitajaribu kumuelewesha ili aweze kuiacha iyo tabia mana ananiumiza mm na kunizalilisha pia,na mwisho nikisha msamehe sitokaa nimuulize tena juu ya hilo wala kumnunia ndani ya house....mpaka atajiuliza mara mbilimbili na sizan atarudia tena maishani kucheat
 
Nooo Kaunga, umeni-quote vibaya, yaani kama anaongea hivyo kwa a cheating husband..sasa mimi si ndo tutapendana kabisa maana av neva ever thought of cheating...
yaani am virtually falling in love with cacico!
come this way Mentor! lolest! give me your hand, let me lead you to my direction!
 
Last edited by a moderator:
Umenifanya nitamani kuwa mme wako mdogo..if only twas possible!
wea do we get such ladies nowadays!?? cacico, huna hata mdogo wako ambaye hajaolewa!??
sweetheart Mentor aliolewa zamani sana! hakuna tena, pole lakini waeza kuwa mume mdogo lolest! mwahhhh!
 
Last edited by a moderator:

Hapa umenena shost
Hekima na busara ni muhimu sana kwa sekta hii
 
Last edited by a moderator:
Bora nikae kimya coz ntasema mengi patakuwa hapatoshi.
 
Au nitakunywa sumu
Au nitamkata kikojoleo awe anatumia ulimi kecheat!

Kujiua hapana sio uamuzi wa busara mana hutakua umelimaliza tatizo zaidi utakua umekufa na dukuduku moyoni.....kiislamu hufiki kwa mwenyezi mungu
 
Au nitakunywa sumu
Au nitamkata kikojoleo awe anatumia ulimi kecheat!

Mmmh dada angu KAUNGA,haya nitamkanya shemeji yetu asi-cheat kama ni hivyo.But i trust him,he is a decent man in every sense
 
Aisee nikigundua mume wangu ananicheat, nitamyima haki yake.

Sasa ukimnyima bila kumwambia why yy hatajua ni kwasababu gani unamnyima zaidi hata kuuliza atawekeza nguvu zake zote huko aliko....ni vema kuongea naye na kumwambia umejua na hupendi anachofanya ...democracy ni nzuri sometime
 
Guys,a bit complicated,hebu tafuteni thread moja nilitoa few months ago with the same topic titled ....Ohh shit......i was the last one to know....watu walichangia vizuri pia
 
Hapa umenena shost
Hekima na busara ni muhimu sana kwa sekta hii
umeona eeehhh! maana ni kweli vinauma sanaaaaa, kwanza kama hucheat ndio kabisa, ila kuhama au kurevange daima matokeo yake ni hasi! na yatakucost sana wewe kama mwanamke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…