mm nitamsamehe kwakua ni mume wangu na nitatafuta uvumbuzi wa why anicheat then nitajirekebisha nilikokosea,kama ni hulka yake nitajaribu kumuelewesha ili aweze kuiacha iyo tabia mana ananiumiza mm na kunizalilisha pia,na mwisho nikisha msamehe sitokaa nimuulize tena juu ya hilo wala kumnunia ndani ya house....mpaka atajiuliza mara mbilimbili na sizan atarudia tena maishani kucheat
viatu hubby?? mmmhhh umeniacha chalinze, hebu nifafanulie pulizzzzzz!
Mmmh dada angu KAUNGA,haya nitamkanya shemeji yetu asi-cheat kama ni hivyo.But i trust him,he is a decent man in every sense
mmmhhhh, mmmmhhhhh! poleeeeeee! lolJana nilisahau viatu vyangu nje jamaa wameruka ukuta wakanisaidia kuhifadhi.
vumulia, take your tym usijefanya desicions za ajabu, ni mume wako, piga magoti muombee aliyewaunganisha, atayamaliza! ni msalaba wako hivyo kuachana si solution, rekebisha unapodhani ulikosea mpaka ikabidi atoke nje, mueleze kwa upendo kuwa unaumia na unatamani arudi kwako tena, akupe nafasi nyingine tena! my opinion tu!
mmmhhhh, mmmmhhhhh! poleeeeeee! lol
Ha ha ha, kumbe umechungulia huku; hata nami namuamini hawezi nitenda kihivyo. Ila usisahau kumkumbusha, si eti kaka yangu mpenzi eeh!
Aisee nikigundua mume wangu ananicheat, nitamyima haki yake.
cacico,una akili nyingi sana wewe.vumulia, take your tym usijefanya desicions za ajabu, ni mume wako, piga magoti muombee aliyewaunganisha, atayamaliza! ni msalaba wako hivyo kuachana si solution, rekebisha unapodhani ulikosea mpaka ikabidi atoke nje, mueleze kwa upendo kuwa unaumia na unatamani arudi kwako tena, akupe nafasi nyingine tena! my opinion tu!
Kuna issues 2:
1 Cheating
2 Publicly
Mkijadili mzingatie hayo.
Haya naendelea kuwasoma nikivuta bhange yangu taratiibu...
mm nitamsamehe kwakua ni mume wangu na nitatafuta uvumbuzi wa why anicheat then nitajirekebisha nilikokosea,kama ni hulka yake nitajaribu kumuelewesha ili aweze kuiacha iyo tabia mana ananiumiza mm na kunizalilisha pia,na mwisho nikisha msamehe sitokaa nimuulize tena juu ya hilo wala kumnunia ndani ya house....mpaka atajiuliza mara mbilimbili na sizan atarudia tena maishani kucheat
hakika wewe ni Cute wa ukweli!