Hivi ukigundua mumeo anaku-cheat na inajulikana public, utafanyaje?


ndo mana wanasema mwenza wako usimpukunyue pukunyue,haya mambo ya kuchungulia simu ya mmeo,wallet mara baba upekue handbag ya mrs,ya nini yote hayo,unataka ukute nini?
 
Dada kuna wengine ni magume gume haswaa nakwambia unavumilia tu ila chamoto unakiona.
 
nikijua nachapa yebo home kwetu

Ss ukiondoka si ndio unampa mwanya huyo kuja kujenga ngome ....labda kama hukumpenda huyo mume wako kwa dhati ama nawe unasehemu yakujishikiza/inakupa kiburi ila kama huna utampigania mpaka mwisho wa pumzi yako chezea kupenda ww:......yani ukiona mtu hakupiganii/haumpiganii jua hujaugusa/hajaugusa bado mtima wake/wako kabisaaa
 
ndo mana wanasema mwenza wako usimpukunyue pukunyue,haya mambo ya kuchungulia simu ya mmeo,wallet mara baba upekue handbag ya mrs,ya nini yote hayo,unataka ukute nini?

Yan ukitaka magonjwa ya moyo na pb huko ndio kwenyewe
 
ni kweli jamiif wengine ni hulka tu, lakini hata kama ni hulka na ukajua kuwa ni hulka haswa kipindi hiki cha maradhi, basi ni lazima kuongea naye na sala mbele ya aliyewaunganisha, inasaidia amini usiamini kumbadilisha! ila jamani TUMUOGOPE MUNGU, TUSICHEAT! wanandoa hatuna hofu ya MUNGU tena ndio maana tooooo much cheatings.
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke mjinga atavunja ndoa yeke kwa mikono yake, ye mwenyeweeee
 
Ladies, ladies calm down tafadhali....hivi hili andiko la samehe saba mara sabini lilikuwa limelenga nn hasa?
Kama ni kumuacha subiri umkamate mara ya 490

Utakuwa tayari umeshakanyagishwa umeme mara 490!
 
Mwanamke mjinga atavunja ndoa yeke kwa mikono yake, ye mwenyeweeee

Kwahiyo mwanamke ndio kacheat eeh? Na huyo mwanaume aliyecheat havunji ndoa? Au beneficially wa ndoa ni mwanamke peke yake? To hell with ndoa kama ni ya dizaini hiyo!
 
Erotica amekwiva kwa sasa! nina imani naye vibaya mno, hawezi kutuangusha, na mume atampata hapahapa! Kaunga matron nakuaminia, hivi jana summary yake ulimpa?

Nilimpa hny, ila sijui alishindwa kudigest akaDO kwa forbidden style, leo tumbo linamuuma sana haid ikabidi aende kliniki. Dont worry, she should be fine kesho atakuja kwa mafunzo zaidi. Lol
 
hivi maumivu ya kuchitiwa in private na in public ni tofauti?????
 
hivi maumivu ya kuchitiwa in private na in public ni tofauti?????

Tofauti ni kwa wale ambao wanaishi jinsi watu wanavyotaka na si jinsi wanavyojisikia wao.

So akichit privately, unajua wewe tu na maumivu ni 3/4
Ila ikiwa publically, watu watakuonaje???? Maumivu ni 6/4!

LOL kwangu me, it makes no difirensi kabisa!
 
Gaelle imeandikwa samehe saba mara sabini
 
Last edited by a moderator:
Naungana na wewe kukaa kimya; kwani haya mambo mpaka yakukute ndio unaweza kutoa mchango ambao ni feasible. otherwise michango mingi ni very ideal.

Bora nikae kimya coz ntasema mengi patakuwa hapatoshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…