Hivi ukigundua umeibiwa funguo ya gari unafanyeje?

Mm nina gari Push to start OEM, sio hizi za kuweka mtaani. Nina Key moja nataka nipate na spare. Itanihitaji kiasi gani cha fedha na wataalam wanapatkana wapi kwa Dar
 
Cost inaweza kuwa kuanzia Laki 2 kwa gari ya push to start sababu funguo zake mara nyingi hazihitaji Key cut. Japo inategemea na mtu utakayempata inaweza pia kuwa juu ya hapo.

Me ningeweza kukufanyia kwa price chini ya hapo. Bahati mbaya tool ta kufanyia hiyo kazi Nimeitia sokoni. Nataka kuiuza ikiwa kwenye makaratasi bado maana Sisi wabongo tunacomplain vitu vidogo sana.
Mm nina gari Push to start OEM, sio hizi za kuweka mtaani. Nina Key moja nataka nipate na spare. Itanihitaji kiasi gani cha fedha na wataalam wanapatkana wapi kwa Dar
 
Hii kitu ilinitokea juzi job, kumbe ufunguo nimeuacha chooni juu ya sink....huo muhaho wake acha[emoji848]
Alaf tukining'iniza funguo kiunoni watu wanaona ni show off kumbe ni kuepuka mambo kama haya.
 
Back
Top Bottom