JAMBONIA LTD
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 584
- 274
Habari wakuu, nauliza ukisoma ile technician certificate NT Level 4 ya miaka 2, majukumu yako kazini yanakua ni yapi ukilinganisha na mwenye diploma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuattend wagonjwa wa OPD katika ZahanatiHabari wakuu, nauliza ukisoma ile technician certificate NT Level 4 ya miaka 2, majukumu yako kazini yanakua ni yapi ukilinganisha na mwenye diploma?
Ahsnte Ila naona yote yanafanywa na CO pia..kipi anafanya CO ambacho CA hawezi kufanyaCMT NTA LEVEL 5 unapewa TECHNICIAN CERTIFICATE IN CLINICAL MEDICINE (CLINICAL ASSISTANT/TABIBU MSAIDIZI).
Majukumu yako ni
1.Attending pts at OPD
2.Dx, Rx, and provide referral
3.Mengine utapangiwa na I/C wako.
Ahsnte Ila naona yote yanafanywa na CO pia..kipi anafanya CO ambacho CA hawezi kufanya
Job description zao zinaeleza hayo ingawa medical field ni vile unavyopractice ktk vitendoAhsnte Ila naona yote yanafanywa na CO pia..kipi anafanya CO ambacho CA hawezi kufanya
Majukumu yanafanana tofauti ni elimu tu. Ni sawa tu na CO na MD.Ahsnte Ila naona yote yanafanywa na CO pia..kipi anafanya CO ambacho CA hawezi kufanya
Acha bhangi kijanaPlus Kufagia fagia wodini
Yaani wewe uache udwanzi unafananishaje co na md wewe. Md ktu kingine jombaaMajukumu yanafanana tofauti ni elimu tu. Ni sawa tu na CO na MD.
Wewe ni juhaaYaani wewe uache udwanzi unafananishaje co na md wewe. Md ktu kingine jombaa