Hivi ukikopa benki (as mtumishi wa serikal) halafu ukaacha kazi, je unaweza ukafuatiliwa?

Hivi ukikopa benki (as mtumishi wa serikal) halafu ukaacha kazi, je unaweza ukafuatiliwa?

ttobo

New Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
3
Reaction score
7
Hivi wakuu ukikopa benki ukiwa mfanyakazi wa serikali halafu ukaacha kazi vipi utatafutwa??
 
Cjui mkuu,ngoja wataalam wengine waje
 
Na mtu akikopa kwenye hizi microfinance kama bayport, platinum,na zile zngne ila sio bank afu akacha kazi au kubadil kazi kukimbia makato inakuaje atafuatiliwa
 
Waandikie barua ya maombi ya kusitisha marejesho ya Mkopo kwa kuwa makubaliano yalikuwa marejesho yapitie kwenye Mshahara na sasa huna kaziwasubiri mpaka Utakapopata kazi nyingine...............Barua yako ambatanisha na barua ya Kuachishwa/ Kufukuzwa kazi..............Nadhani ITAPENDEZA.............!!!! maswala ya Akiba yako ya Uzeeni siyo makubaliano yenu................!!!!
 
Ukiacha kazi unatafutwa ndiyo...

Ila ukiachishwa kazi, italipa serikali kupitia mafao yako...


Cc: mahondaw
 
Swali LA nyongeza bima ambayo hukatwa inafanya kazi wakati gani?
 
Back
Top Bottom