Hivi ukimuondoa Harry Kane, England hawana World Class Player mwingine, Wanaenda kutembea tu Russia

Hats
 
Wapange tu hivi
1.Butland
2.alexander anord
3.ashley young
4.john stone
5.cahill
6.jonjo/milner
7.sterling
8.handerson
9.crouch
10.kane
11.rashford
Milner na Crouch wameshastaafu timu ya taifa

Jonjo yule kocha sjui ana matatizo nae gani?unaweza ukashangaa anaitwa Jake Livermore anaachwa yeye..
Kwa kifupi Mkuu yupo sahihi wale wanaenda kwa ajili ya Utalii tuu
 
Taja world class players kumi Duniani..ukiwatoa Ronaldo na Messi...Mpira una maajabu mengi nani alifikiria Barca watatolewa na Roma..my prediction kombe litachukuliwa na timu ngeni sio favourite... Germany,France,Brazil,Argentina, Spain(Italy haipo)..jiandaeni kisaikolojia mambo ya Greece Euro 2004.
 
Mpira haupo kama wewe unavyotaka, as long as wanajua wao ni wa kawaida wanaweza kujituma haswa wakafika mbali sana.
 
But wengi sana huwa ni kawaida yenu kuwachukia waingereza. So, hakuna jipya kwa uliyoyaandika.
Unawachukia lakini huchoki kuifatilia league na vilabu vyao.
 
acheni majungu kwani ICELAND,POLAND,BOSNIA,COLOMBIA,RUSSIA,SWITZLAND, N.K zina hao maworld class mnaosema?mpira sio majina BELGIUM ilikuwa ina kila aina ya wachezaji ila wote tuliona ilivyonyanyaswa na WALES iliyokuwa inaongozwa na BALE ila player wengine wote walikuwa wa kawaida kina joe allen,robson kanu,ashley willium na kina ramsey............soka alipo hivyo......haya rudi kwa PORTUGAL ilikuwa na world class player gani zaidi ya CR7 lakini ndio mabingwa wa ulaya na walizichachafya timu zilizokuwa na wachezaji wakali kama FRANCE.......
 
Ukiondoa chuki kidogo, utaona potential kwenye England squad. Tena kutokuwa na majina kutawasaidia sana. Time will tell. Tutakumbushana.
 
1. De Bruyne
2.Hazard
3. Salah
4. Neymar
5.De Gea
5.Sanchez
6.Kane
7.Muller
8.Mbape
9.Pogba
10.Aguero
Hapo mwingereza mmoja tu, hata ukisema 20 hakuna.
 
1. De Bruyne
2.Hazard
3. Salah
4. Neymar
5.De Gea
5.Sanchez
6.Kane
7.Muller
8.Mbape
9.Pogba
10.Aguero
Hapo mwingereza mmoja tu, hata ukisema 20 hakuna.
KKwahiyo ukimtoa kane hao waliobaki watacheza timu moja? Huyo Belgium alishawahi kufanya nini kwenye soka? Liverpool inawachezaji wangapi unaozungumzia wewe na yupo final cl, barca ana wangapi na yupo wapi?
 
Mkuu hivi kocha wa England ni nani vile????
 
Namuongezea na raheem sterling hapoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…