Hivi UKIMWI na Ebola, sio biological weapons?

Attache

Senior Member
Joined
Jul 6, 2012
Posts
175
Reaction score
149
Leo nilikua ninaangalia documentary ya unsealed conspiracy files, na kwenye episode ya kwanza na ya pili walizungumzia sana masual ya biological weapons, yani the creation and use of diseases to perish other human beings.From the same documentary inasemekana kuwa kuna some scientific evidence kuwa HIV ilikua developed kwenye military lab marekani. Swali ni kwamba kama walifanya hivyo kwa HIV, hawatafanya hivyo kwa gonjwa lingine?

Suprisingly ni kwamba kwenye news ipo stated otherwise. Kwenye habari za leo zinasema kuwa imekua proven scientifically kuwa AIDS inaonekana ku originate kinshasa mwaka 1920 na kwamba kutokana na reli iliyojengwa na wabelgiji infection ikasambaa kwa kasi sana. Question is why now especially kwenye kipindi cha outbreak ya ebola? Je ni namna ya kuzima any suspicions kwamba wao ndio wametengeneza?

Any way, baada wa world wars, westeners wali take initiatives kuwa execute wa-nazi kwa kuwa responsible for the war. But inasemekana kuna wanazi wachache (wale wenye utashi wa kisayansi) wakapewa immunity in return for their services to either marekani au urisi (right then kulikua na cold war). Mmoja wapo alikua ni Erich Traub ambaye marekani walimtumia kwenye operation paper clip (mtafute kwenye wikipedia) ambapo moja kati ya activities zake ni kutengeneza biological weapons kwenye kisiwa cha Plum ambapo kuna contaversial institute inayojihusisha na mambo hayo kwa kujidai wanatibia wanyama ( Pulm Island Animal Disease Centre of New York).

Kitu ambacho kinanipa wasiwasi ni watu wenye ambitions kama za Prince Phillip ambaye once alisema, kama angekuwa reicarnated ( kutokea katika namna nyingine) angependa kurudi kama deadly parasite ili asolve tatizo la over population. Hii agenda ya New World Order inakua vigumu kuwa implemented kwenye dunia ya watu wengi hivo they are likely to do whatever they can to buttress the initiative including kuleta machavuzi na magonjwa kama UKIMWI na Ebola.

Haya ni maswali na mawazo niliyonayo kutokana na events zinazotokea na information chache zilizopo. Mtazamo wenu ni upi kwenye hili suala?
 
Ata Mi Nakubaliana Na Wewd Because Mi 2 Mzuri Wa Kutembelea Blog Hii Hapa Nawe Tembeleya Tafuta Ukimwi Na Ebola. SALIMMSANGI.BLOGSPOT.COM
 
HIVni real kabsa kwamba ni USA biological weapons............!
 
Asante sana FALSAFA, nimeangalia hiyo blog na kuona alot of fruitful informations
 
Mungu alimpiga mfalme Daudi kwa pigo la ukimwi-HIV+ alipofanya uzinzi
[ZABUR 38:1-11]
 
HIVni real kabsa kwamba ni USA biological weapons............!

Adui mkubwa wa marekani na maswaiba zake ni muarabu... kama ni kweli haya magonjwa yalitengenezwa ili kupunguza population zinazowakera wazungu, waarabu wangekuwa ni watu wa kwanza kuangamia na kupotezwa....

Inawezekana kweli kuwa haya magonjwa ni man made , Sikubaliani tu ,na idea kuwa Hiv na Ebola ililengwa kuangamiza waafrika. To them wako safe zaidi na sisi kuliko waarabu.
Hili ni janga, yanayotokea baada ya Ebola kulipuka, yanadhihirisha jinsi gani corrupt african leaders walivyo waacha wananchi wao, katika lindi kubwa la umasikini, huduma mbovu za afya, na miundo mbinu mibovu, kiasi kwamba outbreak yoyote ikitokea inakuwa ngumu kui contain.
Inasikitisha sana bado tunadumisha utaratibu wa kulaumu mtu mwingine kabisa katika matatizo yanayotusibu wenyewe.
 
mmh kuna post nimeiona uku wanasema marekani inaongoza kwa mambukizi mengi sana ya ngwe mgwe

na kuhusu ebola ni manadiliko tu yanatokea mbona mwanzo kulikua hakuna kufa kina adamu na hawa awoo waka badilika badae kuvunja amri za mungu wakafa na ndo kuanzia apo vitu vika anza kubadilka badilika hakuna cha sijui watu mametengeneza magonjwa wala nini nizaidi ni kubadilika tu kwa hali ya hewa na mipango ya mungu iyo. mtu awez kukupangia eti wewe utaishi miaka flan au utaumwa na ugonjwa flani huwez jua ya mungu mengi ya binadamu tuna potezana. tu si makanisan si misikiti
 
Adui mkubwa wa marekani na maswaiba zake ni muarabu... kama ni kweli haya magonjwa yalitengenezwa ili kupunguza population zinazowakera wazungu, waarabu wangekuwa ni watu wa kwanza kuangamia na kupotezwa....

Inawezekana kweli kuwa haya magonjwa ni man made , Sikubaliani tu ,na idea kuwa Hiv na Ebola ililengwa kuangamiza waafrika. To them wako safe zaidi na sisi kuliko waarabu.
Hili ni janga, yanayotokea baada ya Ebola kulipuka, yanadhihirisha jinsi gani corrupt african leaders walivyo waacha wananchi wao, katika lindi kubwa la umasikini, huduma mbovu za afya, na miundo mbinu mibovu, kiasi kwamba outbreak yoyote ikitokea inakuwa ngumu kui contain.
Inasikitisha sana bado tunadumisha utaratibu wa kulaumu mtu mwingine kabisa katika matatizo yanayotusibu wenyewe.

Ndugu, we don't point fingers for no reason. Kwanza tambua hizi information zinaleak kutoka kwenye sources zao wenyewe, wala si za hapa Africa.
Ambition ya westerners sio tu kuattack maadui wake tu, bali kupunguza world population ili kurahisisha/kurudisha utawala wao wa dunia kama ilipokua kipindi cha ukoloni (or worse). Population ya nchi za magharibi ina-dwindle kutokana na masuala ya birth control, hvyo wanahofia kua ongezeko la population else where ina threaten their hegemonic existence. China inakuja juu kiuchumi na according to recent statistics kutoka imf, now china ndio leading economy interms of purchasing power parity na hili limewezekana kutokana na wao kua na idadi kubwa ya watu. Hali hii ikiendelea itawafanya watu wamagharibi wategemee dunia interms of man power.
Njia zao za kufanikisha hili zipo divesified, kama unakumbuka kuna mama mmoja wa wfp aliamua kusema ukweli kwamba the organization ime plot kupunguza more than half of the world population kwa namna mbili: watu wa tabaka la chini kupitia magonjwa na watu wa tabaka la kati kupitia life styles (chakula, maji etc).
Waarabu wanamalizana kwa vita. Kama ulisoma course/history inayohusu masuala ya terrorism utakuja kujua kuwa makundi ya kigaidi yalitengenezwa na wamarekani, kwa ushahidi zaidi cheki youtube hillary clinton ameliweka wazi kabisa. Kwamba kipindi cha vita baridi, waliwatrain watu (including bin laden)wa al qaeda na kuwapa silaha ili wawaondoe wa rusia, walifanya hvyo bila kujali kwamba hao trained millitants watafanya nini baada ya kuwaondoa hao wa rusi. Na ukweli kama tuuonavyo kuna makundi mengi ya kigaidi uarabuni.
Kuachana nahilo, conflicts nyingi kama zile za arab spring zipo sparkled na US via C.I.A. hawawezi kutumia uniform strategy maeneo yote na they act intelligently tho kuna some loop holes ambapo information zinalick.
I dont intend kusound paranoid but the more you dig in the more unavyoona how the westerns particulary US are willing to do anything to stay on top.
Kuna ile case ya ugonjwa syphillis kipindi cha miaka ya 1970s kama sikosei ambayo nayo waliplot uangamize waafrika kwa miaka 20, lakini kunadaktari wao mmoja alilikisha siri kuwa waliagizwa kuto kutoa real treatment na where possible kusambaza maambukizi. Haya machache yalijulikana, ni mangapi ambayo yanaendelea kwa chini?
Sikatai, yes our corrupt leaders are partly to blame for not taking prompt measures to contain such diseases, but for a long time tunakua tunajitahidi ku treat symptoms instead of dealing the underlying causes.
 
Ni kwa jinsi gani purchasing power inahusiana na idadi ya watu?
 
Wazungu hawatupendi wa africa wanatamani watuue wote! Watoto wa kizungu wanajua africa wanaishi wanyama tu!
 
Mkuu uko very broad and updated, ila bado unabeba ile element ya too many excuses, and blaming others for own mistakes and responsibility (that's how we african behave )
Kama kweli unakubali kuna corrupt leaders, hapo ndipo matatizo yoote yanapoanzia, kimsingi pindi wafrika tutakapokuja kutambua umuhimu wa kusema ukweli na kutokuwa wanafiki , ndipo tutakapo pata maendeleo ya dhati. kuna documentary inaitwa French African connection, jaribu kuaiangalia hiyo , utaona madhara ya viongozi wachumia tumbo wanavyowaangamiza wananchi wao,
By the way Ebola mara nyingi ,kama si zote, imekuwa ikianzia katika nchi ambazo technicaly ni French colonies, sababu ni rahisi sana, ndio nchi zenye viongozi wenye ukwasi wa kutosha, huku wananchi wake wakiishi kitumwa na maisha magumu kupindukia,

Kisayansi Ebola inasadikika inatokana na maingiliano yasiyo ya kawaida kati ya binadamu na viumbe wa porini, nimewahi kukaa kongo, (kolwezi) ukienda sokoni bidhaa zinazouzwa kama option za kitoweo utastaajabu, sokwe, chatu, washawasha n.k. na watu wanakula, si kwamba ni vyakula rasmi, bali hawamudu kula kuku au ng'ombe ,
Once again, kama kweli hii ni hila ya wa wamagharibi kupunguza population, basi mtu wa kwanza kuumia angekuwa muarabu,

You can still bet but please don't empty your pockets
 
Nimeongelea inbrief suala la waarabu, thanks for the insights though. I will watch the documentary u suggested mkuu.
 
Ni kwa jinsi gani purchasing power inahusiana na idadi ya watu?

Kajaribu kuuza soda kwenye eneo lenye watu 100, kisha kajaribu kwenye eneo lenye watu 1000 wa kiwango kilekile cha wale 100, tofauti ya mauzo utakayoiona ndio jinsi population inavyohusiana na purchasing power (as a population) Hapo nimejaribu ku simplify tu, for more details you can refer to The Economy of Scales.
 
sorry but it seems you dont know what purchasing power is,pia it is not ecomy of scale;it is economies of scale.
 
Ni kwa jinsi gani purchasing power inahusiana na idadi ya watu?

Relative population growth ina-affect relative prices through the so-called Balassa-Samuelson (BS) effect and that in turn ina-impact PPP(purchasing power parity). Relative population growth affects nominal wages that impact price levels and thereby impacts PPP
 
Mkuu Attache, Labda nikiacha concept ya biological weapons kando na kuangalia hii falsafa ya New Word Order. Nimesoma arguments za wengi na baadhi wanadhani mpango wa ST or NWO ni kati ya nchi na nchi, taifa na taifa ama watu wa rangi fulani na wale wenye rangi nyingine kwa maana ya kwamba achitects wa mpango huu wana-favor rangi au taifa fulani, Hapana. Kuna mengi zaidi katika hili na mpango huu una lengo la kutengeneza mazingira ya mamlaka/ideology moja tu Duniani, yani "World government" ama mamlaka moja tu Duniani yenye maamuzi ya aina moja na si kuunda taifa la watu wa rangi moja, origin moja etc mfano wamarekani au watu wa magharibi tu.

Hii ina maana baada ya mpango huu kuwekwa vizuri kabisa step inayofuata ni kuuingiza katika akili za watu na hii inaweza kuwa si kizazi hi tulichopo sisi. Watafundishwa vizuri tu mashuleni na wataona "faida" zake na hata pia kufundishwa "hasara" zake. Implementation ikianza ni ya Dunia nzima si ya taifa moja au mataifa fulani tu kwa maana hawa watu nia yao si nchi wala hawahitaji watu wachache bali watu wengi inavyowezekana. Watakaopinga mpango huu katika siku hizo za mbeleni ndio haswa super sophisticated weapons zitakapotumika kuwafuta na kuwabadili wakae sawa, zikiwemo mind-controlling technologies na artificial intelligence.

Unapoongelea NWO alafu ukaihusisha na Ebola na HIV kama strategy ya watu hawa basi ume-underestimate hawa watu. Ebola na HIV kama ni weapon basi ni strategist wa level ya chini asiye-target vizuri na mbinu hii ni rahisi kufuta hata ngome yake mwenyewe. ST watatumia technologia ya hali ya juu implementation ikianza, kama ni mtu fulani hawataki awepo atafutwa yeye within minutes na miundo mbinu bado haijawekwa. Hili halifanyiki sasa bado mpango unajengwa. Wao pia wanahofia ST isije ikawa ile "wasiyoitaka" ambayo itakuwa mistake ya hali ya juu. Mpango umeanza zamani na itakuchukua miaka mingi sana mpaka zile zinazoonekana kama situations za failures za mpango huu hazipo katika blue print.
 
Last edited by a moderator:
Relative population growth ina-affect relative prices through the so-called Balassa-Samuelson (BS) effect and that in turn ina-impact PPP(purchasing power parity). Relative population growth affects nominal wages that impact price levels and thereby impacts PPP

*****...........
 
Not really i think all powerful Nations have bioweapons programs so usiseme US pekee yake. Kuna nchi moja huwa chini ya radar lakini wako active Africa sana. Wafaransa. Medicins sans Frontiers sana sana
 
Back
Top Bottom