Hivi UKIMWI na Ebola, sio biological weapons?

Hivi UKIMWI na Ebola, sio biological weapons?

Mkuu Attache, Labda nikiacha concept ya biological weapons kando na kuangalia hii falsafa ya New Word Order. Nimesoma arguments za wengi na baadhi wanadhani mpango wa ST or NWO ni kati ya nchi na nchi, taifa na taifa ama watu wa rangi fulani na wale wenye rangi nyingine kwa maana ya kwamba achitects wa mpango huu wana-favor rangi au taifa fulani, Hapana. Kuna mengi zaidi katika hili na mpango huu una lengo la kutengeneza mazingira ya mamlaka/ideology moja tu Duniani, yani "World government" ama mamlaka moja tu Duniani yenye maamuzi ya aina moja na si kuunda taifa la watu wa rangi moja, origin moja etc mfano wamarekani au watu wa magharibi tu.

Hii ina maana baada ya mpango huu kuwekwa vizuri kabisa step inayofuata ni kuuingiza katika akili za watu na hii inaweza kuwa si kizazi hi tulichopo sisi. Watafundishwa vizuri tu mashuleni na wataona "faida" zake na hata pia kufundishwa "hasara" zake. Implementation ikianza ni ya Dunia nzima si ya taifa moja au mataifa fulani tu kwa maana hawa watu nia yao si nchi wala hawahitaji watu wachache bali watu wengi inavyowezekana. Watakaopinga mpango huu katika siku hizo za mbeleni ndio haswa super sophisticated weapons zitakapotumika kuwafuta na kuwabadili wakae sawa, zikiwemo mind-controlling technologies na artificial intelligence.

Unapoongelea NWO alafu ukaihusisha na Ebola na HIV kama strategy ya watu hawa basi ume-underestimate hawa watu. Ebola na HIV kama ni weapon basi ni strategist wa level ya chini asiye-target vizuri na mbinu hii ni rahisi kufuta hata ngome yake mwenyewe. ST watatumia technologia ya hali ya juu implementation ikianza, kama ni mtu fulani hawataki awepo atafutwa yeye within minutes na miundo mbinu bado haijawekwa. Hili halifanyiki sasa bado mpango unajengwa. Wao pia wanahofia ST isije ikawa ile "wasiyoitaka" ambayo itakuwa mistake ya hali ya juu. Mpango umeanza zamani na itakuchukua miaka mingi sana mpaka zile zinazoonekana kama situations za failures za mpango huu hazipo katika blue print.

I agree with you Montgala, jamaa hawalengi race flani pekee lakini kubuttress their initiative they have to reduce the world population kwa kiwango kikubwa. Imegine how costful will it be kutumia such technologies kwa population kubwa? What I was pointing ni kwamba wamefanya stratification katika phase ya depopulation, Africa kutokana na mazingira yetu diseases ni weapon nzuri kutumia, uarabu kutokana na itikadi terrorism n things as such zinatumika etc.
Plan ya nwo haipo colourful kama wanavyoipaint coz motive kubwa ni wao kuendelea kutawala ulimwengu thats why some scholars wanaiita anglo-american order.
 
Last edited by a moderator:
Chukua muda usome magazeti ya Liberia na Sierra Leone upate a 2nd opinion ya huu mkasa. Unajua ubaya wetu tunategemea CNN, na media zengine za ki West sana.
 
Unajua sisi tuko lax sana na hawa madaktari wakigeni sisi huwacha wakizururra nchini zetu, ndiyo wanatuletea magonjwa. Sana sana wakati wanawapewa wanawake wetu chanjo za magonjwa kama Polio, Measles. Hapo ndipo wao hupata fursa ya kutest madawa yao na magonjwa kama haya Ebola na Aids, na bio weapons zengine.

Mimi naona madaktari wao wote si watu wabaya, lakini katika hizo group za madaktari wao, watu wabaya sana sana hizi kampuni kubwa za madawa huwaweka madaktari wao wabaya kati ya hizo group za madaktari ndipo waweze kutest madawa na virusi zao hatari. So yule muafrika mwenye bahati mbaya kupatana na hao madaktari wabaya ndiyo huambukizwa.
 
Not really i think all powerful Nations have bioweapons programs so usiseme US pekee yake. Kuna nchi moja huwa chini ya radar lakini wako active Africa sana. Wafaransa. Medicins sans Frontiers sana sana

I didnt say marekani peke yake, other nations as well wana bioweapons prigrams. but hiv, specifically, inasemekana ilikua developed kwenye us millitary labs. Erich traub niliyemtaja earlier alikua akifanyia ujerumani kwenye such programs prior n during the 2nd world war na baadae kwenda marekanu, us n ussr walikua wanawagombania scientists wth such knowledge during the cold war etc. This points out kwamba nchi nyingi za magharibi zinajihusisha or at least zinainterest na such programs
 
We unajua waaarabu atleast hao huprotect wanawake wao. Nimekuja kujua kwanini hao waarabu huwaprotect wanawake wao namna hiyo. Unajua sisi waafraka hatuwaprotect wanawake wetu. Wewe jiulize kwanini wanawake wetu ndiyo victims wengi wa AIDS. Hawa watu waliwaambukiza wakati wakiwadanganya kuwa wanawapea chango za magonjwa kama polio, yello fever. Wanawake wetu wengi walipewa chanto zenye ziko tainted.

We we jiulize sasa kwani unaamini hiyo uongo ato waafrika walikuwa wanafanya mapenzi na monkeys, na chimps ndipo waka ambukizwa???

Pia huo uongo wa Ebola ati waafrika hula bushmeat, na pia bats ndipo wanaambukizwa?

Unajua mababu zetu wamekuwa wakila hao wanyama kwa maelfu ya miaka???
 
Moja katika Aya za uwongo katika bibilia....Haiwezekani kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu azini....ila ni rahisi kwa Binadamu wasiomkubali Mungu Kutunga vitabu na kusingizia Mitume wa Mwenyezi Mungu Mambo Machafu...
 
Lakini usisahau sisi waafrika ndiyo weak point kwa hiyo michezo kwa sababu bado hatuna masomo yakutosha.
Ukiangalia wazungu wa Amerika wengi wao ni watu wa Europe, so sasa Europe na Amerika wamejikusanya kutuangamiza. Mafamilia tajiri sana hii duniani ndiyo wanapanga haya mambo yote. Wenye pesa ndiyo wanapanga haya mambo yote.
 
Sikubaliani na wewe babu zetu wamekula hao wanyama kwa maelfu ya miaka bila shida. Mbona tuu sasa hivi.

Unajua wa Asia hula monkey brains?

Unajua kuna monkeys, gibbons, bats, orangutangs kule Asia? Unajua wa Asia pi hula bats?

Mbona wao hawapati Ebola? Kuna monkeys mpaka Japan.
Indonesia kuna Macaques. Google "Chinese eat monkeys" utaona monkey brains ni delicacy huko kwao.
 
Ushaa soma historia ya HIV si wao hudanganya kwa media zao eti case ya kwanza ilikuwa kule Zaire (DRC Congo ) sijui kule 1920s bado ilkuwa inaitwa Belgian Congo.

Hao watu wa belgium huongea kifaransa. Wao ndiyo walikuwa wanacontrol hiyo nchi. Ukisoma historia utaona kuwa biological weapons program ya ufaransa kuna wakati ilikuwa more advanced kuliko hata ya Hitlers germany. Unakumbuka hitler akitumia gesi kuwaua wa jew?

Ufaransa pia nao si wachache. Uzuri wao wako chini ya radar sana, so hawako visible kama wamerikani na military yao.
 
Ushaa soma historia ya HIV si wao hudanganya kwa media zao eti case ya kwanza ilikuwa kule Zaire (DRC Congo ) sijui kule 1920s bado ilkuwa inaitwa Belgian Congo.

Hao watu wa belgium huongea kifaransa. Wao ndiyo walikuwa wanacontrol hiyo nchi. Ukisoma historia utaona kuwa biological weapons program ya ufaransa kuna wakati ilikuwa more advanced kuliko hata ya Hitlers germany. Unakumbuka hitler akitumia gesi kuwaua wa jew?

Ufaransa pia nao si wachache. Uzuri wao wako chini ya radar sana, so hawako visible kama wamerikani na military yao.
falamangaa najaribu kukusoma kwa makini ili nipate msimamo wako kwa ujumla maana napata picha tofauti katika maelezo yako. katika hii niliyokuquote utanisamehe maana napenda kujua vitu kwa undani na si kwa kificho. Naomba tu ukipata muda unifafanulie zaidi katika hizo highlighted ili niendelee kukuelewa.

"Hudanganya media zao" Ni zipi hizi? na wao ni kina nani? I mean governments? secret societies? or just team of scientists? HIV ni ugonjwa lakini si wa kawaida sana kama kikohozi kwa hiyo knowledge nzima ya HIV sisi waafrika tumepata kuielewa kutoka katika published researches za labs za wenzetu. Napata shida katika hii ya hudanganya media zao maana we are not on the same levels to point out "the lie" anyway since they own this knowledge from the beginning and from which point our media can say otherwise? Kwa utafiti gani wa kwetu wenyewe? Kutoka lab yetu ipi ambayo tunaweza chunguza gonjwa na kujua ni virus bacteria, au kijidudu gani kinahusika hapo zaidi ya kwanza kulishwa na "media zao" na kusubiri madawa kutoka pharmaceutical companies zao.

Nasema hivi kwa sababu pia nimeona unasuggest kusoma sources za Liberia, ambao hawaendi hata hatua moja mbele bila msaada wa madaktari na wataalam wa nje. Hawa media zao ndio hizo zitakuwa chanzo cha habari kwa media za Liberia kama swala ni la kitaalam zaidi. Situation hii iko Africa nzima na kwa swala kama hili la Ebola, tutaripoti light news tu na statistics za wangapi wamekufa linapokuja suala la kitaalam trust me tutasubiri tu jamaa wanasemaje.

Katika hii ya Hitler nadhani gas ile ya sumu inaingia kwenye chemical weapons category, je unaihusisha nchi ya ujerumani na mbinu za Hitler, yani Nazi strategies were preserved and will be implemented to black people? Na kuwa wafaransa wako chini ya radar hii nayo napenda tu kujua kwamba wafaransa kama taifa wako vitani na nchi walizozitawala au ni nini? Wako vitani na watu weusi? Taifa la ufaransa linatumia biological weapons kuua watu weusi? I am asking this because I know other facts which are somehow very difficult to comprehend with such views.
 
Last edited by a moderator:
falamangaa najaribu kukusoma kwa makini ili nipate msimamo wako kwa ujumla maana napata picha tofauti katika maelezo yako. katika hii niliyokuquote utanisamehe maana napenda kujua vitu kwa undani na si kwa kificho. Naomba tu ukipata muda unifafanulie zaidi katika hizo highlighted ili niendelee kukuelewa.

"Hudanganya media zao" Ni zipi hizi? na wao ni kina nani? I mean governments? secret societies? or just team of scientists? HIV ni ugonjwa lakini si wa kawaida sana kama kikohozi kwa hiyo knowledge nzima ya HIV sisi waafrika tumepata kuielewa kutoka katika published researches za labs za wenzetu. Napata shida katika hii ya hudanganya media zao maana we are not on the same levels to point out "the lie" anyway since they own this knowledge from the beginning and from which point our media can say otherwise? Kwa utafiti gani wa kwetu wenyewe? Kutoka lab yetu ipi ambayo tunaweza chunguza gonjwa na kujua ni virus bacteria, au kijidudu gani kinahusika hapo zaidi ya kwanza kulishwa na "media zao" na kusubiri madawa kutoka pharmaceutical companies zao.

Nasema hivi kwa sababu pia nimeona unasuggest kusoma sources za Liberia, ambao hawaendi hata hatua moja mbele bila msaada wa madaktari na wataalam wa nje. Hawa media zao ndio hizo zitakuwa chanzo cha habari kwa media za Liberia kama swala ni la kitaalam zaidi. Situation hii iko Africa nzima na kwa swala kama hili la Ebola, tutaripoti light news tu na statistics za wangapi wamekufa linapokuja suala la kitaalam trust me tutasubiri tu jamaa wanasemaje.

Katika hii ya Hitler nadhani gas ile ya sumu inaingia kwenye chemical weapons category, je unaihusisha nchi ya ujerumani na mbinu za Hitler, yani Nazi strategies were preserved and will be implemented to black people? Na kuwa wafaransa wako chini ya radar hii nayo napenda tu kujua kwamba wafaransa kama taifa wako vitani na nchi walizozitawala au ni nini? Wako vitani na watu weusi? Taifa la ufaransa linatumia biological weapons kuua watu weusi? I am asking this because I know other facts which are somehow very difficult to comprehend with such views.

Kaka! ! You have nailed it kiasi ambacho hata zuzu atakuelewa, kweli kuna watu wanapendelea kudhihaki western media kwa sababu wanazo zijua wenyewe, ni kweli wakati mwingine media hizo huwa zinaripoti kwa maslahi yao, lakini si muda wote,
Mwaka 1996 Cnn walikua wa kwanza kutoa na kurusha live habari ya Mv Bukoba walikuwa na maslah gani katika ajali ile ?mwaka jana tulishuhudia live coverage ya shujaa mandela, kutoka Bbc, Cnn etc,.
Binafsi napenda sana habari, nina karibia news source za karibi kila pande.ya huu ulimwengu ,Kuanzia hizo western, aljazeera, iran na russia tv, katika suala hili la ebola sijaona likizungumziwa kama janga la sehemu moja, hizo media za afrika.magharibi naangalia pia zinachofanya ni kulalamika tu,

Hapo kwenye stastitics na utafiti ndio kabisa tumeshindwa, kama kweli walitengeneza Aids na Ebola, kulikuwa na haja gani wao mosi kutuambia, pili kufanya jitihada za ku contain kwa Arvs and the like, au labda sifahamu nijuzwe kuna taasisi au shirika lolote la afrika lililobadilisha chochote kuhusiana na magonjwa hayo,? Tumefikia wapi na tafiti zetu? Ina maana magharibi wana hila hadi.kwenye utashi wetu wenyewe. Mikoa iliyoongoza kwa maambukizi ya ukimwi kagera na sasa iringa, kwa kiasi.kikubwa ilichangiwa na wanaume kutofanyiwa tohara , leo hii kuna kampeni ya tohara ya bure tena kwa watu wazima, tulikuwa na ujanja wa kulitambua hilo kwa tafiti zetu? ,vipi kama tusingeambiwa?
Hizo hizo.media zinazobezwa, leo hii ndo zinakuja na fact kuwa hata huko marekani , kuna maambukizi ya ebola, na kweli tunashuhudia juhudi zinafanywa ili kuncontain maambukizi kwa kupeleka madaktari, na kuzuia connection zote za usafiri kwenda west africa ili lisije kuwa janga la dunia, kama kweli wa magharibi wana hila hapa ndo ulikuwa wakati muafaka wa kukaa kimya , wakituangalia tunavyopukutika na ebola.
 
Last edited by a moderator:
kama tutasema ni mpango wa new worl order.... hawaoni kwamba silah walizo anza nazo zinaweza kuwauwa wenyewe . ?
then mbona HIV ipo kitambo na juhud kibao za kuutib zinafanyika...?
what im blvn wakiamua kuua ni. kitendo cha dk 3tu zinatosha.....
 
Boss soma hii research ya huyu Mjapani. Mimi nimeona iko right on the money. Nimekuwa nikisoma sources nyingi. Unajua mimi sitegemei media ya US and BBC peke yake. Mimi pia huzisomamedia za Liberia Guinea na SierraLeone kusikiza upande wao.

Soma hii research uniambie ni waki huyu jama amekosa.


The Ebola Breakout Coincided With UN Vaccine Campaigns
Thu, 10/09/2014 - 23:58 admin
By:
Yoichi Shimatsu (Courtesy: Rense.com)
The ebola pandemic began in late February in the former French colony of Guinea while UN agencies were conducting nationwide vaccine campaigns for three other diseases in rural districts. The simultaneous eruptions of this filovirus virus in widely separated zones strongly suggests that the virulent Zaire ebola strain (ZEBOV) was deliberately introduced to test an antidote in secret trials on unsuspecting humans.

The cross-border escape of ebola into neighboring Sierra Leone and Liberia indicates something went terribly wrong during the illegal clinical trials by a major pharmaceutical company. Through the lens darkly, the release of ebola may well have been an act of biowarfare in the post-colonial struggle to control mineral-rich West Africa

Earlier this year, rural residents eagerly stood in line to receive vaccinations from foreign-funded medical programs. Since the cover-up of the initial outbreak, however, panicked West Africans rural folk are terrified of any treatment from international aid programs for fear of a rumored genocide campaign. a Ebola detonated fear and loathing, and perhaps that is exactly the intended objective of a destabilization strategy.

This ongoing series of investigative journalism reports on the ebola crisis exposes how West Africans are largely justified in their distrust of the Western aid agencies that unleashed, whether by mistake or deliberate intent, the most virulent virus known to man.

Guilt Without Doubt
A pair of earlier articles by this writer examined the British and American roles in developing ebola into a biological weapon and its antidotes into commercial products. This third essay examines the strange coincidence of the earliest breakout in Guinea with three major vaccine campaigns conducted by the World Health Organization (WHO) and the UN children's agency UNICEF. At least two of the vaccination programs were implemented by Medicins Sans Frontieres (MSF, or Doctors Without Borders), while some of those vaccines were produced by Sanofi Pasteur, a French pharmaceutical whose major shareholder is the Rothschild Group. This report uncovers the French connection to the African ebola pandemic.
Human Guinea Pigs
The guinea pig used in laboratory testing of new drugs is neither a pig nor from Guinea, since its natural habitat is on another continent, specifically the Andes. The test subjects at the time of the very first ebola outbreaks in Guinea were not rodents or pigs; they were humans.

The mystery at the heart of the ebola outbreak is how the 1995 Zaire (ZEBOV) strain, which originated in Central Africa some 4,000 km to the east in Congolese (Zairean) provinces of Central Africa, managed to suddenly resurface now a decade later in Guinea, West Africa. Since no evidence of ebola infections in transit has been detected at airports, ports or highways, the initial infections must have come from one of either two alternative routes:

- First, the possibility of an anonymous "Patient A", a survivor of the devastating 1995 Zaire pandemic, perhaps a doctor or medical worker who was a carrier of the dormant virus into Guinea. An example of a Patient A is Patrick Sawyer, the infected American resident of Liberia who first transmitted ebola to Nigeria. No attempt has been made by the national health ministry or international agencies to trace and identify the original ebola case in Guinea. So far, not a shred of evidence has surfaced to indicate&nbs p;the very first victim to be a foreigner or a Guinean who had traveled abroad.

- Second, the absence of a Patient A leaves the prospect of an unauthorized test in humans of a new antidote for ebola in rural Guinea, done under the cover of a vaccination program for another disease. Whether the covert clinical trial's purpose was civilian health or military use of an antibody-based antidote cannot be determined as of yet.

The reason for suspecting a vaccine campaign rather than an individual carrier is due to the fact that the ebola contagion did not start at a single geographic center and then spread outward along the roads. Instead. simultaneous outbreaks of multiple cases occurred in widely separated parts of rural Guinea, indicating a highly organized effort to infect residents in different locations in the same time-frame.

The ebola outbreak in early March coincided with three separate vaccination campaigns countrywide: a cholera oral vaccine effort by Medicins Sans Frontieres under the WHO; and UNICEF-funded prevention programs against meningitis and polio:

- The MSF-WHO project administered the anti-cholera vaccine Shanchol. The drug producer Shanta Biotechnics in Hyderabad, India, is a wholly owned subsidiary of Sanofi Pasteur based in Lyon, France. Formerly known as Sanofi Aventis, the pharmaceutical controlled by major shareholders L'Oreal and the Rothschild Group.

- The oral polio vaccine (OPV) drive funded by UNICEF was based on a pathogen seed strain developed by Sanofi Pasteur, which operates the world's largest polio vaccine production facility.

- The meningitis vaccine MenAfrVac, was produced by the Serum Institute of India, owned by tycoon Cyrus Poonawalla, under development funding from the Bill and Melinda Gates Foundation. In 2013, a UNICEF drive in Chad with the same drug resulted in 40 child deaths from vaccine-linked symptom. MSF participated in the West African anti-meningitis project.

Medicins Sanofi Frontieres

While focused on the French role, it would be unjust not to shed light on the American chief of the UN children's agency. UNICEF executive directory Anthony Lake has an ideal career background for the post of protector of children worldwide. Tony Lake was National Security Advisor to President Bill Clinton responsible for US military interventions, including: the Bosnia-Herzegovina war against the Yugoslav federation; the Battle of Mogadishu in Somalia better known as "Blackhawk Down"; and Operation Uphold Democracy in Haiti. An ardent& nbsp;Zionist convert to Judaism, he is the perfect boss to dispense risky vaccines in Muslim-majority Guinea.

One of Lake's closest international allies during the Balkans war, who shares his policy of "expansionist democracy" and "humanitarian intervention" is French-Jewish hero Bernard Kouchner. The co-founder of Medicins Sans Frontier, the leftist politician-doctor was appointed Foreign Minister under neoconservative President Nicholas Sarkozy. Before succumbing to the temptation of shouting "Physician heal thyself!", let's turn back to tracking ebola.

MSF, which translates into English as Doctors Without Borders, promotes itself as a brave band of selfless physicians who spend their time and own savings on helping the poor in global hot spots. Many of the volunteers, to their individual credit and moral goodness, actually exemplify the public-relations image, never realizing that MSF corporate sponsors include the Bill Gates-founded behemoth Microsoft, Goldman Sachs, AIG, Morgan Stanley, Bank of America, BlackRock, Bloomberg and the French advertising giant Havas.

A rogue's gallery of corporate predators, if ever there was, the donor list is notably absent of major pharmaceuticals, since it would be a conflict of interest to charitably dispense vaccines from a drug company while being paid for the free advertising. To avoid appearances of ethical impropriety on a global scale, the UN through its agencies WHO and UNICEF foots the bill, the major pharms get the profits, and MSF executives with their horde of bright-eyed volunteers dispense the low-end vaccines on the suffering mass es.

Not to discourage idealist doctors from a worthy cause, there is the undeniable attraction of safari fever and Orientalist exoticism for a surgeon from Pittsburg or Strasbourg to take part in this hybrid of "Amazing Race" and Club Med. Now off with the kid gloves: While posturing as principled ethical "witnesses" to human misery, the functional role of MSF role is as a conveyor belt dumping vaccines from major pharmaceuticals onto low-income and poorly educated populations of the developing world.

Repeated dosages of potent toxins on populations with poor health, which no public-health agency in the Western world dares attempt inside its own borders, can have harmful side effects, especially on children. The casualties of vaccination have gone unreported by the media and buried under official cover-ups. Even worse, vaccine programs could well have been used to conceal human testing of antibodies that originated in biological warfare labs for the purpose of mass murder of entire nations.

Best Laid Plans

Doctors Without Frontiers (MSF), once based in Paris and now in Geneva, comes under a dark cloud of suspicion because its distribution of a two-step anti-cholera vaccine. The dosages must be taken a fortnight apart, and this repeat procedure likely provided the pretext for an ebola-testing team to insert the ebola virus into the victims' bodies and later return to dispense the antidote of monoclonal antibodies (Mab).

(This is not to say that MSF was knowingly involved as an organization but that its "federation" style of management leaves a lot of maneuvering space for an unethical doctor to infiltrate a country program on behalf a client pharmaceutical.)

After exposure to the ebola virus, a patient shows symptoms of high fever, vomiting and diarrhea, no less than 8 days later and likelier after two weeks. Re-arriving on schedule, the covert drug-testing team administers the anti-ebola antibodies as "the second dose of cholera vaccine". The perfect crime of illegal human testing should have gone off without a hitch.

A problem arises, however, when many of the test subjects fall sick in less than two weeks and are unable to walk dozens of kilometers to the vaccine centers. With much of the original cohort of human test subjects absent for the antidote, and ebola out of control in the hinterland, the secret clinical trial free-falls toward a pit of liability and legal action. Disappointed operations managers for the sponsoring pharmaceutical order the exfiltration of their medical agents out of Guinea, leaving hundreds of victims to die in excruciating pain as the contagion spreads. Does anyone in Paris or Geneva really care? Don't choke in laughter.

The Guinea outbreak was not reported by WHO until 6 weeks after the initial round of infections in February, which is quite odd considering the armies of medical workers afield in the countryside during those three vaccine campaigns. By contrast, the MSF office in next-door Senegal knew about the Guinean ebola contagion less than a month after outbreak.

Inside and Outside the Death Zones

On the map of Africa, the Republic of Guinea (not to be confused with Equatorial Guinea on the coast of Central Africa) is shaped like a reversed letter C, looping off the Atlantic shore and curving southeast into the interior. The Niger River cuts across the country from east to west; two separate regions along its banks were the centers of the initial ebola outbreak.

The earliest infections were concentrated in the inland prefectures of Guecedo and Macenta on the interior borders of Sierra Leone and Liberia. The second-most affected region was closer to the Atlantic coast in the districts of Boffa and Telimele and the nearby island-capital of Conakry. The deaths in Conakry were concentrated at Donka Hospital, the prime treatment center.

What is striking about the Red Cross-Red Crescent Society map of the outbreak zones was the lack of infections over a wide swath along the border with Senegal, where MSF keeps its regional headquarters with a 300-member staff, which includes 80 foreigners. The reason can be attributed to the drier climate of Senegal, yet to the contrary ebola infections were reported near Guinea's northern border with arid Mali, which is in the Sahara Desert.

On first reports of the outbreak, the Pasteur Institute branch in Dakar, Senegal, dispatched a mobile microbiology laboratory to Conakry at the request of the Guinean Ministry of Health. Meanwhile, the German-funded Bernhard-Nocht Institute of Tropical Medicine office in Ghana cooperated with WHO to set up a mobile lab in Gueckedou Prefecture.

MSF staffers inside Guinea cooperated with the government's Ministry of Health effort to set up isolation rooms in local clinics and hospitals along with blood-sample collection centers. Despite assurances from WHO and CDC that ebola is not transmitted through water or air, more than 100 nurses and doctors, including Sierra Leone's top ebola expert, have died so far. Misinformation about ebola transmission is inexcusable when the 1995 Zaire outbreak was first spread by the washing of corpses.

Turning Panic Into Profit

Another appalling surprise came in June with the "second wave" of apparently more virulent ebola infections across Sierra Leone, even after the pandemic was coming under control in Guinea. This second breakout could be related to a mutation caused by the introduction of monoclonal antibodies during the covert antidote tests. Confronted by Mab-activated immune responses in humans, the virus could be expected to adapt by increasing the velocity of its docking with unprotected human blood cells. If mutation is confirmed, then all Mab-based&n bsp;serums should be banned due to the potential emergence of the unstoppable "super-virus", a modified strain of ebola on steroids.

News media have focused on two potential cures for ebola issued by biotech companies ZMapp and Tekmira, both of them essentially business fronts for patent-sharing consortia. Whichever company gains approval from an FDA, ready to overlook the possibility of driving mutations, will be sure to win huge supplier contracts from the WHO and the US Department of Defense.

The dark horse in the foot race to profit from the ebola panic is France-based Sanofi Pasteur. The world's third-largest pharmaceutical, under CEO Serge Weinberg, has earned a reputation for come-from-behind success in the final rounds of clinical trials in humans. Weinberg scored a coup in wooing his new chief scientist Gary Nabel from his position as head of viral immunology research at the National Institutes of Health (NIH).

The Sanofi strategy for ebola is being kept under wraps by its biotech partner Sutro Biopharma based in San Francisco. Sutro managing director John Freund, MD, is a former Morgan Stanley executive who built its health-care portfolio. The Sutro-Sanofi-Nabel monoclonal antibody (Mab) strategy, using tumor antigen Mabs, is listed for purposes "undisclosed". The use of antibodies from abnormal or cancerous cells is the same as the cell-fusion method used by their now better-known competitor ZMapp.

For the unethical executive, it is tempting to conduct drug tests in humans without wasting years on monkey trials, as was done by wartime Japan's Unit 731 and by Dr. Joseph Mengele. In 2008, Sanofi was accused of conducting secret trials of an untested H5N1 vaccine on 350 homeless people in Poland, killing at least 21 and causing the hospitalization of 200 others, according to the Telegraph of London.

The cold-blooded spread of a hemorrhagic fever cannot be attributed solely to corporate greed, since biodefense security is also a motive. The West African outbreak was likely linked to a dual-use experiment, for application in tropical health and as a biowarfare shield, as shown in the two earlier essays in this series.

On the List of Suspects

While a signatory of the Biological Weapons Convention, France did not sign aboard until 1984, providing sufficient time to guise its biowarfare research under civilian lab coats. The nation that produced brilliant scientists like Louis Pasteur, the pioneer discoverer of vaccines, France was one of the leading research centers in biological warfare, weaponizing anthrax, salmonella, chorela and rindepest, toxins that resonate with the French passion for cuisine.

The postwar French military had none of the ability to commandeer Germany's formidable bioweapons technology, as did Britain, the US and Soviet Union. Instead of focusing on the German passion for "germ" warfare, French medical researchers skipped ahead by concentrating on molecular biology, in which viruses are of intense interest for their interactions with the proteins in cell membranes and nucleic acids. Due to their high-tech sophistication, it is rare for French research centers to be caught red-handed, as happened when the Pasteu r Institute in Iran was discovered to be crafting aflatoxin for the Shah's military.

French biologists moreover have had deep experience in tropical pathogens from their own African colonies and the Belgian Congo. The nation's most notable achievement in recent years was Luc Montagnier's isolation of the HIV, which notably he claims was not of African origin, indicating the Pasteur Institute's vast library of biological agents.

The French are masters of ambiguity and dissimulation, and so there is no chance for a French military attache to be seen strutting around Guinea or Sierra Leone like a Jean Reno. The CDC in Liberia, in contrast, with its 50-member forward squad marching in protective gear stands out like a sore thumb.

Therefore, don't forget to put the Elysee Palace on the suspect list if ebola is found out to be a biowarfare attack to destabilize West Africa and redraw the geopolitical boundaries. The French Army is largest foreign force on the continent. To borrow Churchill's metaphor of nesting dolls, antibodies are a riddle wrapped in the mystery of ebola inside an enigma of biological warfare.

The other Sanofi project in Guinea involving a polio vaccine campaign could have enabled the follow-up work of checking on the success rate of the secret antibody tests. If so, it was a miserable failure or perhaps a wild success. In either case, the pharmaceutical and biotech industries will have profited handsomely from the ebola crisis when biodefense-research generals, high civil servants and UN bureaucrats sheepishly sign multimillion-euro R&D contracts.

Feverish Africa
After rural West Africans realized that vaccination programs coincided with the outbreak of Zaire ebola, foreign-funded medical staffers were assaulted by angry mobs and an ebola treatment center in Sierra Leone was burned to the ground. When medicine is exposed to be the problem and not a solution, the military has to be called in to quell public rebellion. The boundaries of every country in the region are now sealed by troops, and so the truth behind this epidemic will probably be buried with the victims.
As for MSF, UNICEF, WHO, CDC, NIH, USAMRIID and the rest of the alphabet soup of the hypocritical oafs of pharmaco-witchcraft, the herd instinct for self-preservation prevents any honest disclosure. As each day passes and casualties mount, the onus for the crime weighs heavier. A trustworthy investigation into this fast-spreading pandemic and prosecution of the perpetrators in a court of law have all the chances of snowfall in Zaire.
 
Jambo lengine nakusihi ufikirie. Sijui kama huko TZ mnatahiri vijana. hebu fikiria na mila zatu za kiafrika kutahitri vijana. Huyo mtahirishaji alikuwa anatumia kisu moja. Hata quarantine hakuwa nayo. Unataka kuniambia kama Aids ingekuwepo tungekuwa hai? So baba na bau zetu wote wangekuwa wamesha angamia???


Pia fikiria Maslave wa Amerika si wengi wao walitoka West Africa. Kama ni ukweli kuwa kula bush meat inawaambukiza Aids, Ama Ebola mbona hawakupeleka hayo magonjwa Amerika??
 
Pia ebu kumbuka vile mamabu wetu walivyo kuwa wanaishi unafikiria kama Ebola ingetokea wangekuwa hai hivi sasa??
Kumbuka mababu wetu na mababu wao pia wengi wao walikuwa na bibi wengi. Sasa ebu fikiria babu yako ako na bibi watano, kwenye village, chakula wao hulia kwenye nyungu moja, siku hizo hata hakukuwa na ma hazmats na quarantine kali kama za sasa, unafikiri wangeponea kama Ebola ingetokea???
 
Kukujibu swala hilo ni "Fuata pesa" ama "follow the money"
Watu wale wanacontrol maserikali na media hii duniani ni familia zile zenye zilitengeneza pesa zao zamani yaani old money. Unafikiria hiyo old money ilikuwa inalala???

Wewe hebu fikiria kwa mfano familia ya Rothschild hao watu ndiyo inasemkana walitengeneza the modern banking system haswaa mambo ya kuuza ma bonds. Hii familia ilikuwa inapea maserikali loan za kupigana vita, na ni werevu walikuwa wanapeana pesa pande zote so vita ikiisha walikuwa hawajapoteza chochote.

Unajua the Federal reserve na Bank of England iko na private share holders??? pika research ujifunze ujue hao washare holders ni akina nani.

Hao watu ndiyo wenye nguvu kubwa hii duniani. Wachana na akina Billgates huyo jama hana pesa.
 
Jambo lengine nakusihi ufikirie. Sijui kama huko TZ mnatahiri vijana. hebu fikiria na mila zatu za kiafrika kutahitri vijana. Huyo mtahirishaji alikuwa anatumia kisu moja. Hata quarantine hakuwa nayo. Unataka kuniambia kama Aids ingekuwepo tungekuwa hai? So baba na bau zetu wote wangekuwa wamesha angamia???


Pia fikiria Maslave wa Amerika si wengi wao walitoka West Africa. Kama ni ukweli kuwa kula bush meat inawaambukiza Aids, Ama Ebola mbona hawakupeleka hayo magonjwa Amerika??

Mkuu sijasema kuwa tohara ni kinga, bali inapunguza maambukizi mapya katika jamii ambayo tayari imeshakuwa contaminated na hao virus, stastics ziko wazi,
Mada yako ya watumwa naona unazidi kupotea mkuu, kila kitu kina muda wake, aids iligundulika miaka ya themanini, sina kumbukumbu na ebola, lakini ilitookana na kula virus contaminated bush meat, thus inawezekana kuna chanzo kingine cha hao virus ,ambacho hakikuwepo enzi za utumwa.
 
Kukujibu swala hilo ni "Fuata pesa" ama "follow the money"
Watu wale wanacontrol maserikali na media hii duniani ni familia zile zenye zilitengeneza pesa zao zamani yaani old money. Unafikiria hiyo old money ilikuwa inalala???

Wewe hebu fikiria kwa mfano familia ya Rothschild hao watu ndiyo inasemkana walitengeneza the modern banking system haswaa mambo ya kuuza ma bonds. Hii familia ilikuwa inapea maserikali loan za kupigana vita, na ni werevu walikuwa wanapeana pesa pande zote so vita ikiisha walikuwa hawajapoteza chochote.

Unajua the Federal reserve na Bank of England iko na private share holders??? pika research ujifunze ujue hao washare holders ni akina nani.

Hao watu ndiyo wenye nguvu kubwa hii duniani. Wachana na akina Billgates huyo jama hana pesa.
falamangaa, kama ungekuwa unaweka argument zako kwa kumquote unayemjibu nadhani ingesaidia sana kueleweka. Binafsi ninafahamu mengi sana kuhusu mambo mbali mbali lakini inakuwa vizuri kama mambo haya yanakuwa katika mpangilio fulani wenye kuleta maana. Ninajua non-ethical tricks za rich pharmaceutical companies and their dirty games of creating demand for their products. Ninazijua vizuri sana familia tajiri Rothchilds, mama pale UK etc and many Tanzanians read these stuffs anyway. Pia nimeisoma hii article ya Shimatsu namjua kama whistle blower na nimesoma articles zake nyingi. Cha msingi ni kujenga hoja na si kuweka mambo kwa ujumla.

Katika article hiyo utaona mbinu za pharmaceutical companies na hizi hazijaanza leo na hawa wala hawaangalii rangi wao ni profit tu hata deadly human experiments nyingine zimeshawahi kufanyika kwa watu ndani ya nchi zao wenyewe na hapo katika article utaona Poland ilishaathirika na mambo haya. Hapa dhumuni si mtu mweusi bali biashara na udhaifu wa nchi hizi za Sierra Leone, Liberia, Congo na nchi nyingine masikini zinakuwa rahisi kwa "crooked" scientists wanaopenyezwa kutumia fursa kwa maslahi tofauti. Siuoni huu kama mpango wa serikali ya Ufaransa bali ndani ya serikali kuna watu wanaweza kununuliwa na kufanya maamuzi ya wenye pesa. Ufisadi huu upo serekali nyingi ikiwemo ya kwenu Kenya.

Hoja zako ambazo nilitaka unipe ufafanuzi umezijibu generally na hii inabakiza maswali mengi kuliko majibu. Ukisoma uzi vizuri utaona kuna wachangiaji mbalimbali hata mimi ni mmoja wao na kila mtu ana jenga hoja lakini sote tunajaribu kupata knowledge. Mpaka sasa HIV na Ebola kama Biological weapons haijakaa vizuri kwa unavyotaka iwe. Adui ni mtu mweusi au mtu mweusi ni weak hivyo ni rahisi kutumika katika kutest man made disease? Is the world on war? France against its former colonies? Mzungu dhidi ya mwafrika? Tajiri dhidi ya masikini? All these cant be just summed up generaly mambo haya yamebeba maana kubwa na kila construct inafungua mjadala tofauti. Inakuwa kama kukusanya hiki na kile ili kuweka unachotaka kiwe hivyo. Ndio maana katika bandiko langu hapo mwanzo nimeainisha tofauti hizi. Kampuni ya utabibu ikifanya ufisadi katika kutengeneza mazingira ya kupata faida kubwa sana, hatuhitimishi kwamba tuko vitani katika ya nchi na nchi that is too general. Katika nchi fulani kuna vikundi/kikundi vinaweza kuwa na itikadi fulani mbaya sana na vikapenyeza mambo fulani yakaingia na kusababisha athari kubwa kwa maslahi fulani. That is been there, lots of this kind of things in human history.
 
Nitarudi nikipata nafasi nijibu maswali yako. Kama una mengine ongezea. Ni wakati lakini nitarudia nyuma nipate maswali yako, na nijaribu kukujibu. Lakini kwa ufupi ninaelewa kuwa si waafrika peke yao wamelengwa na hawa watu wabaya. Mimi nilikuwa na focus na Africa. Najua wa Asia wameshapata Sars na Bird Flu, Wa South Amerika Kule Guatemala walipewa Syphillis, pia WaAfrica America walipewa Syphillis. Na pia ukikumbupa pia heroin ilimwagwa kwa mitaa yao ndipo vijana wao wazitumie ndipo wasaidie kuwazubaisha. Na mengi kwa hivyo ninaelewa kuwa si waafrika pekee yao, lakini nilikuwa nikifocus na Africa juu ya hili janga la Ebola na Aids.

Pia hoja lengine lile unafaa uelewe sisemi kuwa madaktari wote ni wabaya. Kumbuka madaktari wengi wa hizi akina Unicef, Medicins san Frontiers ni vijana, na wasichana wenye wamemaliza shule(recent graduates) na wengi wa huvolunteer na roho safi. Kwa hiyo ni makosa kusema kuwa wote ni watu wabaya. Wengi wao wamejitoza kuwasaidia waafrika, na pia kujionea nchi mpya na adventure. So wengi wao hata hawajui kama kuna njama zozote.

Mimi nafikiri wale watu wabaya hujiingiza katika hayo makundi ya hao mavolunteers, na ndipo wanapata fursa za kutest ma vaccine zao mpya, na ma biological weapons zao kwa watu wetu.
Kwa hivyo elewa hiyo pointi.

Haya makampuni makubwa yakisha tengeneza madawa lazima wazitest, ndipo wajue kama zinafanya kazi vizuri, ama hapana. Nia yao ni pesa na pesa tuu. Kumbuka hata Amerika, Ufaransa, na Uingereza wao hufanya hizo testing zao. Lakini wakizifanya wao huweka advertisement kwa magazeti zao, na pia hao huwalipa hao mavolunteer baada ya kuwafanya waweke sahihi kwenye disclaimers, ndipo chochote kibaya kikitokea wasiwalaumu.

Sasa tofauti ni kwamba wakifanya testing zao Africa, waafrika huwa hawajui ni nini kinachotendeka. Wanafanya hizo testing zao kwa siri.
 
Nitarudi nikipata nafasi nijibu maswali yako. Kama una mengine ongezea. Ni wakati lakini nitarudia nyuma nipate maswali yako, na nijaribu kukujibu. Lakini kwa ufupi ninaelewa kuwa si waafrika peke yao wamelengwa na hawa watu wabaya. Mimi nilikuwa na focus na Africa. Najua wa Asia wameshapata Sars na Bird Flu, Wa South Amerika Kule Guatemala walipewa Syphillis, pia WaAfrica America walipewa Syphillis. Na pia ukikumbupa pia heroin ilimwagwa kwa mitaa yao ndipo vijana wao wazitumie ndipo wasaidie kuwazubaisha. Na mengi kwa hivyo ninaelewa kuwa si waafrika pekee yao, lakini nilikuwa nikifocus na Africa juu ya hili janga la Ebola na Aids.

Pia hoja lengine lile unafaa uelewe sisemi kuwa madaktari wote ni wabaya. Kumbuka madaktari wengi wa hizi akina Unicef, Medicins san Frontiers ni vijana, na wasichana wenye wamemaliza shule(recent graduates) na wengi wa huvolunteer na roho safi. Kwa hiyo ni makosa kusema kuwa wote ni watu wabaya. Wengi wao wamejitoza kuwasaidia waafrika, na pia kujionea nchi mpya na adventure. So wengi wao hata hawajui kama kuna njama zozote.

Mimi nafikiri wale watu wabaya hujiingiza katika hayo makundi ya hao mavolunteers, na ndipo wanapata fursa za kutest ma vaccine zao mpya, na ma biological weapons zao kwa watu wetu.
Kwa hivyo elewa hiyo pointi.

Haya makampuni makubwa yakisha tengeneza madawa lazima wazitest, ndipo wajue kama zinafanya kazi vizuri, ama hapana. Nia yao ni pesa na pesa tuu. Kumbuka hata Amerika, Ufaransa, na Uingereza wao hufanya hizo testing zao. Lakini wakizifanya wao huweka advertisement kwa magazeti zao, na pia hao huwalipa hao mavolunteer baada ya kuwafanya waweke sahihi kwenye disclaimers, ndipo chochote kibaya kikitokea wasiwalaumu.

Sasa tofauti ni kwamba wakifanya testing zao Africa, waafrika huwa hawajui ni nini kinachotendeka. Wanafanya hizo testing zao kwa siri.

Better..., this is parallel with my posts. You should read what I was writing as well.
 
Back
Top Bottom