Hivi UKIMWI upo kweli?

FisadiKuu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
8,169
Reaction score
13,455
Habari wanabodi;

Hivi hili gonjwa hatari zaidi lipo au it is just a myth? Kinachonifanya nidhani hivyo ni kwanini mtu haumwi ile serious kabisa mpaka akishaenda kupima huo ugonjwa?

Nimekutana na scinareo kadha wa kadha, wengine unakuta wana afya nzuri kabisa, haumwi mara kwa mara ila wakisema tu waende kucheck afya na bahati mbaya wakakutwa na huo ugonjwa ndio majanga yanapoanza..

Sasa kama kuumwa kunaanza badala tu ya kwenda kupima, kuna umuhimu gani wa watu kupima?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ugonjwa upo ila hauambukiziki kirahisia kama wanavyotaka tuamini tatizo la kuanza kuumwa unapopata taarifa ni la kisaikolojia, kuna jamaa marekani aliambiwa ana HIV akaanza kupata symptoms zote baada ya miaka kadhaa wakagundua walikosea vipimo.
Hakikisha unapata second/third opinion maana vipimo vya bongo ni majanga.
 
Upo kwa uhakika na ni tishio, swala la kupima ni hiyari na ujiandae kisaikologia. Tatizo ni mapokea ya matokeo, unasema mtu na afya yake anakonda ghafla baada ya kupata vvu positive, hakupokea matokeo positively. Wanaopokea matokeo na kuyakubali tupo nao, wanaishi kwa amani .Nikipima kama vvu ni + nakubali kazi ni kuchungana na CD4 na kuchunga nisiambukize mwingine. Ukimwi upo!!! Chunga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nachukua majibu flan maana haishi kupima kulingana na Hali yake akishapima tu namimi najua niko safe.
 
Ukiwa na utendaji kazi uliotukuka lazima upate tuzo, so ukipenda kuvua chupi sana tuzo ni ukimw. Hili gonjwa lipo ww lisikilizie kwa mwenzio tu si kwako, siku likikupata ndio utajua nini maana ya UKIMW.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni conspiracy ya kibiashara na depopulation mkuu,wajanja wanajua.Niishie hapo wasije wenye conspiracy wakanishuhulikia kama "walivyomshuhulikia" aliyekuwa Rais wa Africa ya Kusini Bwana Mbeki.
 
Hii ni conspiracy ya kibiashara mkuu,wajanja wanajua.Niishie hapo wasije wenye conspiracy wakanishuhulikia kama "walivyomshuhulikia" aliyekuwa Rais wa Africa ya Kusini Bwana Mbeki.
Kabisa mkuu, ukiacha sababu za kibiashara naona pia ni njia ya kudhibiti population.. Kuna watu wachache duniani wanafikiri kwa niaba ya generations na generations zijazo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mpaka unafikiria kwenda kupima si lazima ushazifikiria hizo rafu zote? Kama umeshajitoa muhanga kwanini ukimbie majibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kupima kwengine si kwa hiari mkuu,kuna kazi nyengine lazima upime ndo upate,na kuna nchi ili kupata baadhi ya vibali lazima upime ngoma.
 
U
Utakapoingia kwenye familia yako na kuwatafuna kama watu 4 au 5 kwa mkupuo ndio utaamini kuwa upo,usiseme hivyo mkuu,UKIMWI upo na unaua maelfu ya watu,jaribu kutembelea hospitali kubwa kama vile Mwananyamala,Temeke,Amana n.k nenda kule kwenye kitengo cha waathirika ndio utakapogundua kuwa hata hizi takwimu za watu walioathirika inawezekana serikali haitoi idadi sahihi...
 
Kupima kwengine si kwa hiari mkuu,kuna kazi nyengine lazima upime ndo upate,na kuna nchi ili kupata baadhi ya vibali lazima upime ngoma.
Najua hilo mkuu lakini hawakushikii bunduki, unapewa room ya kukubali kupima ili upate hiyo service au ukache na ukose.. Sasa huo muda wa kufikiria ndio utafikiria na hizo rafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujasema kama ni dhahiri upo au it's a myth... Inakuaje mtu anaanza kuugua serious baada ya kupima?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…