FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,169
- 13,455
Habari wanabodi;
Hivi hili gonjwa hatari zaidi lipo au it is just a myth? Kinachonifanya nidhani hivyo ni kwanini mtu haumwi ile serious kabisa mpaka akishaenda kupima huo ugonjwa?
Nimekutana na scinareo kadha wa kadha, wengine unakuta wana afya nzuri kabisa, haumwi mara kwa mara ila wakisema tu waende kucheck afya na bahati mbaya wakakutwa na huo ugonjwa ndio majanga yanapoanza..
Sasa kama kuumwa kunaanza badala tu ya kwenda kupima, kuna umuhimu gani wa watu kupima?
Sent using Jamii Forums mobile app